Search results

 1. M

  Mali za Said Lugumi zakamatwa na TRA kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 14

  Akienda mahakamani na kesi ikaendeshwa akashinda kwa sababu kesi za vifaa vya kiusalama zinaweza kua limited kwa sababu ya sensitive info. Tutasemaje? Si bora afilisiwe liwe fundisho kwa wezi wengine wanaotuibia kupitia tenderprenuership na wanasiasa wao...
 2. M

  Mali za Said Lugumi zakamatwa na TRA kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 14

  Hata nchi zilizoendelea kodi utumika kama fimbo ya mwisho ya kuwanasa wahalifu au maadui wa sera na serikali wowote wanaonekana watakua wagumu Kuwatia hatiani na kesi nyingine yeyote. Kitu muhimu ni kuchukua Mali zilizopatikana kwa wizi wa Mali ya umma kwa kudai kodi. Wateme walichotuibia na...
 3. M

  Nani kama Magufuli? Hakuna na nasema tena hakuna mbadala wake

  Watakuteka wewe kwa dhihaka hizi. Unamfanya bwana mkubwa kikaragosi mbele ya watu? Angelia uhuru wako, caricatures siyo nzuri kwa rais "siriasi" kama huyu mkuu
 4. M

  Tanzania ya Ujamaa ndani ya Ubepari uchwara(petty bourgeoisie)

  Wawekezaji wanaonekana wa maana lakini siyo wa maana Sana vile vile haswa ukichukulia Tanzania haina any competitive advantage kiuchumi kwenye sekta yeyote ile (labda madini kwa mbali sana), bila hii competitive advantage mwekezaji anakua hana uhakika wa mtaji wake achilia faida atakayopata-kama...
 5. M

  Tanzania ya Ujamaa ndani ya Ubepari uchwara(petty bourgeoisie)

  Ni fikra pevu Sana na zinafaa Kuweka changamoto kwa wanazuoni Wetu na wanasiasa wengine na wapika sera wote serikalini. Nakubaliana na hoja kwamba ccm imechanganyikiwa na kitu gani ikifuate. Leo Dr magufuli anendesha Vita baridi na vuguvugu na wafanyabiashara haswa pale linapokuja suala la kodi...
 6. M

  Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

  Wameshatoka kuoteshwa misikitini
 7. M

  Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

  Tyranny of numbers...hata brexit kuna watu wameenda mahakamani kuipinga kwa kua walishindwa lakini as they say democracy sometimes isn't fair...kura zimepigwa na watu wameamua ...ongezeni numbers zaidi elections zijazo
 8. M

  Kikwete alivyoshangiliwa Bungeni leo inamaanisha nini?

  Walichofanya wabunge leo ni utoto,upuuzi wa Hali ya juu na Kuonyesha jinsi tusivyo na viongozi makini na wazalendo wa kweli. Mtamshangiliaje mtu aliyeleta matatizo ya kiuchumi haya tuliyonayo, mtamshangiliaje mtu aliyemteua huyu msiyempenda kwa sasa kwa majina yake mfukoni bila kufuata taratibu...
 9. M

  Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

  Mnachoshindwa kueleza ni kwamba hiyo cargo hub au depot itakua kwa ajili ya mizigo ya Ethiopian airlines kwa wateja wake wote haswa mashariki na kusini mwa Africa kwa sababu hapa kuna kanafasi kwa kua hatuna effective national airline kama Kenya kwa mfano. Na hapa hatujapiga mahesabu hii sub...
 10. M

  Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

  Mimi nikiongea hapa Najua naongea nini chief usinifananishe na hao unaibishana Mara nyingi humu. Kenya na Ethiopia hawana tatizo lolote kihistoria, kisiasa, wala kijamii, actually wana interest zinazoshabiiana za tatizo la Somalia ambapo wote kwa nyakati tofauti wamepeleka majeshi kujaribu...
 11. M

  Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

  Stiglers Gorge project katika bonde rufiji ingetengeneza megawatts zaidi ya 1500 ukijumlisha na current capacity ya hydro electric power generation pamoja na haka ka Gas inayotumika kwa umeme you tungekua self sufficient kwa umeme wa bei rahisi na kuachana na hawa walanguzi wanaotumia generator...
 12. M

  Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

  Umeshaweka assumption ya kwamba kila kitu kunapingwa na hapo tayari umechukua upande wa kuutetea. Nway kila project au proposal ya wakubwa itaundwa timu ya wataalam kufuatilia utekelezaji wake na siyo wanasiasa na hapa utaona kama project ita take off. Ngonjera zingine za kisiasa unaziangalia...
 13. M

  Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

  Cargo planes hao Ethiopia wanaagiza stationary tu peke yake? Wanadevelop project ya Lapset na Kenya kujenga bandari ya Kimataifa Lamu, Kenya, hata Mombasa tu kwao ni mbali wanatumia Djibouti, Dar wapi na wapi. Hatuko hapa kubishana so usitafute uhalali wa kila tamko la viongozi hawa, angalia...
 14. M

  Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

  Ethiopia wamejenga SGR au standard gauge railway kwenda Djibouti kwa sababu ya bandari kule Djibouti baada ya sababu za kidiplomasia na kiusalama kuacha kutumia bandari ya Asmara, Eritrea. Hata bandari ya Mombasa kwao ni tatizo bado na ndiyo maana kuna mpango wa LAPSET wa Ethiopia na Kenya...
 15. M

  Zitto: Toka Uhuru rais hajawahi kuteua Kaimu Jaji Mkuu, rais Magufuli amemteua ili awe anamtisha

  Tuwe na upendo na uzalendo kwa taifa, pale mtu anapokua anapogusa Jambo la kimsingi la kitaifa tusimbeze kwa vijisababu uchwara binafsi au vya vyama. Hata kama wewe uko serikalini au chamani, anayofanya huyu Rais wenu yatawarudia tu nyie wenyewe. No one is exempt, sisi wote boti moja ya...
 16. M

  Anthony Diallo azushiwa UWONGO!

  Mbona pale magufuli alipokua anatumbua watu kwa makosa madogo tu au wale waliofukuzwa kwa vyeti na watz kushangilia na kushabikia Haya matukio kwa mihemko yao na pain killer yao ya kuona wenzao waliofanikiwa wakifeli as per ur analysis haukuongea? Umesubiri wameguswa hao sasa ndiyo unaongea in...
 17. M

  Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

  Dawa zake zile Hakuna muhimbili, kinana Kaenda kymchukulia India
 18. M

  Kwa mara ya kwanza, Daudi Albert Bashite hakutambuliwa wala kutajwa na Rais. Hongera Mhe. Rais!

  Hii na yenyewe inastahili pongezi za hongera? Watz tunelelewa vibaya Sana kuwaona viongozi ndiyo kila kitu, ndiyo kula yetu, ndiyo riziki yetu, ndiyo kulala yetu na ndiyo kila kitu
 19. M

  Kamati Kuu ya CHADEMA yafanya Uteuzi wa Wabunge wake wa Bunge la Afrika Mashariki

  Ndiyo hapo ccm imechokwa Ila Hakuna mbadala wake...CCM inapovuruga na bashite cdm wanakuja na equally less inspiring act...inakatisha tamaa kweli kweli Tatizo ni mbowe, mbowe siasa zake anazikopi CCM siasa za kijambazi jambazi za kujuana Juana, na siasa za kimatukio tukio badala ya mipango endelevu
 20. M

  Ni hatari kupandikiza chuki kwa wananchi, Rais ni lazima apime Maneno yake

  Huna hata chembe ya kuijua nchi yako utakua umezamia ulaya miaka sasa...mikataba mikubwa yote haisainiwi na wanasiasa tu kuna makatibu Wakuu, Wakuu wa vitengo mbali mbali, kurugenzi za serikali na taasisi nyingine ambazo zinahusika na miradi husika, na siyo wanasiasa tu peke yao na ili kazi...
Top Bottom