Search results

 1. Abdul Ghafur

  Kuhusu Tatizo la Uchafu Dar, Madrassatul Abraar tuna wazo litakalokuwa suluhu ya kudumu

  Video clips inakuwa ngumu kupandisha hapa. Tutumie whatsapp 0625249605 utakutumia video clips .
 2. Abdul Ghafur

  Kuhusu Tatizo la Uchafu Dar, Madrassatul Abraar tuna wazo litakalokuwa suluhu ya kudumu

  Tutaweza sana tu utumia nyumbani. Mimi binafsi nimeanza leo kusetiwa alangu na kina mama wa darasa letu la ujenzi. Langu ni kubwa kidogo (3 meters diameter) kwa kuwa nipo bje ya mji huku nafasi ni kubwa. Ngoja nikaone wamefikia wapi, nitarusha picha.
 3. Abdul Ghafur

  Kuhusu Tatizo la Uchafu Dar, Madrassatul Abraar tuna wazo litakalokuwa suluhu ya kudumu

  Utumikaji utachelewa si sana kwani ndio tunaviunda, tumeshaa za kuunda kiosk na sehemu kubwa kiasi (jalala dogo) ya kuchomea taka. Utajionea baada ya siku mbili tatu. Upo Bagamoyo au hiyo ni id tu JF?
 4. Abdul Ghafur

  Kuhusu Tatizo la Uchafu Dar, Madrassatul Abraar tuna wazo litakalokuwa suluhu ya kudumu

  Usijali zitakuja. Ahsante sana kwa kuyataja mashudu, umenikumbusha, tuna ubunifu wa kutumia mashudu katika ujenzi.
 5. Abdul Ghafur

  Kuhusu Tatizo la Uchafu Dar, Madrassatul Abraar tuna wazo litakalokuwa suluhu ya kudumu

  Zinakuja usiwe na shaka. Tulishaweka indhari hapo juu na tukasema tunataka vijana wa graphics wajitokeze.
 6. Abdul Ghafur

  "Social Economic Empowerment Program,." Madrassa Yabuni Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshanana kiuchumi. Haujawahi kutokea, duniani

  Tumefungua uzi wake, tunaomba uje kutuuliza huko tukuelekeze. https://www.jamiiforums.com/threads/baada-ya-kumsikia-mkuu-wa-mkoa-tatizo-la-uchafu-dar-madrassatul-abraar-waja-na-suluhisho-la-kudumu-kwa-ubunifu-wa-kipekee.1881721/
 7. Abdul Ghafur

  Kuhusu Tatizo la Uchafu Dar, Madrassatul Abraar tuna wazo litakalokuwa suluhu ya kudumu

  Naomba kwanza tumsikilize Mkuu wa Mkoa. Video clips zinachelewa kupanda lakini In shaa Allah tutazipandisha, ni muda tu. Baada ya kumsikiliza mkuu wa mkoa na tatizo la uchafu na biashara kuwa kiholela mitaa ya Dar. AlhamduliLllah Madrassatul Abaraar darasa la vifaa vya ujenzi tumekuja na...
 8. Abdul Ghafur

  "Social Economic Empowerment Program,." Madrassa Yabuni Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshanana kiuchumi. Haujawahi kutokea, duniani

  Madhara ya nini? Na taka zinachomwa ndani ya "fortified concrete blocks? Subiri nifungue uzi wake, japo zipo earely stages ya construction lakini zitakupa mwangaza wa ubunifu wetu. AlhamduliLllah. Kweli kabisa, mimi AlhamduliLllah mzee wa Madrassa na nipo vyema sana na ni furaha na sifa kubwa...
 9. Abdul Ghafur

  Kazi za Ufundi Ujenzi kwa Vijana waliomaliza JKT, waliojifunza vyuo vya Magereza, Jeshi au VETA wajitokeze

  A hahahahah. Faiza kimombo hicho na sisi wazee madrassa tutakiweza wapi? Umeona suluhisho letu (unique) la usafi wa jiji na miji ya Tanzania? Lipo kwenye group.
 10. Abdul Ghafur

  "Social Economic Empowerment Program,." Madrassa Yabuni Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshanana kiuchumi. Haujawahi kutokea, duniani

  Usibishane nao. Wanajaribu kuharibu hii mada. Hawaamini wanachokisoma humu. Sasa wazee wa Madrassa. tumekuja na ubunifu mpya kabisa. Suluhishi la gharama nafuu kabisa na lenye ubora wa hali ya juu kwa usafi wa jiji letu pendwa la Dar na majiji na miji yote ya Tanzania wanaojali usafi na...
 11. Abdul Ghafur

  Wazee wa Madrassa wampiku Mama Samia Suluhu?

  Ahsante tunashukuru sana kwa faida ya jamii. Kwa huduma yako hiyo tuna uhakika Allah atakulipa mema yasio na hesabu kwani ameahidi katika Qur'an kuwa kila anaejitahidi kufanya kazi kwa njia za Allah basi atalipwa maradufu. Amiiiin.
 12. Abdul Ghafur

  Kazi za Ufundi Ujenzi kwa Vijana waliomaliza JKT, waliojifunza vyuo vya Magereza, Jeshi au VETA wajitokeze

  Kwa uzoefu tunaoupata kwenye shughuli hizi, tumejiwekea kuwa aafundi ujenzi ambao tayari wana uzoefu. Ni muhimu sana wapitie darasa letu la vitendo kwa wiki mbili au pungufu kwa kujiongeza maarifa. Mafundi ujenzi wanapitia mafunzo ya kuelekezwa kuhusu ratio's zenye ubra kwaa vitendo, kama...
 13. Abdul Ghafur

  Wazee wa Madrassa wampiku Mama Samia Suluhu?

  Hongera zao sana. Naomba tujulishe kanisa linalomwezesha mtu kuanza kujenga kwa Shillingi 2,500 tu bila riba. Kama unazo na namba zao tupatie tubadilishane nao mawazo, tupo kwa ajili ya jamii na naamini Kanisa lipo kwa ajili ya jamii. Nasubiri kutoka kwako. Tunakukaribisha pamoja na wasimamizi...
 14. Abdul Ghafur

  Wazee wa Madrassa wampiku Mama Samia Suluhu?

  Tunakukaribisha ututembelee ujionee. Tupo, mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Wilaya ya Kibaha mjini, Mkoa wa Pwani. Namba zetu ni 0625349605. Hatujajenga kwenye "squarter" hata moja. Na ujenzi wetu una meet na ku exceed viwango vya vifaa vya ujenzi na ujenzi vya BS (British Standard). Lakini...
 15. Abdul Ghafur

  "Social Economic Empowerment Program,." Madrassa Yabuni Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshanana kiuchumi. Haujawahi kutokea, duniani

  Kwanini huji kujionea? Usiandikie mate na wino upo. "Nyie" kina nani? Unatufahamu? tumeshawahi kuonana?
 16. Abdul Ghafur

  Kazi za Ufundi Ujenzi kwa Vijana waliomaliza JKT, waliojifunza vyuo vya Magereza, Jeshi au VETA wajitokeze

  Kweli kabisa. Tuna mpango wa kipekee wa kudhamini wanafunzi wetu wsnaojifunza na kutimiza masharti na vigezo vyetu vya fundi bora. Dhamana hiyo ni leseni (nyavu) ya kudhamini kazi zote za mwanafunzi aliehitimu kuanzia ubora wa kazi, nidham za miadi, muda wa kazi, uaminifu wa fundi. Vyote...
 17. Abdul Ghafur

  "Social Economic Empowerment Program,." Madrassa Yabuni Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshanana kiuchumi. Haujawahi kutokea, duniani

  Hapa Abraar tunaamini mtaji wa kwanza wa biashara ni wewe mwenyewe ufanyae hiyo biashara. Kama una biashara yoyote ya halali na unahitaji kuiendeleza tunaweza kukuunganisha na wengine mkashirikiana. Au kama hujaianza biashara na una wazo linalotekelezeka vile vile tutalitafutia njia lifanyike...
 18. Abdul Ghafur

  "Social Economic Empowerment Program,." Madrassa Yabuni Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshanana kiuchumi. Haujawahi kutokea, duniani

  Soma vizuri post namba 1 kipengele cha pili tumeelezea mafunzo yaliopo au kama u mvivu wa kusoma au kama unachosoma hukielewi hakuna tatizo, fika hapa kwetu ujionee tunachofundisha kwa vitendo. Kwa sasa hatuna gym ya karate lakini ni wazo zuri sana hilo umetukumbusha. Kama unapendelea...
 19. Abdul Ghafur

  Mafundi Ujenzi, Carpenters, Plumbers wenye uzoefu wanahitajika haraka.

  Karibu sana uje kujionea na tuongee tunavyofanya shughuli zetu. Tupo mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani. Ukija kwa kutumia usafiri wa mabasi unashuka kituo cha Miyomboni shule au kwa jina lingine Misugusugu shule (usishuke Misugusugu check point), hapo...
Top Bottom