Search results

 1. Mndengestani

  Kauli ya Netanyahu alipokutana na Mawaziri wa mambo ya nje wa Czech na Slovak

  Nukuu PM Netanyahu: " Msaada kwa Hamas na Islamic Jihad unatoka Iran. Ukiondoa Msaada wa Iran wote wataanguka ndani ya wiki mbili. Iran haisaidii tu matendo ya kigaidi bali inashiriki kwenye mashambulizi ya silaha dhidi ya Israel. Na huu ni ushahidi". Nanukuu PM Netanyahu: "The support for...
 2. Mndengestani

  Azam Tv acheni kutufanya kama hatuna akili

  Nikiangalia vifurushi vya AZAM hivi vipya ambavyo vitaanza kutumika Tarehe 1 December, sioni walipo punguza bei za Channels zao zaidi ya kuongeza. Chaneli za Azam Sports zitapatikana kuanzia 20000 kwa mwezi,Bei ya Sasa ni 18000 kwa Mwezi. Azam 1 & 2 kuanzia 13000 kwa mwezi,Bei ya sasa ni...
 3. Mndengestani

  Hii picha inamaanisha

  Kama kichwa kinavyo sama
 4. Mndengestani

  MSAADA

  Habari wa Jf , TV yangu ni Smart lakini upande wa Wireless haifanyi kazi mpaka SAMSUNG WIRELESS LAN ADAPTER au NETWORK CABLE Ombi langu wapi naweza pata hiyo Samsung Wireless LAN Adapter
 5. Mndengestani

  Huyu dada anataka nini kwangu

  Habari wana JF popote mlipo Natumai Bukheri wa Afya nyote, Kama kuna wagonywa Mwenyezi Awape Hafueni. Wakuu Nina demu wangu mmoja mwezi mmoja uliopita alinitaalifu kuwa anataka kutolewa, na mwaume Ambae wazazi wake wametaka aolewe nae, kwa maelezo yake anasema alikataa lakini wanamfosi. Mimi...
 6. Mndengestani

  Hii mimba siyo yangu, mtafute mwenye nayo

  Wana JF habari zenu Demu wangu Jana amenishangaza Baada ya kunifahamisha ana mimba yangu,. Nikamuuliza: Siku zako ulitakiwa uzione lini Akajibu: 30, Jana umenunua kipimo nimekuta nina mimba. Nikamuuliza: Unamkumbuka tulikutana lini? Akajibu: Nakumbuka tar 27. Nikamuuliza: Mimba inakujaje hapo...
 7. Mndengestani

  Hospitali ya wagonjwa wa corona yakamilika China

  Hospitali ya kwanza maalum ya kuhudumia waathirika wa ugonjwa wa mlipuko wa virusi vya Corona itafunguliwa na kuanza kupokea waathirika kesho Jumatatu Idadi ya vitanda :1,000 Wahudumu wa afya wa Kijeshi :1,400 Kuanza ujenzi :23-01-2020 Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Mndengestani

  Wakenya acheni zenu

  Wakenya kwa tabia hii mmetushinda but huu ni zaidi ya ujinga Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Mndengestani

  Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi

  Habari wana JF, Kama kichwa cha Habari hapo juu kinavyosema. Nina rafiki yangu kiumri tunafanana japo sio rafiki kihivyo, pia tulikua majirani lakini kwa sasa nimehama kwa kero za Mama yake kunitaka kimapenzi. Huyo rafiki yangu ndio mwanawe wa kwanza, jumla huyo mama ana watoto wa 3. Sikumoja...
 10. Mndengestani

  HAPPY BIRTHDAY YA MWANANGU NITAIFANYIA IKULU

  Habari zenu wana jf Kama kichwa hapo juu kinavyosema kutokana na kauli ya rais jpm NANUKUU "Kama kuna vyama vingine navyo vinataka kuja kufanyia mikutano yao hapa (Ikulu) waombe, hapa ni pa watanzania wote". -Rais Magufuli. Leo nimeandika barua kwenda Ikulu natarajia nitakubaliwa kwakua...
 11. Mndengestani

  Mauaji ya Pwani ni ugaidi,chuki za kisiasa,chuki za raia dhidi ya polisi au ni uhalifu tu mwingine?

  MAUAJI MKURANGA, KIBITI NA RUFIJI (MKIRU) Je ni Ugaidi, Chuki za Kisiasa na Jeshi La Polisi au Ni Uhalifu tu Mwingine!? 1. Je Ni Ugaidi Kama Ule wa Al-Shabab 2. Je Ni Chuki Tu Za Kisiasa 3. Je Ni Chuki za Wananchi Dhidi ya Jeshi La Polisi 4. Je Ni Uhalifu Tu Kama Uhalifu Mwingine!? Kwa nyakati...
 12. Mndengestani

  Kwanini Rais mstaafu Mwinyi, alitengua ile kauli yake

  Habari wana JF Hivi naomba kuuliza ile kauli ya Mh.Rais Ally Hassani Mwinyi Ilitenguli au bado? Nakumbuka aliposema "Tstarz ni Kichwa cha Mwendawazimu"
 13. Mndengestani

  Mafuriko Rufiji yaharibu miundombinu ya barabara ya hifadhi ya mbuga ya Selous

  Habari wana JF Nipo apa Rufiji nikishuhudia adha ya usafiri kwa wananchi na pia watalii wanao eekea SELOUS GAME RESERVE kupitia Barabara ya Mloka kutokea Dar es salaamu kabla ya kufika katika kijiji cha MKONGO kuna Madaraja ya RAMBO Na Daraja la LUWOI yamezamishwa na maji na kufikia kukata...
 14. Mndengestani

  Simu yangu Tecno P5 ina tatizo la kupandisha mnara

  Habari wana jf nina tatizo la simu yangu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo sema msaada tafazari
 15. Mndengestani

  Msaada wana JF katika kuchagua kozi

  Habari wana jf Ninataka kufanya maombi ya kujiunga na chuo mwaka huu 2017/2018 kozi gani mzuri nichukue Results Nilipata point 28 nina physics D, Chemistry D, Biology D, Geo D,kiswa D,Histo D, civs D. Ushauri wenu wakuu
 16. Mndengestani

  Mapenzi na jino kipi kinauma Zaidi?

  Wana JF, jana nikiwa pande za Beach na madada nikawasikia wanasema eti MAPENZI yanauma, sasa kila nikifikiria sipati jibu. Haya mapenzi yanauma vipi. Kwakua nilishawai kuumwa jino basi haraka nikafananisha kama maumivu ya JINO. Sasa sijui kati ya JINO na MAPENZI kipi kinauma zaidi. Naombe...
 17. Mndengestani

  Msaada wana Pharmacy wa JamiiForums

  Nahitaji hizi Dawa nimeangaika sijafanikiwa.Mwanzo aliyeniuzia Pharmacy kafunga na mimi nilinunua 1/2(nusu)Dose
 18. Mndengestani

  SAMSUNG S3min Shilingi Ngapi Dukani

  Habari wana Jf naombeni munijuze bei ya Samsung kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo eleza.Naitaji kununua anayejua anijuze.
 19. Mndengestani

  Msaada Simu yangu Inatatizo la kushuka mnara

  Habari wana Jf Simu yangu HUAWEI Y520-U22 Inatatizo la kushuka mnara mara kwa mara kwa anaejua anisadie nifanyaje
Top Bottom