Search results

 1. Abdul Ghafur

  Kuhusu Tatizo la Uchafu Dar, Madrassatul Abraar tuna wazo litakalokuwa suluhu ya kudumu

  Naomba kwanza tumsikilize Mkuu wa Mkoa. Video clips zinachelewa kupanda lakini In shaa Allah tutazipandisha, ni muda tu. Baada ya kumsikiliza mkuu wa mkoa na tatizo la uchafu na biashara kuwa kiholela mitaa ya Dar. AlhamduliLllah Madrassatul Abaraar darasa la vifaa vya ujenzi tumekuja na...
 2. Abdul Ghafur

  Mafundi Ujenzi, Carpenters, Plumbers wenye uzoefu wanahitajika haraka.

  Mafundi ujenzi, plumbers, carpenters wenye uzoefu wanahitajika. Wawe wenye kuijua kazi zao na kuweza kusimamia wengine wasio na uzoefu. Wakiweza kufundisha itakuwa ni plus. Location yetu ni Misugusugu, Kibaha, Mkuranga Mkoa wa Pwani. Kazi zinaweza kuwa za kusafiri na kuhamahama. Kwa maelezo...
 3. Abdul Ghafur

  "Social Economic Empowerment Program,." Madrassa Yabuni Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshanana kiuchumi. Haujawahi kutokea, duniani

  "Social Economic Empowerment Program,." Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshana Kiuchumi, Kwa mara ya Kwanza Tanzania. Haujawahi kutokea, duniani. Ni mpango uliobuniwa na Madrassatul Abraar, iliopo mtaa wa Vitendo, Misugusugu, Kibaha, Pwani Tanzania. Mpango ulianzishwa nakuasisiwa na Abdul ghafur kwa...
 4. Abdul Ghafur

  Kazi za Ufundi Ujenzi kwa Vijana waliomaliza JKT, waliojifunza vyuo vya Magereza, Jeshi au VETA wajitokeze

  Madrassatul Abraar, darasa la Abraar Bricks Nyumba kwa Wote, sasa kuna ajira kwa vijana wenye hamu ya kuwa mafundi ujenzi kwa mbinu za kisasa. Tutatoa mafunzo ya awali ya ujenzi kwa kutumia zana za kisasa za ujenzi zilizoundwa kwa kutumia saruji, mchanga na kokoto. Watatakiwa vijananwenye...
 5. Abdul Ghafur

  Tunahitaji kuundiwa websites na Android Apps

  Ikiwa unaweza au unamfahamu yeyote mwenye yjuzi wakutengeneza website sna android apps zenye ubora na viwango vya juu, tuna kazi za haraka. Taasisi ya Kijamii ya Kiislaam iitwayo Abraar ipo mbioni kuanzishwa na inahitaji websites na apps. Taasisi itakuwa na vitengo visivyopungua 5 au zaidi...
 6. Abdul Ghafur

  Tunahitaji kutengenezewa website(s) na Android Apps.

  Ikiwa unaweza au unamfahamu yeyote mwenye yjuzi wa kuunda / kutengeneza website sna android apps zenye ubora na viwango vya juu, tuna kazi za haraka. Taasisi ya Kijamii ya Kiislaam iitwayo Abraar ipo mbioni kusnzishwa na inahitaji websites na apps. Taasisi itakuwa na vitengo visivyopungua 5 au...
 7. Abdul Ghafur

  Unajenga? Tuna aina mpya ya vifaa vya ujenzi vinavyokupunguzia gharama za ujenzi na kukuokolea muda

  Kama unajenga au una plan kujenga au u fundi ujenzi au unataka kuongeza nafasi kwenye nyumba ya bati uliyonnayo sasa, wasiliana na na sisi kwa ushauri wa bure na kujionea aina mpya kabisa ya ujenzi unaokupunguzia sana gharama za ujenzi. Mafundi wote ujenzi tunawapatia masomo ya bure kabisa kwa...
 8. Abdul Ghafur

  Ajira za Uhasibu (Accountant), Store Keeper na Personal Assistant.

  Asalaam Alaikum. Fursa ya ajira. Kuna nafasi za kazi za... 1) Mhasibu (Accountant). 2) Store Keeper. 3. Personal Assistant. Anaeomba kazi awe ni mzoefu wa hiyo kazi na anafahamu kazi na sio wa kufundishwa kazi. Kazi zetu kwa sasa zipo Mkoa wa Pwani, Kibaha, Misugusugu, Mtaa wa Vitendo...
 9. Abdul Ghafur

  Tuijenge Tanzania yetu. Ajira za Mafundi Uashi

  Asalaam Alaikum. Ajira Ajira Ajira. Mafundi Waashi (Masons) waume kwa wake wenye uzoefu wa kazi na wanaoweza kufanya kazi kwa kujituma bila kusimamiwa.Wawe na shauku na uwezo wa kujifunza na hatimae kufundisha ujenzi. Malipo na marupurupu ni ya viwango vya juu kwa wazoefu wataokidhi vigezo...
 10. Abdul Ghafur

  Ajira Mwalim Mkuu na Walimu wengine shule ya Waislam

  Tangazo la ajira ya Mwalimu Mkuu. Abrar Primary School is a proposed name for anew Muslim School proposed to built at Vitendo Street, Misugusugu, Kibaha. Pwani, Tanzania. The proposed Abrar Primary School is an upgrade and enhancement of the now existing Madrasatul Abrar. We are seeking a...
 11. Abdul Ghafur

  Ajira au Partnership

  Tupo katika initial stages za kuanzisha kampuni mpya itayojulikana kwa jina la Abrar Bricks Ltd. Location ni Mkoa wa Pwani, Misugusugu, Kibaha. Tanzania. Tupo katika kutafuta ama ataependa kuajiriwa au kuwa partner mwanzilishikwenye kampuni kampuni ambayo ipi mbioni kuanzishwa. Tunahitaji...
 12. Abdul Ghafur

  Operator wa Excavator na Walinzi wa usiku.

  Nafasi za kazi... 1) Operator wa Excavator. Anahitajika operator wa excavator, wheeled aina ya CAT. ambae yupo tayari kuingia kwa shift, za masaa manane mpaka 12, Shifts zinaweza kuwa za usiku au mchana. Eneo la kazi kwa sasa ni Kibaha, Misugusugu lakini kama kawaida ya excavators, kuna...
 13. Abdul Ghafur

  Vitendo SACCOS Inawaalika Wapenda Maendeleo Wote

  Wadau, Wana Vitendo SACCOS wote na wote ambao bado hawajajiunga na Vitendo SACCOS... Tunafuraha kuchukua fursa hii ya kuwakaribisha na kuwaalika nyote kuhudhuria mkutano wetu wa kawaida wa pili (wa kwanza ulikua tarehe 01/05/2017 kutangaza nia ya kuunda Vitendo SACCOS). Mkutano huo utakuwa...
 14. Abdul Ghafur

  VIP wekeza kihalali kuanzia 10,000

  Vitendo SACCOS, inawaletea uwekezaji mpya na wa aina yake. Unaweza sasa kuwekeza kuanzia Shillingi 10,000 ukawa na faida sawa na aliewekeza million 10. Vitendo SACCOS ni mjumuiko wa wapenda maendeleo bila kujali rangi, kabila, dini, wapi unaishi. Mradi wewe ni Mtanzania uliejiunga na Vitendo...
 15. Abdul Ghafur

  Scania Marco Polo For Sale

  Wanunuzi serious wanipigie bei ya kutupa bus Kama lilivyo kwenye picha limeshalipiwa ushuru na kila kitu. Simu: 0625249605
 16. Abdul Ghafur

  DVRs For Quick Sale

  Nauza DVR mpya ikiwezekana zote kwa pamoja bei poa kwa zote. Zipo pcs 5 za 16 channels na zipo pcs 2 za 8 channels. Zote brand new. Hizo DVRs zinakuja na adaptor yake na mouse na user manual na cd na sata cable na remote. Hazina hard disk customer hard disk ananunua mwenyewe. Zote kwa 2m...
 17. Abdul Ghafur

  Hodi

  Habari za saa hizi waungwana. Nawasalimia. Naomba wahusika napenda niwe verified member. Hio ni picha yangu halisi na jina ni langu halisi. Ahsanteni.
Top Bottom