Search results

 1. Executor

  Kubadili kikoo cha Nokia 3.1

  Habari, Kuna mafundi humu? Nahitaji kubadili kikoo cha Nokia 3.1 gharama ikoje, nikuletee unibadilishie...??? Ahsante.
 2. Executor

  Ubachelor unaboa sanaaa!

  Husika na kichwa cha habari hapo juu. Ebana eee ubachelor noma Sana, kilichonikuta Leo siwezi kumaliza mwaka na ubachelor. Leo nimeamka asubuhi Mimi ni mikazi tu, mikazi na Mimi, nimeamka mapema kuanza kufua nguo chafu za week mbili na nusu [emoji2], sijamaliza nikaanza kuandaa mboga ya mchana...
 3. Executor

  Status: Single

  I'm single man...[emoji1]
 4. Executor

  Mtu bahili lazima atakuwa mchoyo tu!

  Hakika ubahili na uchoyo ni directly proportional.... [emoji119][emoji119][emoji119]
 5. Executor

  Computer Antivirus

  Habari... Naomba kuuliza, hivi naweza kudownload Antivirus ya computer (for free) na ikafanya kazi effectively...?
 6. Executor

  Ronaldo yuko juu lakini Messi yuko juu zaidi

  Takwimu zinazungumza...[emoji116]
 7. Executor

  Hivi zile boda boda huwa zinaenda wapi..?

  Habari.... Kama kichwa cha habari kinavyouliza, nimepita katika vituo vya police vingi sana na kukutana na mlundikano mkubwa wa boda boda zilizopata ajari, zingine sijui ni za kesi za wizi...!!! Sasa swali langu hizi boda boda hukaa katika hivi vituo vya police kwa muda gani..? Na kama kesi...
 8. Executor

  Imeniuma sana!

  [emoji856][emoji856][emoji856]... Kwakweli nimeumia sana sana katika hili ndugu zangu, naweza onekana wa ajabu lakini nimeumia sanaaaa! Jana nimepokea taarifa ya kifo cha paka wangu ambaye aliondoka nyumbani takribani siku 3, jana napata taarifa yakuwa aliuwawa tena kwa kuchomwa moto [emoji24]...
 9. Executor

  Huyu Jembekillo nomaa...

  Huyu jamaa ana uzi wake humu una 1M reply, si kitu ya kawaida hii, alafu amekuwa BANNED [emoji848] alijikuta founder wa JF nini...!? [emoji124][emoji124]
 10. Executor

  Series nilizowahi tazama na ninazotazama sasa

  Nilizowahi tazama: 1.Kyle XY 2.Banshee 3.Blindspot 4.Prison Break 5.DareDevil 6.Doctor Stranger 7.Vikings 8.Spartacus 9.The Lastship 10.Into the badlands 11.Blacklist Redemption 12.Transporter 13.Dream High 14.Deep State 15.The Brave 16.Arrow on the bows string 17.Herpers Island 18.Clever...
 11. Executor

  Nilichogundua humu JF

  Naomba nisianze na salamu yoyote... Nilichogundua JF kuna kila aina ya watu, watu wa aina mbali mbali unawapata humu. Naomba niwajadili kidogo sifa chache za hawa watu: 1. Wapenda misifa. Yani hawa mtu anaweza kutoa uzi wenye maana fulani au kuelimisha, yeye anachangia maneno ya kichekesha tu...
 12. Executor

  Reported content: Post in thread 'Damu inatoka UKENI na sio Hedhi'

  Post in thread 'Damu inatoka UKENI na sio Hedhi' by jayleoncy112 has been reported by Executor. Reason given: Content being reported:
 13. Executor

  Faida chache za Punyeto

  Habari. Naomba kushare nanyi faida hizi chache za punyeto. Hakuna kitu kisicho na madhara sote tunajua hilo, ila unakitumiaje hicho kitu?. Hivyo hata punyeto ikitumiwa vizuri inayo faida nyingi kwa afya yako ya mwili na akili. Kuna masomo machache juu ya faida ya kupiga punyeto, ripoti za...
 14. Executor

  Utambuzi wa fake na OG SDCard

  Salaam wakuu.... Kama title inavozungumza, nipeni maelezo au ni jinsi gani naweza kufanya ili kutambua SD Card original ninapotaka kuinunua? Shukrani...
 15. Executor

  Hili tatizo linasababishwa na nini...?

  Habari ndugu zangu.... Laptop yangu kwasasa nitakapoichomeka charge inaleta mawimbi mawimbi katika screen(kama inavoonekana katika picha) inanipelekea kuizima tu na kuiwasha tena maana siwezi kufanya chochote ikiwa katika hali hiyo.... Shida inaweza kuwa nini...? Solution yake yawezakuwa...
 16. Executor

  Jinsi ya kuwatch....

  Habari wataalamu.... ebana nina shida kuhusu application ya computer inayomuwezesha mtu kuzama tv online,mfano katika smartphone kuna app nyingi mfano 'UKtvnow' ni moja ya app inayomuwezesha mtu kuzama tv nyingi mfano skysport,bein,bbc,cartoon networks n.k so naomba kujua application za PC...
 17. Executor

  nipeni aidia wazee...

  Habari wakuu.... Kuna nyimbo nilikuwa ilikuwa inapiwa sana kipindi hicho nafikiri miaka ya 2006-08 na hata sasa huwa inapigwa katika vituo vya redio lakini mara chache sanaaa,huo wimbo unaeleza hivi,yaani kuna jamaa alikuwa na demu wake anaye muelewa kinoma mara siku akaja demu na barua kutoka...
 18. Executor

  Kwa tuliochaguliwa Tumaini University Makumira tukutane hapa

  Habari wazee... dah serikali hii au sijui ni vyuo tu yaani nimefanya vizuri science lakini naenda kuchaguliwa course ya uwalimu doh....it's all good.Kwa wale waliochaguliwa ''Tumaini University Makumira'' Tujuaneeee aseeee
Top Bottom