Search results

 1. Farolito

  Msaada: Naomba kufahamishwa namna ya kuwadhibiti mende

  Hii ndio mwisho wao
 2. Farolito

  Binafsi nataka kuona Pay Slip ya Singasinga Seth

  Kwa taarifa niliyosoma ni kwamba anatakiwa kulipa bilioni 26 ila Jana ndio katoa milioni 200 ataendelea kulipa taratibu ndani ya mwaka mmoja kukamilisha hio B.26 Kama nimekosea nisahihishwe
 3. Farolito

  Kenneth Kaunda afariki dunia akiwa na miaka 97

  Apumzike kwa amani
 4. Farolito

  Wakili aeleza walivyosota gerezani na mkewe miezi 18, waamua kudai fidia

  DPP Mganga anapaswa kuchunguzwa kwa uhalifu,malalamiko juu yake ni mengi mno
 5. Farolito

  Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

  Corona ni local problem?anajua hata kwanini inaitwa corona virus"pandemic''. Ndio maana nchi ilikuwa inaelekea shimoni kwa ushauri wa watu kama hawa
 6. Farolito

  Kamati ya Amani yapiga marufuku Magufuli kuitwa "Mwendazake", Wametumia sheria gani?

  Huyo atabaki kuwa Mwendazake tu,tusipangiane,tunajua kwamba hao ndio walikuwa waimba mapambio wake wakati watu wakiteswa na kuuawa sasa wanatafuta pa kutokea
 7. Farolito

  Kamati ya Amani yapiga marufuku Magufuli kuitwa "Mwendazake", Wametumia sheria gani?

  [emoji3][emoji3]Alifikiri Mama ni Mwendazake,eti amchezeshe singeli
 8. Farolito

  Netanyahu aondolewa Uwaziri Mkuu

  OK lakini nadhani kinachofanya asipotee masikioni ni ile kutoka na kurudi labda
 9. Farolito

  Netanyahu aondolewa Uwaziri Mkuu

  [emoji3] nipo chief nitarudi tu usijali
 10. Farolito

  Kumbe kubandika stika ya BIMA kwenye kioo cha gari ni lazima, hata kama umekata BIMA yako mtandaoni

  Ungemuuliza stika ipi sasa?maana huko bima hawatoi hivyo vikaratasi vya kubandika au alitaka ubandike form ya malipo?
 11. Farolito

  The oldest land animal alive today

  Hivi hawaarhiriki na magonjwa hawa?mbona wanaishi umri mrefu sana
 12. Farolito

  Netanyahu aondolewa Uwaziri Mkuu

  Akae na familia sasa alee vitukuu,maana tangu nianze kumsikia nikiwa shule ya msingi aisee
 13. Farolito

  Nyoka Koboko au Black Mamba

  Stori za vijiweni hizo,ukibeba uji utaishiwa kumwagikiwa mwenyewe huo uji kwa hofu pindi ukimuona halafu baada hapo anakutandika meno kwenye mbavu ndio utajua hujui
 14. Farolito

  TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

  Apumzike kwa amani, nilipenda kumsikiliza alipokuwa RFA, vipindi vyake vilikuwa haviboi, alikuwa vizuri.
 15. Farolito

  Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi, Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

  Mama aliambiwa achana hawa watu hakusikia haya sasa kazi iendelee.
 16. Farolito

  Umoja wa Mataifa wakubaliana kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

  Yaani Ukimwi umalizike kwa staili hiyo?mi nikajua chanjo au dawa ipo waanze kupewa wagonjwa
 17. Farolito

  Mbowe unakosea sana kumpangia Rais Samia ratiba zake

  Unajua watu wamejenga kichwani kwamba raisi ni boss wetu,kumbe sisi ndio maboss wake,na kwa ujinga juu ndio maana Mwendazake kila hotuba ilikuwa ni kufoka tu
Top Bottom