Search results

 1. Sandali Ali

  Waliofanya kazi na Magufuli wamevumilia mengi

  Mimi ninafanya kazi taasisi moja iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, wizara ambayo Magufuli kahudumu kwa muda mwingi. Hapa watu kuhamishiwa wizarani au mtu wa wizarani kuja hapa ni jambo la kawaida tu. Ngoja nikupe kisa kimoja tu cha huyu aliyekuwa msaidizi wa Magufuli. Kuna kipindi alitaka...
 2. Sandali Ali

  Nitamwamini na kumuunga mkono Rais Samia atakapotatua suala la fao la kujitoa

  Habari! Sasa ni awamu ya 6 kwa mujibu wa Rais mwenyewe na serikali yake. Rais Samia Suluhu nitakuunga mkono kama utaondoa dhuluma hii kwa vijana. Kumnyima kijana asichukue fedha yake kwenye mfuko wa kijamii mara baada ya ajira yake kukoma ni dhulma isiyovumilika. Hebu vuta picha kijana...
 3. Sandali Ali

  Utajiri wa 'ngende' (ushirikina) una masharti magumu kuliko utajiri wowote ule duniani

  Mambo vipi wazee! Aisee duniani kuna mambo sana. Ukienda gende yenyewe original kutafuta utajiri hakika utaupata endapo tu utazingatia masharti yao. Sharti lao kuu uwe na biashara, hili sharti halihitaji biashara kubwa. Hata biashara ya kuuza nyanya chungu poa tu, hata kuuza mishikaki ya mia...
 4. Sandali Ali

  Wakala wa benki alinifanya niishi katika lindi la ufukara, sasa zamu yake

  Habari! Nitasimulia kwa ufupi kisa hiki kisichosisimua ila kinafundisha. Mwaka 2016 nilitembelewa na huyu wakala wa benki kazini. Akanishawishi nikakopa pesa kwa mara ya kwanza. Niliikopa pesa kwaajili ya kujiendeleza kielimu na nyingine nifungue biashara. Bahati mbaya sikujaza vizuri...
 5. Sandali Ali

  Anayejua kisa cha Lissa na Rapcha anipe short story, yaani mpaka sasa sijui nini kinaendelea pamoja na kuwa member wa UWABATA

  Habari wakulungwa? Nakuta tu huko fb kumepamba moto, mara Raptcha afukuzwe na mawe, mara aokolewe mara alaumiwe. Please help me to understand what's going on? Asanteni . -------- Jibu:
 6. Sandali Ali

  Rushwa ni halali Tanzania? Askari wa barabarani wanachukua rushwa bila kificho wala hofu

  Habari wanakamati? Naomba kuuliza kaswali kadogo tu. Hivi nchi hii ya Tanzania rushwa si kosa tena? Polisi kwenye vituo vyao wako busy kuchukua rushwa bila haya. Barabarani pia wanachukua rushwa kwa bodaboda, watu wa bajaji na daladala kweupe. Ukitaka kuhakikisha haya panda daladala ujionee...
 7. Sandali Ali

  Mungu anapitisha kisulisuli, anaisafisha dunia.

  Habari wanakamati! Naomba muungane nami kuupata huu ujumbe. Mungu anaisafisha dunia, na kila bonde litasawazishwa, kila kilichotukuka kinashushwa, kila anayeigiza utakatifu atafyekwa. Hii dunia inasafishwa sasa. Ujumbe tayari. Mithali. 10:25 Kisulisuli kikiisha pita asiye haki hayuko tena.
 8. Sandali Ali

  Hivi kuna mtumishi wa umma aliyepokea barua ya kupandishwa daraja mpaka sasa?

  Habari! Mambo yasiwe mengi ngoja niweke mada mezani. Hivi kuna mtumishi wa umma aliyepokea barua ya kupandishwa daraja mpaka sasa tangu tulipoahidiwa May 1, 2021?
 9. Sandali Ali

  Kwenye madini na kamari(casino) ukienda na malengo hufanikiwi

  Habari, Hivi unajua kuwa ukienda Machimbo madogo ya dhahabu au madini ya vito unatakiwa kuweka uchu wa mafanikio mbali? Malengo yoyote hupaswi kuweka. Nenda machimbo fanya kazi kama kazi wala kichwani usijijazie mimali. Hii kanuni pia iko kwenye macasino. Ukicheza casino huku unapigia hesabu...
 10. Sandali Ali

  Nimempelekea pesa ya kodi, kagoma kunipa mzigo. Nimerudi na pesa yangu

  Huyu binti ambaye niliwahi kuleta taarifa yake ya kuninyima mzigo licha ya kulala kwake siku 2. Wadau walitoa maoni yao nikawaelewa. Nikambana kwanini alifanya vile akasema ni woga tu( nahisi ni bikira). Nikaendelea naye chatting and so. Kaniomba nimwongezee pesa alipie chumba nikampa ahadi...
 11. Sandali Ali

  Kwa hili nililoliona kazini kwetu kuna dalili watumishi wenye sifa sawia walioajiriwa pamoja wengine kupanda madaraja wengine watabaki kama walivyo

  Naomba nisiitaje ofisi husika ili kuondoa tafarani. Kutoka makao makuu yetu tumepokea fomu maalumu ambazo tumezijaza vizur. Hizi fomu tumeambiwa ndizo zitatumika katika kutupandisha madaraja. Cha kusikitisha yametumwa na majina kabisa ya wanaopaswa kuzijaza. Mtu mumeajiriwa pamoja...
 12. Sandali Ali

  USHAURI: Serikali iwakopeshe watumishi wake ili kuwaondolea ufukara na umaskini

  Habar! Ni jukumu la mwajri kuhakikisha ustawi wa mwajriwa wake. Watumishi wa umma wanapata heshima kubwa mitaani kwakufanya kazi serikalini ila wengi ni masikini na wengne ni mafukara. Nimewahi kuishi kifukara kipindi fulani ingawa nilikuwa mtumishi wa umma. Mikopo ya benki haiko kwaajili ya...
 13. Sandali Ali

  Rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma Tanzania hautakoma mpaka pale Serikali itakapoamua rasmi nchi hii iendeshwe Kijamaa

  Habari waungwana! Kwa mujibu wa katiba yetu Tanzania ni nchi ya kijamaa. Ukisoma sura ya kwanza utaliona hili. Ila misingi ya ujamaa ni kuwa mbali na rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma jambo ambalo tuko kinyume nalo. Wizi upo Ufisadi upo Rushwa ipo na Unyonyaji upo. Unyonyaji ndio baba wa...
 14. Sandali Ali

  Dunia iko kasi, zamani mnachati kwa meseji na mpenzi wako usiku kucha unasikia hisia mpaka rohoni

  Daaaahhh kuna vitu ukivikumbuka unaweza kulia. Dunia iko kasi sana. Enzi zetu mnachati na mpenzi wako kwa sms mpaka unahisi Mungu dunia aliiumba kwaajili yenu tu. Sasa hivi mkichati kidogo tu mnaombana vikojoleo, mkitumiana chatting inakata kwa siku hiyo mnasubiri siku nyingine. Mkichati siku...
 15. Sandali Ali

  Ushauri: Balozi yeyote aliyeko Ughaibuni asipoleta wawekezaji atimuliwe kazi

  Habari! Ni wakati sasa wa nchi kubana matumizi na kuruhusu matumizi matakatifu tu (matumaini yenye tija). Ni muda muafaka Sasa kwa mabalozi wa Tanzania katika nchi zilizoendelea za Ulaya, Amerika na Asia kufanya ushawishi wa hali ya juu kwa matajiri wakubwa na kampuni kubwa kuja kuwekeza...
 16. Sandali Ali

  Wewe uliyetudanganya kuwa tukiweka dawa ya meno kwenye uume tutapata matokeo chanya Mungu anakuona. Mkuyenge wangu ulikata moto.

  Hi gentlemen & ladies! Kama sitakosea ilikuwa 2019 mdau mmoja humu alitupia uzi au alichangia kwenye uzi fulani uliozungumzia jinsi ya kuboresha tendo la ndoa. Alielezea kuwa ukichukua mafuta ya mgando kidogo ukimix na dawa ya meno kidogo kisha ukimpaka dula kichwa wazi basi utapata raha ya kufa...
 17. Sandali Ali

  Ningekuwa sina ajira ningefanya jambo moja ambalo lingenipelekea kuajiriwa haraka na kwa urahisi

  Hii njia ambayo nitaianika hapa si njia rasmi na si njia ya kuweza kutumiwa kichwakichwa. Hakikisha suala la ajira na sifa kedekede unazitupa mbali, let's say vitakuja automatically. Ningefanya upelelezi kwa kina, ningeweza hata kufanya jambo kwa muda wa mwaka mmoja ili nikusanye taarifa za...
 18. Sandali Ali

  Jambo ambalo wengi hawalijui: Hakuna kiongozi wa kisiasa atakayeshitakiwa kipindi cha uongozi wake au baada ya uongozi wake, ilimradi awe mwanaCCM

  Habari wapendwa! Mimi si mwandishi mzuri na huwa ni mzito kuandika jumbe ndefu. Habari ni kwamba viongozi wa kisiasa chini ya serikali ya CCM hawawezi kushitakiwa kwa makosa yao waliyotenda kipindi cha uongozi wao. Wanawaza kuwajibishwaa kwa namna tofauti ila sio kuwapandisha kizimbani. CCM ni...
 19. Sandali Ali

  Kanikaribisha kwake, nimelala naye mpaka asubuhi ila mzigo kagoma kunipa

  Kuna mdau mmoja alitoa hoja ya kunyimwa mzigo kwa mazingira yaliyofanana na yangu. Nilimjibu kwa dhihaka na ujeuri. Anisamehe bure popote alipo. Haka kabinti sijui ni bikra au ana tatizo gani, nikampanga Hadi kakubali nikalale ghetto kwake. Nilimvua mpaka Pichu kwa kutumia nguvu baadaye...
 20. Sandali Ali

  Ukiondoa wastaafu wanaosubiri mafao yao, ni kundi gani jingine linaisoma namba zaidi?

  Binafsi naona wastaafu ndio kundi pekee waliomaliza kuzisoma namba zote hapa duniani. Kuna wastaafu wengine wana miaka 2,3 n.k hawajalipwa stahiki zao. Kila siku wakienda PSSSF wanaambiwa bado hiki, wakikamilisha hiki wanaambiwa bado kile. Then hupewa kakenda ya kulipwa, hapo sasa shughuli...
Top Bottom