Search results

 1. P

  Saido Antibiotics & Co wanapofufua mipira iliyokufa, wako wapi specialist wa "dead balls" kutoka Tanzania

  Naamini mpaka sasa bado Ajib ni mpigaji mzuri wa hii mipira, shida ni timu anayochezea. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 2. P

  Kadima Kabangu: Naamini Simba SC watanisaini msimu huu ukimalizika

  Awe kama Papa Ndaw. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 3. P

  Vijana wengi kwa sasa Tanzania wanajichubua kwasababu ya ubaguzi wa kifamilia na kijamii

  Ukiwa ulaya unaitwa black, hivi vitu ni relative sana Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 4. P

  Mgombea Urais TFF Oscar Oscar: Yanga SC inaongozwa Kihuni na ikiri tu kwa Mashabiki kuwa inaogopa kufungwa nyingi tarehe 3 July, 2021

  Sikuelewi kusema kikosi cha Yanga ni dhaifu, Simba hii ikiwa full ilipigana kufa na kupona kupata draw kwa Yanga, mechi iliyofuata Simba wakapoteza, sasa sielewi kipimo kipi Yanga ni dhaifu kwa Simba hii. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 5. P

  Mgombea Urais TFF Oscar Oscar: Yanga SC inaongozwa Kihuni na ikiri tu kwa Mashabiki kuwa inaogopa kufungwa nyingi tarehe 3 July, 2021

  Simba anahitaji kumfunga Yanga zaidi ya mechi kumi ndio alingane na idadi ya mechi Yanga alizomkalisha. Hata mechi mbili za mwisho bado Simba kwa Yanga anapumulia mashine. Hata Yanga queens inatosha kuwanyamazisha. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 6. P

  Nchi ya Israel ina sera gani kuhusu mtu mweusi kiujumla?

  Huko ni mbali, ungeanza kuuliza Tanzania ina sera gani kuhusu wazungu Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 7. P

  Wapi napata mganga mzuri?

  Kuna waganga wa kweli, ila shida ya hapa wengi wanawaza upigaji Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 8. P

  Wapi napata mganga mzuri?

  Wasaalam wanabodi. Bila kupoteza muda, niombe niende kwenye mada husika. Kuna eneo flan nilinunua sehemu ila baadae baadhi ya wakazi wakaanza kuhujumu badhi ya shughuli zangu katika hilo eneo hilo, hasa mifugo iliyopo. Kila mara ni wizi wa kuku au mbuzi na naona hili wamelizoea. Ili...
 9. P

  Video: Katibu wa wazee Mzee Magoma awashukia vikali GSM

  Kilomoni si mlitaka kumtoa roho?? Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 10. P

  Netanyahu aondolewa Uwaziri Mkuu

  Namwona akirejea kwenye nafasi ya uwaziri mkuu muda sio mrefu. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 11. P

  Tujikumbushe kichekesho cha dunia: Yanga vs Ndanda FC 2016

  Karia ashajua wazi hahitajiki pale, hata Yanga ikigoma, hana ubavu huo. Yanga ni zaidi ya unavyojua. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 12. P

  Kati ya timu ya Brasil na ya England ipi inapendwa zaidi.

  Brazili kwa muda mrefu imekuwa na mpira mzuri wa kuvutia (samba), hata kama huipendi basi unakuwa na shauku ya kuona vile wanatandaza soka. Kwa tuliobahatika kumwona nabii wa mwisho wa soka, Ronaldinho, alipokuwepo tulikuwepo. England ni kama simba, ukimsikia Haji Manara akiongea, hutaamini timu...
 13. P

  TFF yavuna mamilioni uchaguzi mkuu

  Hizi hata hazirudishi pesa ambazo Karia katumia kuhonga wajumbe. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 14. P

  Yaani Simba Hamnaga Scouts makini Hadi muwategemee Yanga?

  Njoo nikutumie wewe ndio akili zako zitakaa sawa, Rage aliwaita mbumbumbu na kweli huna akili. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 15. P

  Yaani Simba Hamnaga Scouts makini Hadi muwategemee Yanga?

  Scouting pekee Simba waliyoifanya bila kuigiliza ilikuwa kumsajili mchezaji anayeitwa Danny Serenkuma, mwisho wa siku wakambandika jina la Mrisho Mpoto. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 16. P

  Bajeti ya Kenya ni zaidi ya mara mbili ya Tanzania, Wabongo wanazidi kukwama sana

  Wakenya wamepeleka petition mahakama ya East Africa kuizuia serikali yao kuendelea kukopa. Imeelezwa serikali hiyo inakopa kwa riba kubwa na kuwekeza kwenye miradi isiyokuwa na tija. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 17. P

  Makombora ya Yemen sasa yana uwezo wa kuipiga Israel

  Iran anawaponza hawa watu, anawafundisha kuwa wachokozi wanapobomolewa anakaa kimya na kuwapa pongezi za ushindi wa uongo. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 18. P

  Makombora ya Yemen sasa yana uwezo wa kuipiga Israel

  Tupe link ya kuendelea kupata vichekesho vya zaidi. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 19. P

  Naomba msaada nasumbuliwa na allergy. Natokwa na vipele nikitumia dawa vinapona na kurudi tena

  Sawa mkuu cheki inbox Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 20. P

  Naomba msaada nasumbuliwa na allergy. Natokwa na vipele nikitumia dawa vinapona na kurudi tena

  Ile ya kupaka alovera! Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Top Bottom