Search results

  1. W

    Mimi fundi wa kuchomelea wapi naweza kujifunza MIG na TIG kwa Dar

    Kwanza naomba nitangulize samahan kama ntakua nmetoka nje ya jukwaa husika,ila pia ntaomba msamaha wenu uambatane na maelekezo kuwa napaswa kwenda jukwaa lipi. Mimi ni fundi kuchomea (arc welding) sasa nilitaka niongeze ujuzi kidogo kuhusu MIG pamoja na TIG(Tungsten inert gas),sasa je kuna...
Top Bottom