Search results

 1. N

  Rais Magufuli tunakuomba umwache Katibu Mkuu Dr. Turuka Wizara ya Kilimo

  Kwako Mh. Dr John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwanza nakupongeza kwa mema unayoyafanya. Hivi karibuni umefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa na kufanya mabadiliko ya Makatibu Wakuu wa Wizara mabalimbali. Moja ya wizara zilizopata mabadiliko ni wizara kilimo. Kwenye...
 2. N

  Vibali vya kusafiri nje nchi toka Ikulu viwe vya kielectroniki

  Kuna minongono mingi sana juu ya vibali hivi vya kusafiri nje nchi vinavyotolewa na ikulu vinachelewa sana au pengine havitoki.Unakuta mtu umeomba kibali mwezi mzima, lakini mpaka siku ya safari kibali hakitoki. Kwa dhana JPM ya kupunguza urasimu, hii ya vibali toka ikulu haijakaa vizuri...
 3. N

  Naomba picha za athari za uchimabji wa madini kwa wananchi, Nyamongo and Kahama

  Wakuu heshima mbele, Naomba kama kuna mtu anaweza kunipostia hapa picha zinazoonyesha athari za uchimbaji wa madini Tanzania. Mfano kama una picha za athari za maji ya sumu ya mto tigiti, Bulyankulu, etc. Vilevile picha za nyumba za wenyeji wanaozunguka machimbo hayo zitafaa. Thanks
 4. N

  PhD mbili za Nchimbi Emmanuel ni halali? High level ya uchakachuaji Tanzania

  wakuu wa kazi, juzi mzumbe walikaririwa na vyombo vya habari wakimtunuka nchimbi phd. Ieleweke kuwa kwa muda mrefu huyu jamaa amekuwa akiitwa doctor kumbe hana phd. Kama hali imefikia hivi hatuoni kuwa Tanzania tumefika kubaya? Mtu anajiita dr wakati he doesnt have such qualification. Na hata...
 5. N

  Makomandoo kutoka Libya, Aghanistan & Palestina, Mabalozi watoe kauli

  Wakuu naomba mabalozi wa Libya na Palestina watoe kauli kuhusiana na tuhuma hizi za Mukama kuwa Chadema ilitrain/kupata makomandoo kutoka katika hizi nchi. Najua hatuna balozi wa afghanistan hapa, but we have libyan and Palestinian. Pia usalama wa taifa, jwtz na polisi wambane mukama...
 6. N

  The parliament that works

 7. N

  Miezi saba mawaziri waponda raha hotelini,angalia uongozi wa kikwete ulivyo

  6th June 2011 Hakuna nyumba za kuwapa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha. Ule ukwapuaji wa nyumba za serikali zilizokuwa rasmi kwa makazi ya watumishi wa umma bado unaendelea kuigharimu serikali kwa maofisa wake kukaa hotelini kwa kipindi kirefu...
 8. N

  Sumaye kampasua JK na Rizi tayari?

  Wanajanvi. Ile press conference ya sumaye imekuja na mapya gani. Wenye data mtujuze please. Inasemekana Jk ndiye kinara wa kuwatumia hawa wakora kuwashambulia wastaafu wanaojaribu kuonyesha njia namna nchi inavypswa kuongozwa. Hawa wastaafu wanamkosesha mkulu usingizi na akaamua kumtumia mwanaye...
 9. N

  5 signs she’s into you

  5 signs she’s into you You and a pretty redhead are tucked away in a corner table at that impossible-to-get-into new French bistro. And lo and behold, you notice she’s laughing at your jokes, twirling her hair, and giving other crystal-clear signs she’s into you. Or is she? Problem is, it...
 10. N

  Hoja ya lema kuwakiliswa kwamaandishi, ccm washtuka waziri mkuu kuvuliwa nguo hadhara

  Wakuu wa JF, Habari kutoka mjengoni zinatabaisha kuwa ccm wameshtukia dili utetezi wa Mh.Gobless Lema (Chadema) dhidi ya hoja ya spika wa bunge mh Anne Kitoto cha ndege. Spika amenukuliwa kuliambia bunge kuwa mh lema sasa atatakiwa kujitetea kimaandishi na siyo kuhutubia bungeni kama...
 11. N

  Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

  Wakuu wa JF, Habari kutoka mjengoni zinatabaisha kuwa ccm wameshtukia dili utetezi wa Mh.Gobless Lema (Chadema) dhidi ya hoja ya spika wa bunge mh Anne Kitoto cha ndege. Spika amenukuliwa kuliambia bunge kuwa mh lema sasa atatakiwa kujitetea kimaandishi na siyo kuhutubia bungeni kama...
 12. N

  Mshaurini huyu dada, ana matatizo ya orgasm

  Habari zeni Kwa kweli naona aibu sana hata kuhadithia matatizo yangu hadharani ila imenibidi. Mimi ni dada wa miaka 32 ,nimejifungua mwezi uliopita. Sijui ni kwanini kwa kweli ila kila ninapomnyonyesha mwanangu nakuwa Napata orgasm. Yani najisikia vibaya sana jamani, sielewi kwanini...
 13. N

  Serikali ya Tanzania haina fedha, ahadi za Kikwete kuota mbawa

  Miradi ya maendeleo, ahadi za JK zakwama na Betty Kangonga SERIKALI inakabiliwa na upungufu mkubwa wa fedha uliotokana na matumizi mabaya yasiyo na tija pamoja na misamaha holela ya kodi iliyosababisha kushuka kwa kiwango cha ukusanyaji wa mapato, Tanzania Daima Jumatano limebaini...
 14. N

  Hausigeli Akatwa Mdomo, aunguzwa na pasi

  Sumiati Binti Sala Mustapa akiwa katika hospitali ya Mfalme Fahdi mjini Madina alipolazwa. MFANYAKAZI wa ndani raia wa Indonesia, aliyekuwa akifanya kazi katika nyumba moja nchini Saudi Arabia, amelazwa hospitali katika chumba cha watu mahututi baada ya kukatwa sehemu ya mdomo wake na...
 15. N

  Elections 2010 Tetesi

  Jamaa zangu wamenithibitishia kuwa mafisadi hawa wameangukia pua 1. Chenge 2. Mramba
 16. N

  Worst-Paying College Degrees

  We all know money doesn't buy happiness--and that's good news for these new grads. There's no denying the value of a college education: According to recent U.S. Census surveys, the median salary for college grads is more than $20,000 higher than that of people with only a high school diploma...
Top Bottom