Search results

 1. I

  Ajali ya moto TRA Headquarters: Mifumo yatoweka hewani, waomba radhi

  Enzi za JK ilikuwa hivi hivi umeme unakatwa makusudi, watu wanafanya yao manually wanapiga pesa. Ipo siku mtanikumbuka in JPM voice.
 2. I

  Baada ya hayati Magufuli kufariki 'mikutano ya injili' imeanza

  moja ya dalili ya kuwepo kwa biashara haramu ya unga ni utitiri wa mikutano ya injili ikifanywa na watu wasiokuwa na haiba wala karama ya kuwa wachungaji wala watumishi wa Mungu. dalili zimeanza kuonekana. mikutano hiyo huambatana na safari za kuenda nje zisizoeleweka malengo yake. pia hutokea...
 3. I

  Watanzania tufanye nini kuiondoa nchi yetu mikononi mwa madalali na wapigaji?

  mpaka sasa sielewi dr. magufuli kafa kivipi? mtu aliejipambanua kutetea na kulinda mali za nchi bila kupepesa macho. inaonekana wale wabaya wake. mimi nawaita madalali wa upigaji wanafurahia sana kutokuwepo kwake. nchi hii ilishaibiwa sana. kongo ya felix tshisekedi inaibiwa usiku na mchana...
 4. I

  Net worth za Wasanii wa Bongo

  Wakuu nataka kufahamu net worth za wasanii wa bongo. Nikimtazama mwanamuziki jux naona msanii mkubwa ndani yake. mwenye kipaji. Ana pesa kiasi gani na anazipata je, kwa kuimba tu au ana vyanzo vingine halali? Karibuni.
 5. I

  Tanzania bado inahitaji Rais kama Hayati Dkt. Magufuli

  Dkt. Magufuli amelala. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, Amen. Hayupo. Sisi ni Watanzania taifa huru Magufuli hayupo pamoja na yote tunamtaka Rais wa aina yake. Rais asiyeamini mikopo ya wanaoitwa wahisani ni kina nani hawa wanaokuja kutaka...
 6. I

  kuhusu hoteli, hunting blocks 47, air stripes 38

  Kwa mujibu wa Dr. Magufuli (rest in eternal peace), siku akiwahutubia wakazi wa Kinyerezi, anasikika akisema kuwa... Walipoanza mchakato wa ujenzi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere walikosolewa. anasema Dr. Magufuli (rest in eternal peace) kuwa walipochunguza waligundua kuwa ndani ya...
 7. I

  Ujamaa ulitushinda, Ubepari umetushinda; sasa twende na Uzalendo

  Bila kujali itikadi za vyama vyetu tukubaliane sasa 'vichwa' wote waungane tutengeneze tu taifa la kizalendo lenye kulinda na kutetea maslahi ya nchi yetu na kuitii Katiba Mpya. Tufute vyama halafu wale viongozi wa vyama wenye akili kama Zitto, Jussa, Mnyika, Mbowe, Lissu, Mdee na wengine...
 8. I

  Timu za Majeshi zipigwe marufuku kucheza Ligi Kuu

  Serikali iliangalie hili. Natizama mechi ya simba na jkt gani sijui hawa. yaani simba wanacheza mpira lakini hawa jkt wanacheza rafu tu. Mugalu kapigwa buti kapoteza fahamu. sasa katolewa. Manula kapigwa kichwa makusudi nadhani sasa atakuwa anapelekwa hospitali. Mambo ya hovyo sana.
 9. I

  Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waagiza takwimu za wagonjwa wa korona na chanjo vitolewe

  Ambassador to Tanzania. I want to talk to you about COVID-19, and how we can work together to prevent its spread and help all of us stay safe. Since the start of the Covid-19 pandemic, almost two and a half million people have died of the disease. The loss is staggering, and no country has...
 10. I

  Dar es Salaam biashara zinakufa kwa kasi sana

  Dar es Salaam inachakaa kwa kasi ya ajabu. Mtaa wa Samora, moja ya mitaa ya jiji iliyokuwa kitovu cha biashara ya bidhaa halisi kwa sasa inatia huruma. Biashara ni kama hakuna na zilizobaki hazina wateja. Ule ukijani na marashi ya Mtaa wa Samora sasa ni historia. Mabenki kama NBC ukienda pale...
 11. I

  Tabata hatuna maji wiki nzima

  Tunaomba mamlaka husika zichukue hatua au zichukuliwe hatua. Tabata na vitongoji vyake na pengine tabata nzima maji ya dawasco hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Tangu mzee Magufuli aende kupumzika kwao tumekatiwa maji. mambo mengi napishanaga nae huyu mzee na chama chake ila suala la kupiga...
 12. I

  TAKUKURU ifuatilie nyendo za Engineer Hersi

  kuna kila dalili Engineer Hersi ananunua matokeo. hii hapa chini ni picha akiwa na bahasha za kaki katika moja ya mechi za ligi kuu ambazo ni yeye tu anaweza kutueleza kama humo ndani katia vitunguu au tangawizi. Takukuru fuatilieni, huyu mtu ataharibu soka letu.
 13. I

  Je, Wabunge hutumia vipi vipato vyao? Inakuaje Mbunge baada ya miaka 10 bado njaa inamuendesha?

  Kufuatia sakata hili la 19 ambalo ni wazi inaonesha msukumo wake ni njaa ya mapesa na anasa za Ubunge, nachelea kuhoji sasa hawa Wabunge wetu wanapanga vipi bajeti zao kutokana na mapesa wanayolipwa? Fikiria mtu kama Halima, miaka 10 ya Ubunge lakini anakuja kuishia kujimaliza kisiasa kwa...
 14. I

  CHADEMA tudumishe Resilience yetu

  Chama cha Demokrasia kimepita misukosuko mingi sana. mwenendo wa siasa za miaka mitano iliyopita, uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa uchaguzi mkuu ni sehemu tu ya misukosuko hiyo. Tuendeleze ile resilience yetu. viongozi wetu tunawaamini, na sisi wafuasi wa chama tupo na tunaona yote...
 15. I

  Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

  Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana. Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store). Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download...
 16. I

  Uchaguzi 2020 Ule mtaji wa 'vijana hawapigi kura' safari hii haupo

  CCM wamekuwa wakitumia kasoro ndogondogo miongoni mwa wapiga kura kama mtaji wa kisiasa. Kwa miaka na chaguzi kadha, imekuwa ikiaminika kuwa vyama vya upinzani vinapendwa na kujaza vijana katika mikutano yao lakini vijana hawa hawapigi kura pale muda wa kufanya hivyo unapowadia. Dhana hii...
 17. I

  Msaada shule bora ya sekondary ya michezo

  wakuu nina kijana wangu anamaliza darasa la 7 mwakani. nataka akiwa tayari kuenda o level nimpeleke shule ambayo haijali tu masomo ya kawaida bali michezo pia. nataka kutengeneza bonge la central defender kwa ajili ya professsional football na Taifa Stars. asanteni.
 18. I

  Covid 19: Senegal yasifiwa kwa kupambana na Corona

  BBC wameripoti kuwa miongoni mwa mataifa ya Afrika, Senegal imefanya vyema katika mapambano ya Covid 19. wamesema bila kupepesa macho. hongera Senegal kwa kutuwakilisha vyema Waafrika. ====== Keeping coronavirus at bay - a success story © Despite only having...
 19. I

  Ubinafsishaji Mashirika ya Umma ulifanyika ili kumuenzi Mwalimu Nyerere?

  BWM. rest in peace. Moja ya mambo makubwa aliyofanya hayati Mkapa bila kujali kama yalileta tija au yalitia hasara ni Ubinafsishaji wa Mashirika ya Umma. Kama ilivyozoeleka kwa marais waliofata baada ya Mwalimu Nyerere, mambo mengi wamekuwa wakiyafanya kwa ajili ya nchi na kujinasibu kuwa...
 20. I

  Uchaguzi 2020 Twende na yeyote mwenye dhamira ya dhati ya kumng'oa mkoloni wa kijani

  Inafika wakati unaona kabisa kuna uhusiano mkubwa wa mateso na umaskini wa watanzania na hiki chama cha kijani. Hiki chama na wanaokishabikia ni laana kwa nchi. Kimewashikia akili baadhi ya watanzania masikini na kuwageuza mtaji wa kisiasa. Chama cha namna hii ni cha kupiga vita na...
Top Bottom