Search results

 1. B

  Haya sio Mapenzi bali Uroda

  Ebwana eheee nimeoa miaka Saba iliyopita lakini cha kushangaza sasa kila siku unaambiwa mapenzi yazidi kuongezeka na sasa si mapenzi tena Mwanaume mwenzenu napata uroda. Asubui nikiamka nakuta maji bafuni zamani maji ya kuoga alikua anayaunga na karafuu Ila sasaivi ameongeza anaweka majani ya...
 2. B

  Watanzania tubadilike

  Habari Zenu Bandugu, Naomba niende moja kwa moja kwenye maada.... Vijana wengi au kundi kubwa la vijana hua hatunaamuzi yetu binafsi hasa pale tunapofikisha umri kuanzia miaka 18 na kuendelea maana yangu ni nini? Yaani unakuta kijana amezaliwa anakuta baba/ mama yeye ni shabiki wa Simba/ yanga...
 3. B

  About First Lady In Tanzania

  Habari za wakati huu? Imekua kawaida sana hasa baada ya uchaguzi Mkuu na mpaka kufikia hatua ya kuapishwa kua raisi wa nchi, Wakati akiwa amekabidhiwa nchi punde Mda si mrefu hua wanamfata mkewe popote alipoajiliwa na kumuachisha shughuli aliokua anafanya (ajira yake) pengine kwa kuwaaga...
 4. B

  Yanga kwa kweli wamewafunika Simba 100%

  Jamani, jamani, jamani hii Yanga Day Imetisha! Yanga kweli ni kiboko yao Kwanza imejaza uwanja watu wamefurika mpaka nafasi hakuña wengine wamebaki nje ukilinganisha na Simba day uwanja ulipwaya Sana. Show ya msanii (harmonise) Latisha namna alivyoingia uwanjani. Kabumbu limepigwa vizuri Sana...
 5. B

  Hivi ni kweli Palestina hawana Jeshi?

  Hellow, Wakuu naomba kujuzwa kuhusu habari hii tajwa hapo juu ama kama kuna threads ilishawai kuzungumzia Palestina pamoja army power yake tafadhali. Kuna mahala nilisikia kwamba Palestina hawana Jeshi zaidi ya Jeshi la Polisi pamoja na intelligence na kitengo cha kumlinda Rais. Wajuzi wa...
 6. B

  Mnaotumia Voda, Tigo ama Airtel katika bando, vipi huko hali ikoje maana TTCL bando halikai kabisa

  Husiku na kichwa cha habari hapo juu, Nimekua mteja wa TTCL muda sasa toka nilipoanza kutumia yapata miaka kadhaa. Mabadiliko mengi yakatokea mimi nipo tu. Kwa mabadiliko haya ya gharama za data zao naamini watampoteza mteja mmoja. TTCL mna threads zenu humu ndani (JF) namna mtaboresha huduma...
 7. B

  Vijana turidhike na kazi/nafasi tulizo nazo

  Habari zenu Wana JF Hivi karibuni nilimsikia Mhe. Rais akisema Vijana wanapashwa kuridhika na nafasi walizo nazo. Binafsi nilihisi analenga watendaji wake (viongozi) kumbe hapana hii kauli inalenga mpaka watu wa kawaida tu. Ninaye jamaa namfahamu yeye ni mtumishi wa TBS lakini Cha kushangaza...
 8. B

  JEJE na Diamond

  Kuna mistari inasema "Nimwage Wese,Unesenese Kwenye Rungu la komredi kipepepe" Wazee hapa jamaa alilenga maudhui gani? Nyimbo za siku izi bwana!
 9. B

  Kuna shida kiunoni mgongoni maumivu makali sana

  Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Tatizo litakuwa ni nini hasa nikianza mazoezi ya kukimbia (jogging) napata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya kiuno nikitembea inakuwa kawaida hakuna maumivu. Hii imetokea baada ya kuacha mazoezi muda mrefu.
 10. B

  Hii ni zaid ya Dream

  Habari hii ndoto imenitisha kidogo usiku kuamkia Leo nimeota nimeua/nimekill jamaa ukimtizama ni ana bonge la bodi yaan mwili mkubwa then nikamkata kidole gumba nikakifukia mahali alafu mwili nikaufungia kwenye kwenye chumba flani kirefu..... Baada kama siku kadhaa mtaani hapakaliki harufu cha...
 11. B

  Member wa JamiiForums mpo wapi?

  Habari members, Hua najiuliza hili swali mara nyingi kwamba Member wa JF huwa mnachangia mada mkiwa wapi mnajifungia ndani au? Mana napanda daladala hampo, bar hampo, kila nnapokaa kwenye changanyikeni ya watu ambao wapo busy na simu zao wengi wapo Instagram, Twitter na mitandao mengine...
 12. B

  Wamedukua account yangu ya Twitter

  Habari Jamii yangu ya humu ndani. Nasikitika sana baada ya masaa kadhaa kupita ndio napata notification kwamba kuna mtu/kikundi cha watu wameweza kuingia kwenye account yangu ya twitter na kufanya walichofanya then wakatoka. Nimeshindwa kuscreenshot ule ujumbe kwa sababu zangu binafsi ...
 13. B

  Kipi minasababisha foleni kati ya Mataa 🚥 na Matrafki

  Habari zenu wadau, Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi hapa Jijini Dar es salaam nini haswa chanzo cha foleni katika barabara zetu kati ya taa za barabarani au traffic? Je, trafiki ni chanzo, maana wanasimama mpaka kwenye roundabout, barabara za mitaani pamoja na kwenye maeneo...
 14. B

  Wadada wa town bwana

  Habari wazee, Nipo kwenye foleni za hapa town muda huu, kama unavojua Dar es salaam barabara nyingi za hapa ni ile two ways in two ways out. Upande wangu wa kushoto kuna dada anaendesha IST nyeupe nashangaa kuona kila tukisogea kidogo anachukua ile wanapakaga mdomoni nyekundu anashusha kile...
 15. B

  Hizi smartphone zimeleta kizungumkuti, ndiyo chanzo kikubwa cha matatizo

  Habari wana JF, Niende straight to the point. Unakuta mgeni amekuja kukutembelea nyumbani kwako/kwenu wote mnakuwa bize na simu kwenye mtandao kati yenu panakuwa hakuna stori zaidi ya salamu na kuitikiana tu ehee. Mwingine anajibu hata kisichoulizwa/ambiwa,dereva naye anachati mpaka anasimama...
 16. B

  Mke wangu anashindwa kunimudu

  Habari zenu wadau wa JF Mimi ni kijana niliye ndani ya ndoa miaka mitatu(3)sasa na tumefanikiwa kupata mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 2 mungu ni mwema sana. Nijiongelee upande wangu kiukweli nampenda sana mke wangu hua najitahidi kumtimizia yale ya msingi ambayo kila mwanamke wa...
 17. B

  Sugar Dadi

  sugar dady, Sugar dady. Sugar daady........ Unihurumie baba yangu ehee. ..... Umasiki si kilema, ni matatizo ya dunia... Leo kwangu,kwesho kwako.... Kheri kufa masikini. kuliko kusimangiwa...... Kheri kufa masikini. Kuliko kusimangiwa na walimwengu Tamaa iliua fisi. Wale wakongwe kama mimi...
 18. B

  Hivi huyu alikula kiapo kweli??

  Unaanzeje mtu tu from nowhere unakaa baa/kwenye kadamnasi na kujitangaza kua wewe ni Afisa usalama/Usalama wa taifa lengo lako hasa ni nini? watu wakuogope wakuache peke yako waone mchomoa betri kaingia? Au unataka unywe uondoke bila kulipa? Kama uliapa ndugu,uliapa kitu gani? Nini maana ya...
 19. B

  Inasadikika

  Wanawake wengi wanaoishi Uswahili Wanajua kukata mauno wakiwa wana Faragha ukilinganisha na wale wanaotokea/ishi kule mijengoni kulikojengeka kwa Ramani(ushuani)
 20. B

  Je hii ni sahihi/ halali

  Kwa maadili ( mila na desturi) za Kitanzania. Mtoto wa kike anaweza kumnunulia mzazi wake wa kiume(baba) nguo za ndani (chupi/boxer)?
Top Bottom