Search results

 1. B

  Hivi ubunifu na vipaji ni kosa la jinai tanzania+afrika kwa ujumla?

  Kwa waliofuatilia Taafifa ya habari ktk television yaTBC1 ni dhahiri kabisa tumeona kuwa kuna Kijana anaitwa Petro a.k.a.Mzimu ambaye ni mkazi wa Kigoma,ambaye amekamatwa na mtambo wa kutengeneza silaha aina ya gobore.Kweli mimi nimemtukuza Mungu kwa kumpa kipaji kama kile cha kipekee kijana...
 2. B

  Sponsorship and full scolarship in our domestic universities.

  WADOGO zangu mliomaliza KIDATO CHA SITA na umefaulu vizuri hebu chukua nafasi hii kutembelea hii tovuti hapa www.sblfoundation.com Nawapenda sana na ninawatakia mafanikio mema.Ngoja mie niendelee kujenga taifa,SINA weekend.
 3. B

  THIS HAPPENS ONLY AFTER 823 years...

  This year we r going to experience 4 unusual dates: 1/1/11 1/11/11 11/1/11 11/11/11..And that's not all.Take the last 2 digits of de year u were born now ADD the age u will be this year and the result will be "111" for everyone. This year October will have 5 Monday and 5...
 4. B

  Msaada wa kisheria katika Jimbo la Arumeru Mashariki

  Naombeni wana JF mnisaidie katika jambo hili.Hivi kama jimbo limemchagua mbunge na bado hajaapishwa,sheria inasemaje katika hilo? Hapa Arumeru Mashariki mbunge aliyechaguliwa anaumwa hata kabla ya kampeni za mwaka jana.Lakini kutokana na upumbavu wa wanaArumeru wachache wakampa ubunge eti kwa...
 5. B

  Kweli serikali ya sasa ni legelege

  Leo usiku katika kipindi cha "Usiku wa habari" kupitia televisheni TBC walikuwa wameandaa habari inayohusu ujenzi wa shule za sekondari huko Kinondoni(Kimara) Dar es Salaam. Nilitamani kuanza safari ya kwenda Ikulu kumwambia Baba Riz awashe Tv ili aone ni kwa jinsi gani serikali yake imeoza...
 6. B

  RICHLAND Co Ltd hilo ndilo jina jipya la TANZANITEONE Co Ltd.....

  Napenda kuuliza vipi kuna arufu ya kutaka misamaha ya kodi hapa au ndio Tanzanite imekwisha?
 7. B

  Hivi UVCCM ni academy ya watoto wa vigogo na mafisadi wa hii nchi?

  #1.Wanaongea bila mpangilio #2.Hawajui kwanini wao ni watanzania #3.Wamekuwa mawakili wazuri wa maovu ya babazao #4.Wamejipa hadhi ya kifalme ktk nchi hii. WanaJF hivi hii academy ina walimu kweli wenye akili timamu?
Top Bottom