Search results

 1. M

  Scooter/ Batavuzi za Kizanzibar

  Habari wana jamii, Natafuta scooter ama batavuzi kwa ajili ya biashara. Je, wapi naweza kupata kwa Dar ama kutoka Zanzibar? Mwenye mawasiliano naomba. Ahsante.
 2. M

  Kuhamisha message za WhatsApp kutoka kwenye Iphone kwenda kwenye Android

  Habari, Naomba kama unafahamu jinsi ya kuhamisha msg Na chats zote kutoka Kwenye iPhone kwenda kwenye android Samsung. Ahsante
 3. M

  Usajili wa Line ya Kampuni

  Msaada. Nahitaji vitu gani ili nisajili line ya simu ya Kampuni?
 4. M

  Nina wazo la kutengeneza App

  Habari, Mimi ni kijana nina idea ya kutengeneza app kwa soko la Tanzania na baadae inaweza kutanuka kwenye nchi za jirani. Ni idea ambayo tatizo lake bado watu hawajalitatua hivyo kuna uwezekano lika tick. Shida Kuu ni sijasoma mambo ya IT Na sina hela nyingi za kuweza ku finance project nzima...
 5. M

  House4Rent Frame

  Natafuta frame ya biashara maeneo ya tabata, sinza makumbusho mikocheni na kawe. Tuwasiliane
 6. M

  Je, nini maana ya kupanga orodha ya shule bora baada ya mitihani ikiwa hakuna uwiano kitaaluma?

  Je, kuna haja ya kuendelea kutoa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne na cha sita kishule ikiwa bado elimu haijawa na uwiano unaofanana? Ubora wa elimu haulingani? Kila siku wenye miguu watakua wa kwanza kwenye mbio na wasiojiweza na tutaendelea kuwapongeza? Sent using Jamii Forums mobile app
 7. M

  Chumba

  Natafuta chumba maeneo ya mikocheni mpaka Bamaga. Chumba Jiko na kiwe self contained. Msaada
Top Bottom