Search results

 1. N

  Nafasi za kazi Agosti 2008

  kwa nini mkuu Gember tuambia kama utumishi ni private?
 2. N

  Lowassa anasafishwa!

  Mkuu usishangae hilo, inategema unamja nani na kwa nini, hujasikia wakuu wakihama na madereva wao? madereza wala si wa kati ni wafanyakazi wa chini...lakini wa 'juu' in their own right. kale kainzi kamerudi kutoka kaliko ama bado? LOL
 3. N

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  wenye akili zetu tumeshakuelewa, ni kutumia tu elimination method kujua kimebaki kipi! Lakini haya ni matokeo ya kudharau wosia wa JKN! Tumewakaribisha wakati usio muafaka, wamenogewa, hawatak kuambiwa 'baasi jamani ebu muwaachie watoto kidogo'
 4. N

  JIBU: Tatizo la kukawia kupata GOLI

  Yeah me too
 5. N

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  Huyo ni mtaalamu wa mambo ya uchumi, zamani kidogo alikuwa mwenyekiti wa bodi ya madirectore wa ESRF, kisha akateuliwa kuwa mwenyekiti wa kuongoza tume ya kuratibu maoni ya watanzania kuhusu kuharakishwa kwa shirikisho la afrika mashariki, of which watanzania waliukataa huo mchakato, na nadhani...
 6. N

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  Ndo huyu huyu 'rafiki' wa marehemu Wangwe ama mwingine?
 7. N

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  Mmh! Mkuu inaelekea mambo ni mazito?
 8. N

  JIBU: Tatizo la kukawia kupata GOLI

  swadaktaaa Kipanga apo kwenye frequencey of having sex...ni muhimu sana..actually it follows kuwa unavokuwa unapata sex mara kwa mara, kale kautaratibu ka 'kukojoa haraka' kanapungua na kwa hiyo wote mnaenjoy zaidi kwa sababu, katika hali ya kawaida ina maana utakuwa na uwezo mkubwa zaidi wa...
 9. N

  Favourite Drinks: Kinywaji Kipi Unakizimia Sana...(Alcoholic & Non-alcoholic)

  mi anyathing goes depending on the environment...jiko la shamba halichagui kuni
 10. N

  *Miss Tanzania 2008*

  Wakuu mi kawaida huwa sina macho lakini kwa hapa nimetazama lakini sijaona japo nimefikicha fikicha! naona warembo bado hawajazaliwa.....
 11. N

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  Kabisaa nakubaliana na wewe hapa..huyu jamaa mfano akipita hapa JF nadhani atajiona kama ndo ivo anakamatwa na polisi!
 12. N

  WTO talks have failed

  We all knew that this was coming....we still have a long way to go. What is the role of the so called G22? of course they cant do anything against the G8...and unfortunately India, Brazil, China and South Africa kind of agreed that 'no deal is a bad deal'....so back to square one. tunawapa tu...
 13. N

  Dr. Migiro Raia Wa Jiji la Mwanza !!: Upuuzi kweli kweli

  mi najiuliza ni hicho cheti tu au na yeye atakuwa amemegewa kaeneo ka kuweka 'kakibanda' kake?
 14. N

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  Ina maana yeye hakukopa shangingi? manake vigari hivyo risk ya ajali ni kubwa na isitoshe alikuwa anaendesha mwenyewe...huenda alikuwa na mawazo masikini or something...its so painful and sad to know that....
 15. N

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  Mkuu Masatu ndo tunaanza speculations mapema hivi? hata mwili haujapoa?
 16. N

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  Mkuu tafadhali..........
 17. N

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  Ooooh nnoooo jamani hizi ajali mpaka lini? Its so scary! RIP mpambanaji Chacha Wangwe! Poleni wana Chadema na wana Tarime wote! Mungu alitoa na Ametwaa wote tupo safarini
 18. N

  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, Tuuvunje?

  Kaaz kweli kweli..hivi ni kweli kuna utata au basi tu?
 19. N

  Rostam aibukia kanisani!

  Mimi hainingii akilini kwa alienda kukopa kwake in the first place! So he should stop this crap about kwenda mahakamani..siasa zake za mahakamani tunajua ndo zinamweka mjini lakini kwa hili......of all the places akakope kwa RA hata kama ni mkopo binafsi? Au ana bad credit score?
 20. N

  Wanasiasa: Kwa nini mnaficha majina yenu humu ndani wakati tunajua mpo?

  Kumbe Asha ni mwanasiasa, nilikuwa sijuia asante mamii kwa kwa hilo
Top Bottom