Search results

 1. M

  Uchambuzi huru: Hotuba ya Rais Samia Suluhu ya Aprili 22, 2021

  Kwa rehma zake Mwenyezi Mungu ni matumaini yangu sote tutaumaliza Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan salama salimin na hakika yeye ndiye mwenye kurehemu riziki zetu kubwa na ndogo na hapana mwingine apaswaye kuabudiwa. Tumuombe sote atuepushe na kila lisokuwa na kheri kwetu. Ameen. Nina hakika siku...
 2. M

  Uchaguzi 2020 Kwanini Viti Maalum Bungeni?

  Yawezekana kuna upotoshaji wa makusudi kabisa juu ya uwepowa viti maalum bungeni kuwa ni nafasi wanazopewa vyama vya Siasa kuchagua Wanawake wa vyama hivyo kuingia Bungeni kama Wawakilishi wa vyama husika. Nadhani swala hili linahitaji kujadiliwa Upya na Elimu itolewe kwa Wananchi na wahusika...
 3. M

  Ama kwa hakika "Mtu Mlafi" hana kaburi

  MLAFI HANA KABURI (Greedy has no tomb) Yaani hata sielewi nianzie wapi na nimalizie wapi maana muongo huu wa 2020 umekuja na mengi mazito yasotabirika utadhani mwali kashika mimba ya kwanza. Aso na macho haambiwi tazama maana matukio ya mwaka huu sii ya kuhadithiwa - Tulikuwepo na bado tupo...
 4. M

  Waraka wangu kwa ACT - WAZALENDO

  Siku ya leo imenipa mwanga mkubwa juu ya chama hiki baada ya kusoma tamko la chama ACT – Wazalendo juu ya maamuzi ya bodi ya wakurugenzi wa MCC kusitisha mahusiano na Tanzania. Kusema kweli imenishangaza sana chama kinachojinasibisha kama chama cha UJAMAA kimekiuka nguzo zake kuu kwa sababu tu...
 5. M

  Miafrika ndivyo tulivyo?

  Ikiwa imebakia siku moja tu kabla uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015, tumeshuhudia mengi katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. Na mengi yamejitokeza haswa baada ya uongozi wa rais Jakaya Meisho Kitwete kuchukua madaraka mwaka 2005. Tulishuhudia kashfa za kila aina kubwa na ndogo. Na kubwa...
 6. M

  Ni kiongozi gani anayetufaa?

  Ni KIONGOZI GANI ANAYETUFAA Baada ya viongozi wengi kujitokeza kuweka nia ya kugombea Urais wa nchi yetu, nimepata shauku kubwa kutaka kuelewa haswa Watanzania wanamtaka kiongozi wa aina gani maana UONGOZI BORA hutegemea zaidi wananchi wenyewe wanataka kiongozi wa aina gani na mwenye sifa...
 7. M

  Nini hasa tumaini la UKAWA?

  Wanabodi, Nimejaribu sana kufikiria juu ya UKAWA wana tumaini gani haswa dhidi ya chama cha CCM hata kujiridhisha kuwa na ushindi mwaka 2015. Ni mbinu gani walizojiandaa kwa kesho ambazo hazikutumiwa miaka ya nyuma ikiwa miaka yote CCM wameweza kushinda kwa zaidi ya Asilimia 70 ya Bunge na...
 8. M

  Sheria mbovu za Uchaguzi Tanzania: Wapiga kura na wapigiwa kura

  Mimi nimekuwa nikijiuliza sababu gani Mbunge anayeishi Kinondoni Dar, anaweza vipi kugombea Ubunge jimbo la Babati au Rorya wakati mwananchi asiyeishi jimbo hilo haruhusiwi kupiga kura jimbo lolote. Kuna sababu gani haswa zilizopelekea sheria hii kutungwa na kuna faida gani? Je, sheria hii...
 9. M

  Kumbukumbu za nyerere tumkumbuke!

  Leo hii nadhani ni siku muafaka kujikumbusha mazuri na mabaya ya kiongozi wetu muasisi wa UHURU wetu hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ni wadhifu mkubwa kwa jukwaa hili kuitukuza siku hii kwa kuzungumzia mazuri ya mwalimu bila kufuru maana binadamu sote tulikuwa na mapungufu yetu.. - Dua...
 10. M

  Kwanini Uchaguzi ni muhimu kuliko Katiba Mpya?

  Maamuzi ya kwamba sheria ndogo zibadilishwe ili kukidhi mahitaji ya wagombewa wa uchaguzi wa viongozi limenikera kusema kweli na imenichukua muda mrefu sana kujarbu kuelewa sababu haswa lakini muda wote imeangukia kuwa matakwa ya wagombea tonge. Ikiwa wananchi waliitaka Katika Mpya ili...
 11. M

  Chama kina wenyewe na wenyewe ndio sisi..

  Siku ya jana nilishikwa na mtafaruku mkubwa katika majibizano ya kimtandao na wana Chadema ambao kwa upeo wao wa kuelewa kile walichofundishwa ama kusoma tafsiri ni kwamba Chama chochote cha siasa kina wenyewe na wenyewe ni WANACHAMA. Kwa maana hiyo waliendelea kudai kwamba Chadema ni chama chao...
 12. M

  Biashara ya Mitumba kutoka Canada

  Je, unataka kuanzisha biashara ya kuuza mitumba? Nimebahatika kupata uwakala wa mitumba kwa mwenye kuhitaji kuanza biashara hiyo iwe kuuza nchini ama kusafirisha mikoani anaweza kuwasiliana nami kwa PM.
 13. M

  Viongozi gani wapo miongoni mwenu?

  NI VIONGOZI GANI WAPO MIONGONI MWENU Nachukua nafasi hii muhimu kuwakumbusha na kuwatahadharisha wananchi juu ya viongozi wanaotaka kugombea nafasi tofauti za uwakilishi kupitia uchaguzi mkuu uchaguzi wa mwaka 2015 iwe kiti cha Urais, Ubunge ama Udiwani kwa sifa na ahadi zilizopambwa kila tunu...
 14. M

  Je! yawezekana CCM wanamuandaa Mwigulu Nchembe kugombea urais 2015?

  Waswahili husema siri ya mtungi aijuaye kata! Kwa muda sasa nimekuwa nikimsoma sana kiongozi huyu akinadi siasa za CCM na hakika amekuwa tofauti sana na CCM tuloizoea. Kwa mwenye kufikiri na kutafakari sera za huyu bwana zimekuwa majibu makubwa ya kero za wananchi na haijatokea hata mara moja...
 15. M

  Kiherehere na kiroho papo cha viongozi

  Yalosemwa hayatakuwa sasa yamekuwa Je, kuna mpya gani?... Mimi nina swali moja tu kwa viongozi wa UKAWA ambao walidhani wao wanatufanyia fadhila kubwa wananchi kugomea BMK. Inakuwaje leo hii tunasikia tu malalamiko ya watu na viongozi wa Bara tena juu ya maswala ya Zanzbar wakati viongozi wa...
 16. M

  Serikali 3 na gharama zake

  Serikali 3 na gharama zake Baada ya kuvunjika kwa bunge la katiba juu ya swala la muundo wa serikali, nachukua nafasi hii kutoa majibu ambayo kwa sababu zisizojulikana imeshindikana kabisa kuelezewa tofauti ya gharama baina ya serikali 2 na 3, gharama zipi zitaongozeka kulingana na mapendekezo...
 17. M

  Maoni ya kuunda shirikisho yametoka wapi?

  Mimi nitauliza wee hadi nipewe jibu. Hii tume ya Warioba walipata wapi maoni ya kuunda shirikisho badala ya Muungano tulokuwa nao? Je, kuna mtu yeyote mwenye takwimu za maoni ya wananchi kuhusu Shirikisho vs Muungano?
 18. M

  Katiba Mpya: Mambo yote yawe ya Muungano

  MAONI KUHUSU KATIBA MPYA Kwanini mambo yote yawe ya Muungano Kufuatia mgogoro uliopo baina ya pande mbili za kisiasa kushindwa kufikia muafaka juu ya muundo wa serikali ningependa kusema tatizo la nchi yetu lipo ndani zaidi ya swala la idadi ya serikali zetu iwe 1, 2 au 3 kwa sababu serikali...
 19. M

  Katiba mpya: Mambo yotenyawe ya muungano

  MAONI KUHUSU KATIBA MPYA Kwa nini mambo yote yawe ya Muungano. Kufuatia mgogoro uliopo baina ya pande mbili za kisiasa kushindwa kufikia muafaka juu ya muundo wa serikali ningependa kusema tatizo la nchi yetu lipo ndani zaidi ya swala la idadi ya serikali zetu iwe 1, 2 au 3 kwa sababu serikali...
 20. M

  Nini hasa maana ya katiba ya wananchi (ikawa)

  Tumekuwa tukisoma na kusikia vyombo vya habari, vyama vya siasa na taasisi za kijamii wakitumia hili neno KATIBA YA WANANCHI hadi kufikia kundi moja la wajumbe wa bunge maalum la katiba kuunga Umoja wao na kujiita UKAWA. Tatizo la neno hili lipo ktk matumizi yake, na weredi umetofautiana sana...
Top Bottom