Search results

  1. E

    Kuichagua Tena CCM na Wagombea wake ni Sawa na Kumkopesha tena mdeni wako Huku ukiwa hauna uhakika wa kulipwa

    Tangu tupate Uhuru nchi yetu imekuwa ikitawaliwa na CCM. Ukipita katika majimbo mbali mbali hasa yaliyo chini ya CCM watu wake ni wanyonge na wamezungukwa na umaskini mkubwa. Kuna baadhi ya majimbo watoto bado wanasoma kwenye shule zilizojengwa kwa udongo na kuezekwa kwa nyasi. Sehemu zingine...
  2. E

    Je, Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini inafanya kazi kwa baadhi ya matukio tu?

    Katika nchi yetu kuna mambo mengi ya uvunjifu wa Amani yalitokea,Lakini sijawahi kuwaona viongozi hawa wakikemea. Kuna watu wametekwa, kuuawa, Kubambikiwa kesi mbalimbali, na mengine yanayo fanana na hayo. Mbona viongozi hawa wapo kimya? Viongozi hawa wa Dini wamekuwa wepesi kutoa matamko pale...
Top Bottom