Search results

 1. N

  Uchaguzi 2020 Watanzania wengi wa sasa hawatabiriki kama "Wajumbe"

  Tarehe 28 hiyooo imefika, Misimamo ya watanzania haitabiriki, Hii inatokana na kukosa uhuru wa kuongea, Watanzania wakikutana kwenye vijiwe wanamsifia Magufuli, Ukimdadisi mmoja mmoja kwa wakati tofauti msimamo unapingana na wakiwa wengi, . Wanahofu ya kupata majanga ya kushtakiwa, kufungwa...
 2. N

  Uchaguzi 2020 Dakika ya 78: Nyekundu 0, Kijani 0

  Dakika ya 78 Kipindi cha pili cha lala salama, makocha hawatulii kwenye bench. Muda huu atakayepigwa goli itakuwa imekula kwake. Wachezaji wa timu ya kijani wote wamerudi nyuma kuweka ukuta. Wachezaji wa timu Nyekundu wanashambulia kama nyuki. Faulo na kona zinapigwa kila dakika hapa. Timu ya...
 3. N

  Uchaguzi 2020 Tupeane mikakati ya mwisho ya kuifuta CCM

  Enyi watia nia 7000 wa CCM mlionyimwa mishahara. Enyi wagombea wa CCM mlioshinda kura za maoni na kutoteuliwa. Enyi wafanyabiashara mliofirisiwa mitaji yenu kwa kodi za TRA. Enyi watumishi mlionyimwa haki yenu ya nyongeza ya mshahara wa kila mwaka. Enyi wakulima ambao mmekopwa mazao yenu na...
 4. N

  Uchaguzi 2020 Tukumbuke tulikotoka, tuamue tunapoenda

  Tumetoka kwenye ukata wa pesa Tumetoka kwenye asilimia 15 ya bodi ya mkopo Tumetoka kwenye mateso, utekaji na mauaji Tumetoka kwenye ukosefu wa ajira Tumetoka kwenye kusimamishwa fao la kujitoa Tumetoka kwenye biashara kufungwa Tumetoka kwenye kutoongezwa nyongeza ya mwaka na mishahara ya...
 5. N

  Tusijisahau na kujiziuka: Hakuna Mbunge wa CCM atakayepinga muswada wa sheria kandamizi Bungeni

  Ndugu zangu tusije tukajisahau na kujiziuka kwa sababu ya itikadi ya kisiasa. Kwa uzoefu wa miaka hii mitano. Hakuna mbunge wa CCM ambaye ataupinga mswada wa sheria kandamizi ulioletwa au utakaoletwa na serikali bungeni. HAKUNA. Tumeona haya kwenye bunge la Ndugai na Tulia. Tumeona sheria...
 6. N

  Miaka 60 ya uhuru CCM bado inaahidi maji, umeme, barabara, na vituo vya afya

  Tuseme ukweli ni aibu kwa chama kilichotawala miaka takribani 60 bado kinakuja na ahadi za umeme, maji, huduma za afya, na barabara. Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kupeleka huduma ya kueleweka ya maji vijijini na mijini. Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kusambaza umeme...
 7. N

  Ni muda muafaka wa kufukuza Mabalozi wote wa mabeberu na kufunga balozi zetu kwenye nchi zenye mabeberu

  Mabeberu katika nyakati tofauti yametoa onyo la ukiukwaji wa haki za raia kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu. Na leo hii Lissu anaongea na Mabalozi wa mabeberu jijini Dar. Kwa kuwa Magufuli na CCM yake wana chuki na hawa mabeberu kwa kuleta umaskini na kutuingilia uhuru wetu, nashauri ni...
 8. N

  Sio lazima uwe Rais kwa miaka 10

  Katiba inaweka muhula wa urais ni miaka mitano. Rais Magufuli unahangaika ili uongeze muhula wa pili. Siyo lazima uendelee kuwa rais. Umeshatimiza matakwa ya katiba kwa miaka mitano inatosha na ninakushauri upishe vijana wenye maono na nguvu waendeleze ulipoachia. Magufuli jiandae kisaikolojia...
 9. N

  Maskini vyama vya TLP, CUF, NCCR na vyama vyenye ubia na CCM

  Vyama hivi viliweka wagombea wa kumpigia kampeni Magufuli ili wapate asante ya uteuzi. Sasa bila kutarajia dili limeharibika pale ACT na CHADEMA walipoanza kuungana mkono. Kwa CCM mara mia kuvipiga pini vyama kujipendekeza visimpigie kampeni Magufuli kuliko kuviruhusu vyama vya ACT na CHADEMA...
 10. N

  Waliosema upinzani utakufa 2020 mipango imefeli

  Lengo kuu la Lowassa, Sumaye, na bidhaa mbalimbali zilizonunuliwa kutoka upinzani ni kuhakikisha kwamba upinzani unakufa na panakuwa hakuna upinzani wowote uchaguzi wa mwaka 2020. Dalili za kufanikiwa kuua upinzani umeanza kuonekana kwenye uchaguzi wa serikali za vijiji na mitaa mwaka 2019...
 11. N

  Uchaguzi 2020 CHADEMA pelekeni Malalamiko NEC ya Ukiukwaji wa Maadili ya Uchaguzi yanayofanywa na Mgombea Urais kupitia CCM

  Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk. Ni vyema Lissu na CHADEMA mkaandika malalamiko haya ya Ukiukwaji huu wa maadili kwa NEC kwa...
 12. N

  Uchaguzi 2020 Mungu humwinua mtu asiye na nguvu kuangusha ufalme

  Yusufu aliinuliwa kuwakomboa familia ya Yakobo na janga la njaa. Musa aliinuliwa kuwakomboa wana wa Israel kutoka ufalme wa Farao Daudi aliinuliwa kumwangusha Mfalme Sauli Daniel aliinuliwa kumwangusha Mfalme Nebukadreza Mandela aliinuliwa kuuangusha utawala wa kikaburu na kibaguzi wa...
 13. N

  Kama Mimi ningekuwa Dkt. John Magufuli

  1. Ningeaziga jeshi la polisi na vyombo vya dola vifanye uchunguzi na kuwasaka wote waliofanya jaribio la mauaji ya Lissu. 2. Ningewaamuru Polisi wasiwapige mabomu wapinzani. 3. Ningefuta sheria zote kandamizi kwa amri ya rais (presidential decree) 4. Ningewaita viongozi wa vyama vya...
 14. N

  Mnara wa Babeli unaanguka

  1.Ukipita kwenye magroup ya wanavyuo yamepamba moto. 2.Ukipita kwenye magroup ya wafanyakazi kimewaka 3. Ukipita kwenye magroup ya kijani kupo jiii kumepoa kama kiporo cha uji 4. Ukipita magroup ya upinzani, kimesanuka 5. Ukipita magroup ya wafanyabiashara, ni motoo 6. Ukipita magroup ya kitaa...
 15. N

  Watia Nia tuna jambo letu 28/10

  Wale watia nia tulioshinda lakini tukapigwa chini kimazabemazabe tuna jambo letu 28/10. Wale wajumbe mliotuunga mkono tuna jambo letu 28/10 mtuunge mkono.
 16. N

  Hotuba ya kwanza baada ya Rais mteule kuapishwa

  Baada ya mchakato mzito wa kampeni za urais, sijui hotuba ya rais itabeba ujumbe gani!! Mhe. Rais T.A.Lissu: "Tutasimamia utawala wa sheria, ili kulinda uhuru, haki na kuchochea maendeleo ya wananchi" Mhe. Rais J.P.Magufuli: " Tutahakikisha miradi ya miundo mbinu ya reli, meli, ndege, umeme...
 17. N

  Mateso Yanayotokana Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB)

  *FAHAMU KIDOGO KUHUSU LOAN BOARD NDUGU!* Bodi ya Mikopo imewanufaisha watanzania wengi sana ikiwa ni pamoja na kuwajengea watanzania misingi ya kielimu kwa ajili ya future katika maisha yao. Aidha, Asilimia 80 ya wanufaika wa mikopo ya bodi ni wale kina KAYUMBA, yaani watoto wa maskini...
 18. N

  Uchaguzi 2020 Sukari ilipanda kutoka shilingi 1,800 kwa kilo mpaka 3,000 kwa kilo

  Mfumuko wa bidhaa muhimu kama sukari umechangia ugumu wa maisha kwa watanzania wa kipato cha chini. Serikali ilijitahidi kupambana kuzuia bei ya sukari kupanda bila mafanikio. Nadhani sasa ni muhimu kwa wagombea watoe ahadi ya kuhakikisha wanadhibiti mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu ili...
 19. N

  Mtaani kupo kimya utadhani sio mwaka wa Uchaguzi

  Kwa kweli mwenendo wa uchaguzi huu ni kielelezo cha ukali wa maisha. Miaka ya nyuma vipindi kama hivi ni hekaheka tu mtaani, wenye vitenge vya chama, kofia, n.k walikuwa busy kuwanadi Wagombea wao wa Udiwani na Ubunge. Mwaka huu hata mabango ya barabarani, kwenye kuta, nguzo ni ya mgombea mmoja...
Top Bottom