Search results

 1. K

  Hivi! waliotoka ni UKAWA? au waliotoka ni CCM?

  Pengine tungepata uchambuzi wa neno kutoka " kwa ninavyoona mimi waliotoka ni wajumbe wa bunge la katiba wa CCM ila kwa sababu wana nguvu na ubabe uliokomaa ndio maana wameng'ang'ania mjengoni lakini kimsingi wametoka kabisaa! hawa UKAWA hawajatoka kwa maana wanaitetea Rasimu ya Mzee Warioba...
 2. K

  Nawasifu Madaktari wanafanya mambo kisomi

  Moja ya jambo ambalo madaktari hawa wamelifanya na nimeliona ni zuri na la kisomi zaidi ni kumtaalifu mtoto wa mkulima kuwa hawatakuja ukumbini kwenye mazunguzo kisha hawakuishia hapo wakatoa na sababu wanasema kuwa taalifa iliwafikia usiku ikiwa imechelewa sana. Swali la kujiuliza ni kwa nini...
 3. K

  Hivi Polisi wa Tanzania wanafanyaje kazi zao?

  Tumewaona Polisi mala nyingi mno wakikataza na kuzuia maandamano na mikutano kwa sababu za KIINTELIJENSIA sasa! kinacho nishangaza hapo kama mmeambiwa hizo taalifa za kiintelijensia mmezipata kwa nini msiongeze ulinzi? maana maandamano ni haki ya wananchi katika nchi yoyote ile. Wananchi...
 4. K

  CHADEMA mmetuamsha! Tulikuwa tumelala

  Kitendo cha CHADEMA kutoka Bungeni mbele ya mkuu wa kaya akihutubia ni kitendo cha ujasili uliopindukia. Maana watanzania wengi hatujui nini hasa Demokrasia inavyotakiwa kuwa. Ni kweli JK ni Raisi Na ni kweli alitakiwa kuheshimiwa lakini Tume iliyuyompa nafasi hiyo haijiheshimu hata kidogo kwa...
 5. K

  Baraza la mawaziri ili liwe zuri Linapaswa kuwa na mawaziri wangapi?

  Nyerere alikuwa na mawaziri 23. Mwinyi alikuwa na mawaziri 33. Mkapa alikuwa na mawaziri 49 JK juzi tu alikuwa na mawaziri 59 na tuliona ufanyaji wa kazi wa serikali ulivyokuwa. Wana JF naomba mwongozo Tunahitaji Baraza la mawaziri liwe na mawaziri wangapi?
Top Bottom