Search results

 1. K

  Rungwe: Moja ya Wilaya zilizosahaulika na masikini zaidi Tanzania

  Nilibahataika kutembelea maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Rungwe Mkoni Mbeya baada ya kusikia ni sehemu iliyo na hali ya hewa nzuri na mazingira yavutiyao sana, lakini nilichokuja kuona ni umasikini mkubwa na wilaya ambayo imesahaulika kabisa na serikali, hakuna miradi yoyote ya maendeleo, watu...
 2. K

  South African Western Cape Premier Helen Zille cites Nelson Mandela, Chinua Achebe, Ali Mazrui and G

  Waziri Mkuu wa Western Cape Afrika Kusini, Helen Zille, amejitetea bungeni kwa kuwataja – Nelson Mandela, Chinua Achebe, Ali Mazrui, na Godfrey Mwakikagile – baada ya kushambuliwa kwa yale aliyoyasema kuhusu ukoloni. Ameandika yafwatayo, “Why I raised the subject of colonialism in Twitter: Helen...
 3. K

  Nafasi za kazi self MF

  Wadau changamkieni nafasi za kazi SELF MF, link hiyo Vacancies
 4. K

  Jamani huyu Mtanzania yuko wapi?

  Godfrey Mwakikagile's books have also been reviewed in a number of academic publications, including the highly prestigious academic journal, African Studies Review, by leading scholars in their fields. They include Military Coups in West Africa Since The Sixties which was reviewed in that...
 5. K

  Nafasi za kazi SELF MF

  SELF MF wametangaza kazi changamkieni kwenye website yao na magazeti ya jana na leo. Jamaa wako vizuri sana na ajira zao hazina upendeleo kazi kwenu.
 6. K

  Mashine ya chakula cha kuku inauzwa

  Wana JF nauza machine ya kutengeneza cha kukula cha ukubwa wa mixer ni tani moja na nusu,imetumika muda wa mwezi mmoja ina kila kitu Mzani,machine ya kushonea magunia,circute breakers zake zote zipo,cables zake za umeme na mikanda na chekechea vipo vyote. Nimeamua kuuza kwakuwa nimekosa mtu...
 7. K

  Machine ya kutengeneza chakula cha kuku inauzwa

  Wana JF nauza machine ya kutengeneza chakukula cha ukubwa wa mixer ni tani moja na nusu,imetumika muda wa mwezi mmoja ina kila kitu Mzani,machine ya kushonea magunia,circute breakers zake zote zipo,cables zake za umeme na mikanda na chekechea vipo vyote. Nimeamua kuuza kwakuwa nimekosa mtu wa...
 8. K

  Nelson Mandela na Tanganyika, nukuu kutoka kitabu chake!

  Early the next morning we left for Mbeya, a Tanganyikan town near the Northern Rhodesian border. We flew near Victoria Falls and then headed north through a mountain range. While over the mountains, the pilot tried to contact Mbeya, but there was no answer. “Mbeya, Mbeya!” he kept saying into...
 9. K

  Kampuni ya Tigo mnawaibia wateja!

  Wanajamvi mjihadhali na wizi wa kampuni ya Tigo,mimi nimekutana na mkasa wa kuibiwa na Tigo mara tatu,nimejaribu kuwapigia kwenye number yao ya customer care napata majibu ya computer kwamba nirecord malalamiko yangu halafu watanijibu baadae,sijawahi kukopa kutoka tigo lakini nikiweka pesa tu...
 10. K

  Jiahadhalini na number hii ya simu wateja wa tigo +88213030048

  JAMANI NAWAPENI TAHADHALI KWA WENYE LINE ZA TIGO,UKIONA NUMBER INA KUBEEP NA IMEANZIA NA +88 USIJARIBU KUIPIGIA,UKIPIGA TU INAKULA PESA YAKO YOTE,YAANI BALANCE YAKO NA JAMAA WANACHUKUA AIR TIME YAKO YOTE! WANACHOFANYA WAO NI KUBEEP BASI NA WEWE UKIKUTA MISSED CALL UNAWEZA KUPIGA UKITAKA...
 11. K

  Tahadhali number ya simu ya matapeli kupitia tigo +88213030048

  JAMANI NAWAPENI TAHADHALI KWA WENYE LINE ZA TIGO,UKIONA NUMBER INA KUBEEP NA IMEANZIA NA +88 USIJARIBU KUIPIGIA,UKIPIGA TU INAKULA PESA YAKO YOTE,YAANI BALANCE YAKO NA JAMAA WANACHUKUA AIR TIME YAKO YOTE! WANACHOFANYA WAO NI KUBEEP BASI NA WEWE UKIKUTA MISSED CALL UNAWEZA KUPIGA UKITAKA KUJUA...
 12. K

  Is Tanzania becoming a Mafia state?

  The Guardian, Dar es Salaam, Tanzania, 24th March 2013. Whether we choose to behave like the ostrich and bury our heads into the sand or decide to simply keep silent as if everything is ‘kazi ya Mungu’ (act of God), the truth still remains very clear: We have become a Mafia-state where hit...
 13. K

  Msemakweli yuko wapi? Kanyamazishwa?

  Hivi wana jamvi yule jamaa Kainerugaba Msemakweli yuko wapi? Baada ya kutoa UFISADI WA KAGODA kapotea moja kwa moja! nina wasiwasi na mambo matatu. Kununuliwa na Mafisadi wa Kagoda Kujiunga nao ili apte nafasi serikalini kuogopa vitisho vya mafisadi alio wataja Mwanzoni nilimuona kama mtu...
 14. K

  Zanzibar itaendelea kujitenga tu!

  Sisi wa Tanganyika tumelala bado usingizi wa pono hasa viongozi wetu, mambo haya yanamaudhi kweli ndiyo maana wazanzibar wamechoka na mambo yetu sasa wameamua kuwa kitu kimoja wote CUF na CCM na wanaonesha uzalendo wao wakupigania nchi yao,Sisi tulitegemea nini maelewano ya CCM na CUF...
Top Bottom