Search results

 1. C

  Naomba msaada nahitaji kujijengea utamaduni wa kusoma vitabu

  Naombeni mnisaidie aina ya vitabu vya kiswahilina kingereza ambavyo vinaweza kumvutia anayejifunza kusoma vitabu vyenye mafunzo pia.
 2. C

  Naomba tafsiri ya ndoto hii

 3. C

  Mavazi ya Mama yetu Rais Samia

  Natamani mama angeanza kutupia mavazi yanayoenda na fasheni ya marais. Yaani vazi flani hivi traaamu sana kiasi kwamba mtu akimuona tu anajua kweli huyu MAMA WA TAIFA. Kama leo yupo UGANDA na vile amevaa barakoa nilitaman amechishe zake na gloves kwasabu hata hivo UG kuna kiubaridi, angepiga...
 4. C

  Sijui hata nifanyaje?

  Nimehongwa gari bila kadi lakini inanisaidia sana mjini hapa..kinachonifanya nije hapa ni kuwa aliyenihonga gar nikifanya naye mapenzi yaan sisikii ladha kabisa..navuta hisia kabisa nikiweka akili yangu kuwa nafanywa lakin wap sioni ladha..raha ya kufanywa haipo..ja mwanaume mwwnyewe kajaliwa...
 5. C

  Kutembea na mfanyakazi wako(staff wako ofisini) kuna madhara?

  Wale mlioajiri jamani ujasiri wa kutembea na mfanyakazi wako unaupataje? Na ukishatembea naye kazi inakuaje? Akikosea unamkoromea au? Ningependa kupata uzoefu hapa wa wanawake mabos na wanaume pia!
 6. C

  Nitumie njia gani niisahau pombe?

  Mwenzenu nikinywa pombe usiku asubuhi najuta sana najuta kwanini nilikunywa lakini huwa sifanyi kibaya kwa maana nikishajiona nimelewa tu huwa natoroka narudi kulala ila majuto yake ni makubwa sana lakini cha kushangaza nashindwa kuacha naeza nikakaa nikapata kiu nikanywa halafu tena baadaye...
 7. C

  Afisa masoko wa tv&redio

  Kama kuna maafisa masoko wa redio na tv tukutane hapa tupeane michongo maana kipindi khaaaa bila connection hupat tangazo
 8. C

  Msaada kuhusu kulea mtoto ambaye siyo wako

  Kifupi jana nilikutana na kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 16 alikuwa anauza vitumbua kwa kutembeza. Katika mazungumzo nikagundua kijana yule ametoka mazingira magumu sana kiasi kwamba anasema hampendi kabisa mama yake kwa sababu alimuacha kwa baba yake akiwa mdogo na hajui alipoelekea mpaka...
 9. C

  Utabiri wa nyota

  Naomba wale wataalam wa nyota wanieleweshe kuhusu nyota ya upepo, tabia zake na mapungufu yake.
 10. C

  Tupeane maujuzi jinsi ya kupata tenda serikalini!

  Kwa wale wajuzi wa mambo tupeane maujuzi ya jinsi ya kupata tenda ndogondogo na kubwa kubwa mfano tenda za ujenzi wa majengo mbalimbali ya serikali kama zahanati katika halmashauri za wilaya zetu.
 11. C

  Namna bora ya kurefresh akili

  Yaani inafika wakati akili imechoka kabisa huna jipya unaloweza kufikiria, unajikuta huna hela ya kujitoa hata out na wa kuongea naye hauna. Unafanyaje ili kurudi kwenye hali yako ya kawaida!? Yaani akili inakuwa kama imefunikwa na blancket hivi. Sijui unakuwa umepachoka unapoishi?
 12. C

  Jinsi ya kununua App

  Naomba kufahamishwa namna ya kufanya ili kununua app kwenye simu. Mfano nataka kuapgrade truecaller lakn nikienda kwenye kulipia mfano kupitia tigo naambiwa error nikiwapigia opereta wa tigo wananiambia lain yako haina matatizo jaribu tena.
 13. C

  Uchaguzi 2020 Mbinu gani zinapaswa zitumie ili kushinda Ubunge ikiwa huna pesa?

  Niende tu kwenye point moja kwa moja! Kama Mwanasiasa huna hela na una nia thabiti ya kusaidia jimbo lako na unaishi jimboni kiasi kwamba kila mtu anakuona je? Utumie mbinu gani ili ushinde? Hasa ukizingatia watanzania walio wengi hasa vijijini wakijua wewe ni mtia nia tu wanaanza kukupiga...
 14. C

  Nisaidieni jinsi ya kupunguza kupenda

  Mimi ni mwanamke nimempenda mwanaume wangu kupita kiasi hata sijui nimempendea nini. Hili jambo linaniathiri sana kwasabu najua yeye hanipend kama ninavyompenda. Huwa nabishana na mawazo yangu wakati mwingine kwa kuona kwamba ananipenda saana ila haniamini kwasababu anakauli yake kila siku...
Top Bottom