Search results

 1. H

  Hatimaye narudi Dar

  Habari wananzego! Hatimae narudi Dar baada ya kuliacha jiji kwa takribani miaka 7. Nimefanya kazi mikoani kwa muda huo. Sasa narudi jijini. Hodi tena.
 2. H

  Naomba ushauri: Nataka kufungua biashara ya vifaa vya umeme

  Habari Wapambanaji. Nina wazo la kuanzisha duka la vifaa vya umeme wa majumbani na baadhi ya vifaa vya viwandani. Vifaa vya majumbani kama vile.. Taa, switches, conduits pipes, cables, wires, earth roads, circuits breakers, junction boxes, square boxes, distribution boards nk. Vifaa vya...
 3. H

  Ushauri: TANESCO rudisheni Service Charges

  Miaka ya nyuma kidogo TANESCO walikuwa wana charge Tsh. 7,000/= kwa mwezi kama Service Charge kwa wateja wake. Lakini ilikuja kufutwa kwakuwa ilionekana ni mzigo kwa watumiaji wa umeme hasa wale wa Tariff 1 na Tariff 0 kwakuwa ndio wateja zaidi ya 90% ya wateja wote wa TANESCO. Hii nikiri kwamba...
 4. H

  Hodi JF

  Kwa heshima na taadhima naomba mnikaribishe JF. Asanteni sana
Top Bottom