Search results

 1. 2

  Habarini za asubuhi naomba kujua kwa wale wataalam wa magari gari inakosa nguvu kupandisha mlima ,ukiweda d kunasauti inatokea kwa mbele kama kuna

  Habari za asubuhi naomba kujua kwa wale watajuzi wa magari gari yangu aina ya. Carina 7A inakosa nguvu mliman Ukiweka d kuna sauti inatokea kwa mbele kabla ya kutembea na livasi lia hiyo sauti inatokea Na kwenye mlima inaweza kuzima kabisa na kuchemsha naomba msaada plz na ushauri
 2. 2

  Je, kupaki gari muda wa miezi 4 bila kuliwasha kuna tatizo?

  Naomba kuuliza, nimepaki gari aina ya Carina zaidi ya miezi 4 bila kuitumia. Je, kuna shida kuipaki muda wote huo?
 3. 2

  Naomba kujua vizuri na sifa za ziada za carina si

  Habari wapendwa napenda kununua gari carina si Naomba kujua vizuri na sifa za ziada ya gari ilo nataka kuifanya tax kagera Ahsante
 4. 2

  Naomba kujua na kuifahamu ubora wa carina si cc 1790

  Naomba kujua na kuhifahamu carina si cc 1790 ubora wake
 5. 2

  Tatizo gari kusumbua mlimani

  Za jioni naomba kuuliza tatizo la gari inapofika kwenye mlima mshale wa spidi haupandi kuzidi namba 2 Pale ila ikifka tambalale unatembea kawaida Na matumizi ya mafuta yameongezeka kwa hizi siku mbili baada ya ili tatizo kutokea Gari ni carina si Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom