Search results

 1. C

  Wahudumu wa Lodge wanahaki ya kuhoji idadi ya wapenzi kwa wateja?

  Kuna wahudumu wengine sijui kama wanajua wajibu wao kwenye lodge walizoajiriwa Kuna tabia imezuka hasa ya wahudumu wa kike kukuhoji kuwa una wapenzi wangapi na huku si kazi yake,kazi yake ni kupokea pesa si kuhoji una wapenzi wangapi! Kawaida ya wanaume kutotulia na mpenzi mmoja,unaweza...
 2. C

  Halmashauri ziache kuwalazimisha Watumishi kuchangia Mwenge

  Hii tabia ya wakurugenzi na wakuu wa wilaya kuwataka watumishi wa umma ndani ya Halmashauri imetoka wapi? Yaani mkuu wa wilaya anaagiza wakuu wa idara kusimamia zoezi na kuomba majina ya wachangiaji, sasa hatujui wasiochangia wafanywaje. Pia wakuu wa idara wamekuwa wakionywa endapo atashindwa...
 3. C

  Umewahi kutapeliwa? Njoo tuelezane mbinu za matapeli

  Baada ya ile njia ya tuma pesa kwa namba hii jina litakuja fulani kushindwa ,ikaibuka kuna fedha imetumwa kwako kimakosa ,pamoja na zile za miamala ya mawakala kulizwa na miamala ya bank Sasa hii naona ndo mbaya zaidi Ukirudishiwa chenji usichanganye na hela zingine ambazo...
 4. C

  Waziri Ndugulile, kwanini redio Stations za Tanzania zinaishia Magomeni na Kirumba?

  Hivi kwa nini Tanzania tunafeli sana hata kwa vitu vidogo? Waziri wa habari, Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia anajua kuwa asilimia 90 ya Watanzania wanaoishi pembezoni mwa Tanzania(mpakani) wanasikiliza redio za nchi jirani? Kwa mfano sisi tunaoishi mpakani na Kenya redio stations za Kenya...
 5. C

  Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

  Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa...
 6. C

  Pendekezo: RC Antony Mtaka ateuliwe awe Waziri wa TAMISEMI

  Moja wa hazina ya viongozi kwenye nchi hii ni RC Dodoma Anton Mtaka,ni kiongozi bora ambaye anaweza kulisaidia hili Taifa Tumemuona anavyofanya kazi akiwa mkuu wa mkoa wa Simiyu na sasa Dodoma Tena anafaa kuwa waziri wa TAMISEMI tena atasaidia mengi sana kwenye hii wizara...
 7. C

  Sim banking Airtel kuna tatizo gani?

  Siku mbili sim banking Airtel haifanyi kazi,tatizo nini au ni kwangu tu au na kwa wengine Nimezoea kununua umeme kwa huduma hii lakini nashangaa siku mbili haifanyi kazi Kuna nini?
 8. C

  Hii kero umewahi kuikuta kwa wafanyabiashara? Hivi nao watalalamika biashara ngumu?

  Kuna wafanyabiashara na wajasiriamali wanachekesha mnoo,na utawakuta wanalalamika kuwa biashara ngumu Inakuaje unaenda kwa mfanyabiashara anayeuza bidhaa fulani ,halafu una sh 10000 (Elfu kumi noti) akuuzie bidhaa ambayo ni sh 200,300,500,700,au 1500 halafu ukishachukua bidhaa na kutoa noti...
 9. C

  Wanasiasa wa upinzani wamerogwa au ni matumbo yao?

  Watanzania sijui tuseme kuna kitu hakipo sawa kwenye vichwa vyetu. Marais wastaafu wawili waliisha andika vitabu kuhusu maisha yao tangu utotoni mpaka madarakani. Wameonyesha kwenye maandishi jinsi CCM inavyotumia kila aina za mbinu za hila ili ibaki madarakani. Mkapa ameonyesha jinsi CCM...
 10. C

  Israel imezungukwa pande zote na waarabu lakini hawawezi kufanywa lolote? Kwa nini?

  Mimi huwa ni mhanga wa swali hili,Wayahudi wamezungukwa pande zote na jamii ya kiarabu,lakini huwa nashangaa namna wanavyo wananyanyasa warabu wenzao (Wapalestina)lakini nchi za kiarabu kimya Hivi warabu wanawawaogopa waisrael kias gani? Miaka na miaka wapalestina wananyanyaswa na Israel...
 11. C

  Msaada ,SMS ya mpesa kuibadilisha kuwa halopesa

  Kuna mtu kanitumia hela kutoka mpesa kuja Halotel,lakini haikuingia kwenye halopesa ,isipokuwa imekuja kama sms ya kawaida,kiasi na namba ya siri nitembelee kwa wakala kupata Pesa taslim,hela ni ndogo nataka kuiweka halopesa ninunue vocha,nifanyaje Wenye kujua
 12. C

  Ujenzi wa lami Tarime umeyeyuka?

  Miezi ya hivi karibuni mkandarasi alikuwepo site akifanya marekebisho ya barabara Tarime Nyamwaga kiwango cha lami ,pia Kwa upande wa Tarime vijiji mkandarasi huyo alikuwa ameanza kupanua barabara na kulima kwa ajili ya lami Kwa masikitiko makubwa mradi umeyeyuka na mkandarasi ameondoa mashine...
 13. C

  Kitanda kikubwa huchangia mahusiano ya ndoa kudorora

  Kuna mdau anasema bora avunje vunje kitanda chake cha sasa maana anaona tofauti kubwa kati kitanda kikubwa na kidogo. Anasema alipooa alikuwa anatumia kitanda cha futi 4 kwa 6 na walikuwa hawakai kipindi kirefu bila kupatana na mke wake ikiwa wamehitilifiana tofauti na sasa. Anasema akiwa...
 14. C

  Ushauri kwa mdogo wangu: Alioa akiwa na umri wa miaka 23 sasa anamkataa mkewe akidai yeye bado mdogo

  Mdogo wangu umri miaka 23,mwaka jana tu alimuomba mzee na marafiki kumuandalia harusi ili aweze kuaga ukapera. Wazazi na marafiki wakafanya michango na kuandaa harusi kubwa tu na dogo akaoa. Mchumba wake wamesoma naye hadi kidato cha nne shule moja na hivyo wanafahamiana kila kitu. Miezi 6 tu...
 15. C

  Kongwa vs Hai ,wapi kuna maendeleo?

  Nimemsikia Spika Ndugai wa jimbo la Kongwa amesema mh Mbowe alikuwa anazurura na hakuna alichokifanya wakati akiwa mbunge wa Hai kule Hai Tunaangalie maendeleo katika majimbo mawili kwa wale waliowahi kufika majimbo haya mawili 1,Barabara za Halmashauri na TANROADS za Hai na Kongwa zikoje...
 16. C

  Uzi maalum nchi ya kijani (CCM): tuangalie mafanikio yaliyopatikana na yanayoendelea kupatikana bila kuwepo kwa wapinzani

  Hapa tutaangalia mafanikio yaliyopatikana na yanayoendelea kupatikana bila kuwepo kwa wapinzani. Sasa hivi serikali za vijiji na mitaa ni CCM vipi hapo ulipo nini kimeongezeka? Je, hakuna dhuluma na ufisadi? Vipi miundombinu kama ulaya au ulaya inakaribia (wapinzani walituchelewesha)...
 17. C

  Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

  Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati. Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema...
 18. C

  Halotel kwanini mmeondoa ofa za chuo?

  Halotel mkatuuzia line za chuo kwa bei kubwa lakini mnachotufanyia siyo kabisa Inasikitisha mmeondoa vifurushi kimebaki cha jero kwa kile cha wiki Tunaomba mturejeshee vifurushi kama zamani ,tulinunua line kwa bei kubwa mnooo
 19. C

  Kwa ‘madudu’ haya kwenye ripoti ya CAG, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa achia ngazi

  Ripoti hii ya CAG imeacha Serikali uchi na Waziri Mkuu kiongozi wa shughuli za kila siku za Serikali na msimamizi wa shughuli za Serikali za kila siku anapaswa aachie ngazi mara moja. Ni aibu kwa madudu haya mpaka sasa upo ofisini, unafanya nini? Ona aibu mwenyewe uchukue hatua kwa heshima...
 20. C

  Usiku mgumu, maamuzi magumu

  Ujana ni maji ya moto,je ungekuwa ni wewe ungefanyaje? Miezi miwili iliyopita baada ya kupata habari kuwa dada J ambaye yupo hapa mtaani kwetu amemaliza kidato cha 4 na matokeo hayakuwa mazuri kuendelea na elimu inayofuata,basi moja kwa moja aliingia kwenye target yangu,siyo siri aliingia...
Top Bottom