Search results

 1. M

  Je, vidonda vya tumbo winaweza sababisha presha kupanda kuwa juu?

  Habari wakuu nataka kujua hivi vidonda vya tumbo vinaweza sababisha presha kuwa juu?
 2. M

  Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

  Wakuu habari zenu, Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya kuacha wanga na sukari?
 3. M

  Tetenasi imeingia mwilini msaada

  Habar wana jf nisaidie ndgu yangu alianguka na baiskel akaumia mkono kiganja kikavimba na akawa na kidonda kidogo. Sasa alipata matibabu ya kawaida leo ni siku ya 7 tangu aumie sasa leo kazidiwa leo sana anakosa pumzi anatoka Kama mapovu Sasa madokta wakawa wamegundua no tetenasi Sasa Hali...
 4. M

  Tatizo la kushindwa kurudia raundi ya pili kwa miaka10 sasa

  Habari wakuu mimi kijana wa miaka34 nina shida ya kushindwa kurudia raundi ya pili katika tendo kwa miaka 10 Sasa naraund ya kwanza ni dk8 nimemaliza na siwezi rudia Tena hata iweje mpaka baada ya masaa nane.
 5. M

  Mrejesho: Tatizo langu la kupata mkojo tena dakika chache kila baada ya kumaliza kukojoa

  Wakuu Leo nimeleta mrejesho wa tatizo langu la kukojoa Mara kwa mwara na kupata mkojo Tena kila napomaliza kukojoa baada ya dakika kadhaa nabanwa Tena na mkojo yaan kiufupi mkojo hausishi. Wakuu nilifuata ushauri wenu nikafika Muhimbili kitengo cha urology nikamuelezea daktar kila kitu, daktari...
 6. M

  Niko mkoa wenye barabara za vumbi, kwa bajeti ya Milioni 13 gari ipi nzuri kwa kutembelea kifamilia?

  Msaaada wenu, Niko mkoani barabara za vumbi naitaji kununua gari kwa ajili ya familia na binafsi gari iwe naulaji mzuri wamafuta pia iwe na muonekano mzur na pia uimara wa body.
 7. M

  Gari ipi nzuri yakununua kwa ajili ya matumiz binafsi na yakifamilia bajeti kwa 13M

  Wakuu naombeni ushauri nataka kununua gari yakutembelea kikazi nakifamilia gari iwe imara body muonekano na ulaji pia wamafuta
 8. M

  Msaada namna ya kupata wateja kupitia Facebook and Instagram ads

  Wakuu naomba tuelimishane namna yakupata wateja na changamoto ya kupromote page Instagram na facebook
 9. M

  Nina mtaji wa Milioni 35 nataka kufanya biashara Kariakoo

  Wakuu nimebangaiza nimefanikiwa kuweka Milioni 35 nataka kuingia katika biashara Kariakoo, nifanye biashara gani? Michango ya wadau Zaidi soma>>Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)
 10. M

  Ushauri wenu juu ya hii presha yangu

  Nimetoka hospital tofaut kuchek BP hospital yakwanza bp 138/64 PR 76 hospital ya pili BP 144/67 PR 67
 11. M

  Nina tatizo la kutoisha mkojo, nikimaliza kukojoa nikikaa baada dk 20 naskia mkojo tena. Nikimaliza kukojoa mwisho matonematone hutoka

  Habari ndugu zangu, mimi ni kijana wa miaka 33 kwa kipindi kirefu nimekua nashida nikinywa maji hata robo kikombe baada ya dk 20 nitahisi mkojo, nikienda kukokoja ntakojoa ile naumalizia mkojo mwishoni unatoka kwa kukatakata na matone matone mwisho wa kukojoa. Pia hata nikiwa sijanywa maji...
 12. M

  Niweka Msaidizi au Mke aende kusubiria kujifungulia kwa wazazi?

  Msaada wa mawazo, twaishi mke mimi na mtoto. Mke wangu anamimba ya miezi saba na nusu anahitaji nimuwekee msaidizi na pia kwao na kwetu nijirani tu tunaishi mji mmoja. Kipi bora nifanye? Nimletee msaidizi au aende kwao kusubiria kujifungua au kwetu? Maana wazazi pande zote wanaishi mji mmoja...
 13. M

  Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

  Habari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalisha alikuja akaoa mwanamke mwingine Sasa basi mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa umri sawa na mtoto wa Dada yake.. mke wangu amekuwa akimchukua mtoto wa Dada yake kila...
 14. M

  Mke wangu anamwambia mama yake kuwa kanishika, wanatangaza mtaani na maneno tunayojadili ndani mimi na yeye nayakuta nje

  Habari wakuu, Nipeni ushauri juu ya huyu mke amekuwa na tabia kuwa jambo tunalojadili mimi na yeye kisha yeye kumpelekea mama yake na mama yake kuyasema kwa ndugu zake. Ndugu hao hao wa ndani wanayaleta na ukiangalia ni kweli kabisa Jambo nilijadili mimi tu na mke. Pasi na hivyo hayo yote...
 15. M

  Mke anawatangazia wazazi wangu ubaya kwa wazazi wake

  Habari wakuu ushauri, mke wangu amekua akiwatangazia wazazi wangu ubaya na ufitini kwa wazazi wake hasa mama yake pindi anapokua anarekebishwa na kushauriwa na wazazi wangu anapokua hayuko sawa. Sasa amekua maneno anayapeleka kwa mama yake kwa ubaya Yale anayoshauriwa ama kunasihiwa na wazazi...
 16. M

  Uume unasimama legelege na nikikutana na mwanamke dakika 2 umelala wakati mwingne wakati wa maandalizi unasimama kisha unalala

  Wakuu naombeni msaada nimeoa miaka mitano sasa kabla yakuoa nlikua kila nikikutana namwanamke dk3 nakojoa na siwezi kurudia tena raund nyingne hali iliendelea hivo mpaka nkaoa maisha ya ndoa yakaendelea ila changamoto ikawa hiyo. Katika maisha ya ndoa changamoto ikawa mara nyingi yaan uume...
 17. M

  Nipo Dar, nina Tsh. Milioni 30. Nifanye biashara gani?

  Wakuuu katika kuhaso haso mkoani huko nimekusanya Tsh. milioni 30 sijui nifanye biashara gani. Nahitaji mawazo yenu wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
 18. M

  Wapi nitapata mifuko ya sandarusi debe 6-7 kwa ajili ya kuhifadhia mahindi, mpunga, karanga

  Wadau nahitaji msaada wenu wapi nitapata mifuko ya sandarusi kwa bei ya jumla Sent using Jamii Forums mobile app
 19. M

  Msaada nimeandikiwa vipimo hivi RPR na VCT ni vipimo gani

  Wakuu kama nilivoandika hapo juu nimeandikiwa hivo vipimo naomba mnifafanulie nivipimo gani hivo kwa kirefu Sent using Jamii Forums mobile app
 20. M

  Ushauri wenu wanaJF, mke wangu ana tabia za umbea

  Mimi nimeoa takribana miaka3.9 sasa mimi na mke wangu tunaishi nyumbani kwa wazazi wangu kwa miaka yote hii tangu tuone hadi hii leo kilichonileta kwenu JF hivi. Wiki tatu zilizopita mdogo wangu alikuwa anaoa na baada ya kuoa tunaishi nae hapa nyumbani yeye na mke wake mdogo waliolea mkoa...
Top Bottom