Search results

 1. M

  TRA yakamata mifuko 400 ya sukari ya magendo

  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imekamata mifuko 400 ya sukari iliyokuwa ikisafirishwa kwa magendo. Taarifa ya mamlaka hiyo imesema mifuko hiyo ya sukari ya kilo 50 kila mmoja imekamatwa usiku wa kuamkia jana, Agosti 26 ikiwa imepakiwa kwenye magari mawili aina ya Mitsubishi Fuso. TRA...
 2. M

  Ubungo wana shule 100 hazijasajiliwa

  HALMASHAURI ya Manispaa ya Ubungo imeanza kuzifungia rasmi shule zote binafsi ambazo hazijasajiliwa katika kata ya Kwembe huku ikibaini kuwepo kwa shule takriban 100 ambazo hazijafuata utaratibu. Ofisa Elimu wa Manispaa hiyo, Chausiku Masegenya akiambatana na timu ya wataalamu kutoka idara yake...
 3. M

  Wanaume wavunja ukimya, walalamika kupigwa na kutelekezwa na wake zao

  WANAUME 20 walio kwenye ndoa katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa wamevunja ukimya wakidai kupigwa na kutelekezwa na wenzi wao, imebainika. Mkuu wa Dawati la Polisi la Jinsia na Watoto Sumbawanga, Koplo Germana Mfwomi alilieleza gazeti hili kuwepo kwa hali hiyo, mbali na kubainishwa...
 4. M

  Mwigulu awapa bodaboda siku 30 kila mmoja awe na kofia ngumu 2

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ametoa siku 30 kwa wamiliki na madereva wa bodaboda nchini kote kuhakikisha wanakuwa na kofi a ngumu (helmet) mbili ili kuwezesha dereva na abiria kupunguza madhara ajali inapotokea. Amesema baada ya siku hizo kuisha, dereva yeyote wa bodaboda...
 5. M

  Sakata la IMMMA: Rais wa TLS, Tundu Lissu atoa maazimio ya Baraza la Uongozi. Wapanga kugoma siku mbili

  Mwanasheria Tundu Lissu akiwa amevaa kofia ya mwenyekiti wa chama cha mawakili Tanzania(TLS) wameita press na anaanza kwa kusema wamepokea taarifa ya watu kufanya shambulio usiku wa kuamkia jana asubuhi kwa bomu kwenye ofisi za uwakili za Immma advocates. Baraza la uongozi la TLS lilifanya...
 6. M

  Mlipuko ofisi za mawakili waacha maswali mazito

  TUKIO la ofisi za Kampuni ya uwakili ya IMMMA zilizoko Upanga, Dar es Salaam kulipuliwa kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu, limezongwa na maswali mengi. Kitendo hicho kilichodaiwa kutokea usiku wa kuamkia jana kati ya saa 7:40-8:00, kimeacha sintofahamu si tu kwa mawakili wa kampuni ya IMMMA...
 7. M

  Majaliwa: Watanzania imarisheni uzalendo

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wote wahakikishe wanaboresha mshikamano wao pamoja na kuimarisha uzalendo kwa Taifa lao. Alitoa kauli hiyo juzi jioni wakati akizungumza na wanafunzi wa Tanzania wanaosomea udaktari nchini Cuba. Waziri Mkuu yuko nchini Cuba kwa ajili ya ziara ya...
 8. M

  Uchaguzi Kenya ghali zaidi Afrika, namba mbili duniani

  SIKU 10 tangu kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Kenya, imeelezwa kuwa nchi hiyo ndiyo inayoongoza kwa kufanya uchaguzi ghali zaidi barani Afrika. Aidha, kwa duniani imeshika nafasi ya pili, ikitanguliwa na Papua New Guinea inayotajwa kuwa kinara duniani, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari...
 9. M

  Waziri wa afya, Ummy Mwalimu amshukuru Askofu Pengo

  Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema msaada wa uchimbaji wa kisima cha huduma ya maji safi na salama kilichochimbwa kwenye Kituo cha Mahabusu ya Watoto Upanga, kimeipunguzia Serikali gharama ya Sh4,800,000 zilizokuwa zinatolewa kila mwaka. Kutokana na hatua hiyo Waziri Mwalimu amemshukuru ...
 10. M

  Mzazi: Epuka haya katika malezi ya mtoto wako

  Nimeyakusanya maradhi ya malezi katika ulimi kwenye "Maneno Aina Kumi" yanavunja moyo watoto na yanawahamasisha kupotea, nayo ni kama yafuatayo: KUTUKANA: Kwa kumpa mtoto sifa za wanyama (punda/mbwa/ng'ombe/mbuzi/ewe mnyama/......) au kuitusi siku aliozaliwa. KUMDHARAU: Kwa kumkejeli kwa sifa...
 11. M

  Bombardier yatua nchini kimya kimya

 12. M

  Musukuma: Kuna wanasiasa wameahidiwa 10% kuweka presha ndege kuzuiwa

  Habari waungwana, Mwenyekiti wa CCM mkoani Geita na mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku almaarufu kama msukuma ameamua kujibu kombora la mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu kuhusu sakata la ndege ya serikali kuzuiwa nchini Canada baada ya wadeni kusema wanaidai Tanzania. Msukuma...
 13. M

  North Korea warns of 'merciless strike' ahead of US-South Korea drills

  North Korea warned Sunday that the upcoming US-South Korea military exercises are "reckless behavior driving the situation into the uncontrollable phase of a nuclear war." Pyongyang also declared that its army can target the United States anytime, and neither Guam, Hawaii nor the US mainland...
 14. M

  Wezi wa mtandao wawatesa mapadri

  PADRI Paschal Luhengo wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mahenge, Parokia ya Lupiro wilayani Ulanga mkoani Morogoro ameiomba serikali kuingilia kati na kutokomeza wimbi la wezi wa mtandao ambalo limeibukia kuwaumiza baadhi ya watawa, mapadri na watu wengine. Alitoa ombi hilo hivi karibuni mara baada...
 15. M

  Tuzungumze biashara: Weka kumbukumbu ya unachodaiwa

  TUMEZOEA kuona wateja wakidaiwa na mara nyingi kuamini kwamba, kwa sababu mwenye duka ndiye anayemiliki bidhaa ziuzwazo, uwezekano wa kudaiwa na mteja haupo au ni kwa asilimia ndogo sana. Mtandao wa maswali Www.ask. com unasema kwa nchi zilizoendelea, suala la mteja kumdai mmiliki wa biashara...
 16. M

  Ummy awapongeza Rukwa kudhibiti vifo vya wajawazito

  SERIKALI imesema inaendelea kuboresha huduma za afya ya uzazi na mtoto ili wajawazito wanaohudhuria kliniki na kujifungulia katika vituo vinavyotoa huduma ya afya 2020. Hayo yalibainishwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu mjini Nkasi akiwa katika ziara...
 17. M

  ‘Mo’ Dewji kuiteka EAC kwa uwekezaji

  MFANYABIASHARA maarufu wa Tanzania ambaye ni bilionea kijana zaidi barani Afrika, Mohammed `Mo’ Dewji anayemiliki kampuni ya MohammedEnterprises Tanzania Limited (MeTL) Group, amepania kuiteka Afrika Mashariki kibiashara. Mbali ya kuwa amekwishawekeza katika nchi 12 Afrika, jicho la uwekezaji...
 18. M

  Hongereni TBC kwa kuboresha muonekano

  Habari waungwana, Binafsi huwa naamini TBC 1 na TBC Taifa huwa na vipindi vingi vizuri ukiacha habari na baadhi ya vipindi vya kisiasa ambayo bado inajadilika lakini pia kuwa chombo cha serikali ni rahisi kuwa upande uliopo kwani sehemu nyingi duniani chombo cha habari cha taifa(Serikali) huwa...
 19. M

  Wahariri wabaini makosa kurudiana na Paul Makonda, viongozi waomba Radhi

  Habari waungwana, Wiki iliyopita ilitawaliwa na mengi ikiwemo kupatana kwa Ruge na mkuu wa mkoa wa Dar kuanzia Tanga mpaka mkutano wa wanahabari walioufanya jijini huku wakionekana 'kutopangana' vizuri mbele ya camera. Baada ya mkuu wa mkoa kugoma kuomba radhi tena kwa kutumia lugha ngumu...
 20. M

  Jishindie million 60 na tatu mzuka, 500/- kushinda baada ya kila lisaa

  Tatu Mzuka ni mchezo mpya wa jackpot uliobuniwa mahsusi kubadilisha maisha ya watu. Tatu Mzuka ni rahisi kucheza kwa kutumia simu ya mkononi, na kushinda ni baada ya kila lisaa limoja baada ya kucheza. Kucheza Tatu Mzuka unahitaji kuchagua namba zako tatu za bahati, kati ya 0 na 9 kwa kufanya...
Top Bottom