Search results

 1. 2

  Gari yangu asubuhi/ikiwa imepoa. Nikitoa gear kutoka R kwenda D/2/L inashtuka khu! Hii imekaaje?

  Sawa mkuu ila uku mikoani mafundi nao wanasumbua zinauzwa bei gani mkuu za carina
 2. 2

  Gari yangu asubuhi/ikiwa imepoa. Nikitoa gear kutoka R kwenda D/2/L inashtuka khu! Hii imekaaje?

  Ikishajifia ndo gearbox nzima imekufa mkuu au ndo hapo nabidi nifanyeje
 3. 2

  Gari yangu asubuhi/ikiwa imepoa. Nikitoa gear kutoka R kwenda D/2/L inashtuka khu! Hii imekaaje?

  Wazeee za asubuhi,gari imenisumbua tena haiendi mbele ila kurudi nyuma tu Jana tulitengeneza valve sile ilikuwa ndo inavujisha hydraulic na ile sauti iliisha kabisa sasa hivi asubuhi haiendi mbele
 4. 2

  Gari yangu asubuhi/ikiwa imepoa. Nikitoa gear kutoka R kwenda D/2/L inashtuka khu! Hii imekaaje?

  Hi ndg nisaidie ushauri nina carina yangu 7A inasumbua kupanda mlima inachemsha. Nakkukosa nguvu hasa kwenye mlima Pili hydraulic inaisha haraka yaan wiki 1 niliweka lita 4 leo iko low kabisa .nikiweka d kuondoka gear inachelewa kuingia na kutoka na kuna sauti inatoka kama mshutuko then...
 5. 2

  Habarini za asubuhi naomba kujua kwa wale wataalam wa magari gari inakosa nguvu kupandisha mlima ,ukiweda d kunasauti inatokea kwa mbele kama kuna

  Lakini kama leo asubuhi imewaka ghafla ikazima tena nikawasha ikawaka livasi inakataa ikaenda mbele na kingine nimeona kama hydraulic imepungua japo nimeweka wiki 1 imepita lakini imeshuka sana
 6. 2

  Habarini za asubuhi naomba kujua kwa wale wataalam wa magari gari inakosa nguvu kupandisha mlima ,ukiweda d kunasauti inatokea kwa mbele kama kuna

  Habari za asubuhi naomba kujua kwa wale watajuzi wa magari gari yangu aina ya. Carina 7A inakosa nguvu mliman Ukiweka d kuna sauti inatokea kwa mbele kabla ya kutembea na livasi lia hiyo sauti inatokea Na kwenye mlima inaweza kuzima kabisa na kuchemsha naomba msaada plz na ushauri
 7. 2

  Jinsi ya kuhamisha Mshahara

  Mkuu nimeishafanya mawasiliano na nilikotoka wanasema wameishahamisha ila huku nilikohamia ndo nako bado haujasoma na mashaka je kama kule wanadai wameishatuma haiwezi kusababisha unakosa mshahara. Niliambiwa haujawa approved zaidi ya mwezi kweli utumishi wanachelewa hivo.
 8. 2

  Jinsi ya kuhamisha Mshahara

  Umefanikiwa mkuu
 9. 2

  Je, kupaki gari muda wa miezi 4 bila kuliwasha kuna tatizo?

  Naomba kuuliza, nimepaki gari aina ya Carina zaidi ya miezi 4 bila kuitumia. Je, kuna shida kuipaki muda wote huo?
 10. 2

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Nimekuelewa aisee ndg kwa mikeka yako
 11. 2

  Serikali kulipa madai ya Watumishi wa Umma, yatalipwa February pamoja na mshahara! Soma hapa majina..

  Haya mimi nadai sioni jina langu mkuu Na nilipata barua ya kuwa nitalipwa hazina ikianza kulipa lkin hamna kitu
Top Bottom