Search results

 1. Officer2009

  Msaada Jamani

  Simu yangu ya Samsung galaxy J7 ina tatizo la kupoteza memory ya sim card; na hii ni kwa sim card ya Halotel tu. Nimeweka picha hapo chini
 2. Officer2009

  Niuzie pikipiki(Tvs 150cc)

  Wadau natafuta pikipiki used aina ya Tvs, cc150 au 125, ila napenda zaidi 150cc. Iwe kwenye hali nzuri sana na iwe haijawahi kufunguliwa engine.
 3. Officer2009

  Niuzie Tecno cx au Samsung galaxy s5 yenye 4g

  Natafuta mojawapo ya hizo simu tajwa hapo juu, mwisho wangu ni tsh 250,000.
 4. Officer2009

  Naomba kujulishwa chuo bora zaidi cha upishi kwa ngazi ya cheti/diploma kwa Dar au Kibaha

  Wadau naomba kujulishwa chuo bora zaidi cha kufundisha upishi kwa ngazi ya cheti/diploma, jijini Dar au hata Kibaha. Kiwango changu cha elimu ni shahada.
 5. Officer2009

  Chuo cha upishi

  Wadau naomba kujulishwa chuo bora zaidi cha kufundisha upishi kwa ngazi ya cheti/diploma, jijini Dar au hata Kibaha. Kiwango changu cha elimu ni shahada.
 6. Officer2009

  Chuo bora cha upishi

  Wadau naomba kujulishwa chuo bora zaidi cha kufundisha upishi kwa ngazi ya cheti/diploma, jijini Dar au hata Kibaha. Kiwango changu cha elimu ni shahada.
 7. Officer2009

  Star Times Channel mpya ;Nat Geo Wild, no. 221

  Wadau hii channel mpya inayotangazwa na star Times mbona mi kwangu siioni? Au ni kwa wale wanaotumia dishi? Nisaidieni pliz, mi no. 221 ni NGW e, na ni kifurushi cha uhuru
 8. Officer2009

  Channel mpya Star Times; National Geo

  Wadau husikeni na kichwa cha habari hapo juu. Nimeona tangazo la star Times kua kuna channel mpya ila mi kwangu siioni. Channel no.221 ambayo ndo wanasema ipo mi kwangu ni nat geo e, na ni kifurushi cha uhuru, sio mambo kama wanavyotangaza. Ni kwangu tu au hii channel mpya ni kwa wenye dishi?
 9. Officer2009

  Wimbo wa taarab wa Mwanahela Sege sege ulioimbwa miaka ya '93/94

  Wadau naomba mwenye huo wimbo hapo juu aunipe au anipe link ya kuudaunlodi. Nimeshatafuta sana bila mafanikio. Baadhi ya lyrics zake ni .".....kulishwa sahani moja wewe na mume mwenzio, Usikione kioja dunia yetu ya leo, Wake tumeerevuka, nasi twaitaka pajero eee ..."
 10. Officer2009

  Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

  Wanajamvi naomba kuuliza wenye uelewa wa hili jambo, ni kwa nini mwezi huu tumecheleweshewa Mishahara yetu hivi?
 11. Officer2009

  Tatizo la YAMAHA AG 200 kumwaga oil

  Wataalamu naombeni msaada wa nini nifanye. Pikipiki yangu aina ya yamaha ag200 inatoa/ inamwaga oil kupitia kwenye air cleaner, na kila nikiweka oil yote inaisha muda mfupi baadaye kwani inatoka yote kupitia kwenye air cleaner. Mi nipo mbali na dar, kwa hiyo mafundi wa huku kijijini nilipo...
 12. Officer2009

  Samsung galaxy note3 urgently needed

  Mwenye hiyo simu na anauza ani pm fasta tufanye biashara, nipo dar. Mwisho wangu ni laki 5
 13. Officer2009

  Nahitaji Samsung galaxy note3

  Wadau nahitaji simu tajwa hapo juu haraka, iwe katika hali nzuri ila mwisho wangu ni laki 5. Kama unayo ni pm fasta tufanye biashara. Nipo dar
 14. Officer2009

  Naomba msaada wa ku-upgrade Samsung galaxy S3 from 4.3 to 4.4

  Wanajamvi mi nipo Moshi, natamani ku upgrade simu yangu Samsung s3, nipo Moshi mjini. Naomba kuelekezwa ni wapi nitafanyiwa hio kitu.
 15. Officer2009

  Used Galaxy note 2 urgently needed

  Wapendwa nahitaji hiyo simu tajwa hapo juu, ila iwe katika hali nzuri na isiwe clone. Nina laki 3 tu.
 16. Officer2009

  Used Galaxy note 2 urgently needed

  Wapendwa nahitaji hiyo simu tajwa hapo juu, ila iwe katika hali nzuri na isiwe clone. Nina laki 3 tu.
 17. Officer2009

  Used original Galaxy note 1 urgently needed

  Wadau nahitaji hiyo simu tajwa hapo juu, ila mwisho wangu ni laki 3 tu. ni pm fasta kama unayo.
 18. Officer2009

  Chalinze Star times haina signal tatizo nini ?

  Wanajamvi hebu nisaidieni katika hili, hivi ni huku Chalinze tu ndio signal ya star times imekata tangu asubuhi au ni kote?
 19. Officer2009

  Waalimu Bagamoyo tumekatwa mishahara yetu eti kwa ajili ya ujenzi wa maabara

  Jamani wanajamvi, sisi waalimu wa halmashauri ya Bagamoyo tumekatwa mishahara yetu eti kwa ajili ya ujenzi wa maabara shule za kata bila ridhaa yetu. Watu wamekatwa viwango tofauti tofauti kulingana na take home ya mtu. Jamani hii imekaaje kisheria? Mi binafsi nimekatwa kama 25,000...
 20. Officer2009

  Waalimu wamekatwa mishahara Bagamoyo

  Jamani naombeni msaada wa kisheria kuhusu sisi waalimu wa halmashauri ya bagamoyo tumekatwa mishahara yetu eti kwa ajili ya ujenzi wa maabara shule za kata. Hili limekaaje kisheria na tufanyaje, hasa ukizingatia cwt ni butu?
Top Bottom