Search results

 1. Abby Senior

  Uwekezaji nishati

  Habari wadau, Kuna wawekezaji wanataka kuwekeza Tanzania au popote Africa katika sekta ya nishati, je ninaweza kupata wahusika au kama kuna wadau humu tufanye kazi?
 2. Abby Senior

  Msaada: Nimepoteza leseni ya udereva

  Wadau naomba msaada kama kuna mtu yeyote ameiona mahali leseni ya udereva namba 4000549027 anisaidie niipate, namba yangu ya simu ni 0679663661,naomba msaada.
 3. Abby Senior

  Nimepoteza leseni ya udereva

  Wanajamvi habari zenu? Naomba kuleta kwenu taarifa hii ya kupotelewa na leseni yangu ya udereva namba 4000549027. Ninaomba mdau yeyote kama ataiona mahali anipigie namba 0679663661 ili anisaidie niipate leseni hiyo. Natanguliza shukrani zangu.
 4. Abby Senior

  Nahitaji korosho zilizobanguliwa

  Hali zenu wadau naomba kuuliza wapi nitapata korosho zilizibanguliwa kwa wingi, nahitaji kununua kwa wingi, kama kuna mhusika au anafahamu wapi zinapatikana naomba anijulishe
 5. Abby Senior

  Beach Plot(white sand) for sale

  Ninayo beach plot ya ekari 50 ninaiuza Ipo sadani, madalali na wanunuzi karibuni.
 6. Abby Senior

  Nauza Beach Plot (white sand) Sadani

  Ninayo beach plot ya ekari 50 ninaiuza Ipo sadani, madalali na wanunuzi karibuni.
 7. Abby Senior

  Waheshimiwa Kikwete, Mkapa, Mwinyi Busara zenu zinahitajika

  Wadau, Mimi naomba kuuliza, hii nchi yetu ina maraisi wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu na wengine ni wanadiplomasia wazuri tu, hivi hakuna utaratibu wa kushauriana na kumshauri Rais kama mambo yanaonekana yanakwenda ndivyo sivyo?? Ni lazima tufahamu kuwa ukubwa wa muembe unatokana na kokwa...
 8. Abby Senior

  Mwenye kujua zaidi juu ya ma agent wa kazi USA

  Naomba kufahamishwa wadau kuhusu hawa maagent wa online wa USA , eti kulingana na security ya marekani Mara nyingi ni wa kweli kulingana na security ya inchi hiyo. Maana kuna kijana aliona post ya mama mmoja yupo USA anahitaji wapishi, watumishi wa ndani, madereva nk. Yeye aliomba udereva...
 9. Abby Senior

  Ruvu JKT 832KJ - Operation ya miaka 30 ya Uhuru

  Wale wote waliopitia Ruvu JKT kwa mujibu wa sheria katika Operation miaka 30 ya Uhuru tukutane hapa, watu wamesambaratika, ni vizuri tufahamiane na wapi tulipo.
 10. Abby Senior

  Masada kupata nyumba ya kupanga Tanga

  Habari zenu wadau, mimi nipo Tanga mjini natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba 3 au 4, naomba Msaada wenu wadau wa JF kama Kuna mtu anaweza kujua, Natanguliza shukrani.
 11. Abby Senior

  Naomba Msaada kupata nyumba ya kupanga

  Habari zenu wadau, mimi nipo Tanga mjini natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba 3 au 4, naomba Msaada wenu wadau wa JF kama Kuna mtu anaweza kujua, Natanguliza shukrani.
 12. Abby Senior

  Matokeo ya darasa la nne 2013

  Wanajamvi, Ninaomba kama kuna mtu anayo matokeo ya darasa la nne mwaka 2013 hasa kwa shule za msingi za Tanga mjini anisaidie.
 13. Abby Senior

  Ninahitaji Matokeo ya Darasa la nne 2013

  Hali zenu wanajukwaa, Kwa heshima na taadhima ninaomba kama kuna mwanajukwaa atakayeweza kunisaidia nipate matokeo ya mtihani wa darasa la nne mwaka 2013 kutoka baraza la mitihani, naomba sana anisaidie.
 14. Abby Senior

  Suala la mwanafunzi kurudishwa nyumbani kwa kukosa ada liko vipi?

  Habari zenu wanajamii, Nashawishika kuuliza hivi kweli inawezekana na ni sheria au ruhusa kwa mtoto kurudishwa nyumbani na kukosa mitihani kwa kuwa mzazi hajalipa ada? Na ikitokea mtoto anekaa nyumbani muda fulani na baadae mzazi akalipa ada baadae, je masomo aliyoyakosa mtoto na mitihani na...
 15. Abby Senior

  Wadau wa usafirishaji

  Habari zenu wadau, Ninaomba kufahamishwa juu ya hizi mizani za mkeka, utakuta gari ya mzigo (semi trailer) zinapita mizani zote bila kuzidi uzito, lakini katika mizani za mkeka lazima kwenye difu excel moja inazidi, unaambiwa ulipe faini, unapohoji unaambiwa kwa zile mizani za group ni sawa...
 16. Abby Senior

  Usalama kuhusu FOCUS VIKOBA

  Wadau naomba kufahamishwa usalama wa hiki kikundi cha kukopesha watanzania cha focus vicoba, Je kuna mtu yeyote amefanikiwa kukopeshwa na kuendana na masharti yao ? Wadau hebu angalieni attachment hii niliikuta Facebook, hivi huyo mama Janeth Magufuli ameiona hiyo
 17. Abby Senior

  Wenyeji wa Kabanga, nataka kufanya biashara maeneo ya mpakani

  Nataka kufanya biashara kabanga mpakani naomba kama nitapata namba ya mtu yeyote aliyepo kabanga nifanye nae mawasiliano
 18. Abby Senior

  Nataka kufanya biashara Kabanga Mpakani

  Nataka kufanya biashara kabanga mpakani naomba kama nitapata namba ya mtu yeyote aliyepo kabanga nifanye nae mawasiliano
 19. Abby Senior

  Biashara ya chumvi

  Ninayo chumvi tani 33 natafuta wateja wa kabanga ili tufanye biashara
 20. Abby Senior

  Wadau hali zenu?

  Ninaomba msaada wa kupata mfanyabiashara wa chumvi aliyepo huko KABANGA, nahitaji kujua bei ya chumvi ikifika Kabanga ili tufanye biashara.
Top Bottom