Search results

 1. Ikumbilo

  Wavulana wa Thailand Waliopotelea Kwenye Mapango Wapatikana Hai

  Timu ya mpira wa miguu ya vijana wa kati ya miaka 12-16 huko Nchini Thailand waliokwama zaidi ya siku tisa, leo hii wameokolewa wakiwa hai. Waliingia kwenye mapango hayo makubwa yanayopatikana kwenye milima iliyo kaskazini mwa Thailand na baada ya hapo Mvua kubwa ikanyesha na kisha maji...
 2. Ikumbilo

  Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

  Haya mambo yakifanyika kwa uzuri naona umasikini unavyokimbia Tanzania
 3. Ikumbilo

  Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

  Kwa kweli ni kitambo sana, naona kama miaka hivi. Bora umerudi hewani kwa kweli tulimiss stori, Umbea, Habari mbalimbali hata Elimu na maarifa tulimiss sana.
 4. Ikumbilo

  Zitto Kabwe na Humphrey Polepole wavutana kimaneno kisa Mwigulu Nchemba

  Muoshwa huoshwa wacha naye azoee kama sie
 5. Ikumbilo

  JamiiForums: Tumerejea baada ya kutoweka hewani kwa wiki 3

  Afadhali mmerejea mie wa zamani humu
 6. Ikumbilo

  Nafasi za Kazi Mbalimbali- Zakumwaga

  Senior Water Supply Specialist The Water and Sanitation Program (WSP), is a multi-donor trust funded program administered by the World Bank, comprising a field-based network of over 70 professionals based in four regional teams (Africa, East Asia Pacific, Latin America, and South Asia)...
 7. Ikumbilo

  Nafasi za Kazi Mbalimbali 10/03/2013

  Poa ngoja niifuatilie hadi niujue mwisho wake.
 8. Ikumbilo

  Nafasi za Kazi Leo hii 11/03/2013

  TANROADS Cashier Requirements :Minimum holders of Ordinary Diploma in Accounting or Certificate of Accountancy from any recognized InstituteMust be Computer literate (at least Advance Certificate in Computer Application)Must be fluent in both written and spoken Kiswahili and English...
 9. Ikumbilo

  Nafasi za Kazi Mbalimbali 10/03/2013

  ACBF COMMUNICATIONS OFFICER – WRITER/EDITOR GOAL South Sudan Financial Controller Malaria Consortium Business Development Plan International Counter Fraud Specialist IGAD Regional Expert Coordinator of IGAD Development Partners SENIOR IT SOLUTIONS ARCHITECT , KENYA Marie Stopes...
 10. Ikumbilo

  Nafasi za Kazi za Leo hii zipo 58, 8/3/2013

  Nafasi za Kazi za Leo, Kuna Barrick, NMB , Tigo na zingine nyingi. SolidarMed General Internist Practitioner National Registration Bureau Technical Advisor (TA) – Malawi Saferworld Country Manager - South Sudan Danish Refugee Council Area Manager - Puntland NGO Safety Program (NSP) Area...
 11. Ikumbilo

  Kwa hili, secretariet ya ajira Tanzania nimewakubali! Hongera sana!

  Angalia kujisifu kwako kusijekuwa majuto baadaye. Ukipata shukuru Mungu maana ndie atoaye riziki.
 12. Ikumbilo

  Frame inatafutwa.

  Natafuta frame kwa ajili ya kufanya biashara Jijini Dar,mwenye ufahamu naomba anisaidie kwa kuni PM. Asanteni.
 13. Ikumbilo

  Tunakopesha fedha kuanzia 50,000 mpaka milioni 2.

  Acha kujigamba na maelezo yasio na vigezo na masharti. Awe na dhamana ya kitu gani? Pili awe na sifa zipi? Muda wa kurejesha ni lini tangu achukue mkopo? Riba yenu ni kiasi gani? Na mengine nitaendelea.....
 14. Ikumbilo

  Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

  Kulikoni jamani?
 15. Ikumbilo

  New atcl you cant compare with precission

  Nachukia sana zile Sandwich za Precision Air mie, sijui ATCL wana connection yoyote kwa International Airlines? Maana mie nikitoka Addis Ababa kwenda Mwanza lazima nakutana na Precision Air hata Nairobi nakutana nao.
 16. Ikumbilo

  Kazi nje ya Tanzania

  Mara nyingi uzoefu au ujuzi wa kitu fulani huwa kinakufanya uweze kupata kazi. Hii inategemeana na jinsi unavyojinadi kwa wale waliozitangaza hizo nafasi za kazi. Pia jitahidi kuapply maana huwezi kukaa tu bila kuapply.
 17. Ikumbilo

  Kazi mshanara mkuuubwa barrick gold!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Aisee mbona ni hatari sana. Jamani tuwe makini sana na matapeli wa namna hii.
 18. Ikumbilo

  Nasikia kuna degree za "chupi"

  Umenifurahisha sana, kama mie nilivyokoment kwenye moja ya thread za huyu jamaa.
 19. Ikumbilo

  Waliotumwa kumuua Dr. Ulimboka wapata PIGO Afrika Kusini

  Hebu check hapo. Join Date : 4th July 2012 Posts : 2 Rep Power : 0 Likes Received3 Likes Given0
Top Bottom