Search results

 1. brave one

  Spika Ndugai: Wabunge msitambulishe waume au wake za watu Bungeni

  Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza bungeni alipokuwa akiwaonya wabunge kutoleta taarifa za kutambulishwa bungeni waume au wake za watu wakidai ni waume au wake zao, alipokuwa akiongoza kikao cha bunge la bajeti, jijini Dodoma leo. Ndugai amesema amepokea malalamiko kutoka kwa wananchi...
 2. brave one

  Channel gani DSTV wanaonyesha Bundesliga?

  Msaada wadau kwenye DSTV Sent using Jamii Forums mobile app
 3. brave one

  Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

  Mwanamama mrembo na mjasiliamali Zari the Bosslady aliyezaa watoto 2 na Diamond Platnumz amemlipua mzazi huyo mwenzie baada ya kutangaza kulipia makazi kata 500 wakati hajua watoto wake wamekula Nini wala wamelala vipi. Zari anamwambia Diamond huwezi furahisha dunia wakati wakwako hawana furaha...
 4. brave one

  Sanchword abadili dini sasa kuitwa Surraiya Evarist Rimoy

  Mrembo maarufu mtandaoni Sanchword amebadili dini na kuwa muislam rasmi na kuitwa Surraiya Evarist Rimoy. Sanchi binti wa kichaga mwenye shepu matata amekuwa akifunga ramadhani wakati bado hajaingia kwenye uislam. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. brave one

  Kuna channel yoyote DStv inaonyesha Europa League

  Anaejua channel yoyote kwenye DStv inaonyesha Europa league atusaidie tafadhari Sent using Jamii Forums mobile app
 6. brave one

  Yanga rasmi yamtangaza mbelgiji luc Eymael kuwa kocha mkuu

  Klabu ya Yanga ikifanya kazi karibu na mdhamini wake GSM imemtangaza kocha Luc Eymail kuwa kucha mkuu atakaechukua mikoba ya mwinyi Zahera Luc anauzoefu na soka la Africa na akiwa ametwaa mataji kadhaaa na vilabu tofauti. Ametwaa ubingwa akiwa na AS Vita ya DRC Congo Kocha huyo atatua Saa 8:30...
 7. brave one

  Mchekeshaji na Mtangazaji wa EA Redio, Zembwela atiamkia Wasafi FM

  Mtangazaji maarufu wa East Africa redio, Zembwela amejiunga rasmi Leo na Wasafi FM Ameungana na Maulid Kitenge katika kipindi cha Magazetini wakichambua wote habari hizo
 8. brave one

  Harmonize aendelea kung'aa achaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA

  Harmonize amekuwa msanii pekee mwaka huu kutokana East Africa kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA katika kipengele Cha Best African Act akichuna na wakali Kama Barnaboy na Nasty C Unaweza kumpigia kura Harmonize kupitia Kutipia www.mtvema.com
 9. brave one

  Harmonize akiwa na Boss wake mpya

  Huku uongozi wa WCB kupitia Said Fella ukisisitiza hautabembeleza Harmonize kutumbuiza Wasafi festival na Kama Harmonize anataka kuondoka aage kwa amani. Harmonize amekuwa akionekana na boss wake mpya Jembe Ni Jembe wakipanga mikakati mbalimbali
 10. brave one

  Eric Baily arudi kijijini kwao Guiglo kutibu majeraha

  Beki wa Manchester United Eric Baily na Ivory Coast ameamua kurudi kijijini kwao Guiglo Mara baada ya majeraha kumuandama Mara kwa Mara na kwenda kujitibu huko. Baily ama miaka mingi hajarudi kijijini huko tangu alipofanikiwa kuwa mchezaji wa kimataifa na maarufu
 11. brave one

  Rastom aidhamini Yanga kupitia Taifa Gas

  Bilionea Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taifa Gas ameingia kuidhamini klabu ya Yanga. Kampuni hiyo inatarajiwa kutangazwa Leo kwenye sherehe za kilele Cha wiki ya wananchi itakayofanyika uwanja wa Taifa Taifa Gas itakuwa kwenye mikoni ya jezi za Yanga
 12. brave one

  Watanzania wamvaa Beyonce, wataka haki itendeke

  Watanzania wadau wa muziki wameanza movement kutengeneza awareness ili Beyonce ajue watu wake wamempotosha baada ya kukosekana mwakilishi kwenye album ya Lion King Huku akijaza wasanii wengi wa Africa magharibi
 13. brave one

  Kufuzu AFCON 2021: Tanzania yapangwa na Tunisia na Libya

  Kuelekea kufuzu AFCON 2021 yatakayofanyika nchini Cameroon, Tanzania imepangwa na Waarabu 2 Tunisia na Libya pamoja na Equatorial Guinea Kumbuka Ni timu 2 za juu tu zinafuzu kwenda AFCON 2021 Kila kundi. Tunisia ====== Shirikisho la Soka Barani Afrika limetangaza makundi kwa ajili ya kufuzu...
 14. brave one

  Wasanii wa East Africa Bado Ni Local Champions, Beyonce awatosa

  Kitendo Cha Beyonce kuzindua Album yake mpya ya Lion King Huku akiwashirikisha wasanii wakali wa Africa Huku akiwatosa wasanii wa East Africa Ni kilelezo tosha kwamba East Africa Bado hatuna International artist wa kweli wenye nguvu. Wasanii Kama Diamond platinum , alikiba na Eddy Kenzo Huku...
 15. brave one

  GSM kuzalisha na kusambaza jezi za Yanga

  Klabu ya Yanga Leo imetangaza kuwa kampuni ya GSM imeshinda tenda ya kuzalisha na kusambaza vifaa ya Yanga kuanzia jezi rasmi ,za mazoezi, skafu na tracksuit. Swali la msingi Ni je GSm wamewahi kuzalisha jezi na vifaa vya michezo? Wengi tunajua GSM Wana maduka makubwa ya nguo za kawaida. Au ndo...
 16. brave one

  Ramadhan Singano "Messi" asajiliwa na TP Mazembe

  Alikuwa mchezaji wa Azam FC Ramadhani Singano maarufu Kama Messi amesajili na TP Mazembe ya Congo. Mazembe wanaamini Sinagano ana kipaji kikubwa na chini ya uangalizi wa na malezi anaweza kuwasaidia. Kila la kheri kijana kajitume uje kuokoa Taifa stars
 17. brave one

  TFF yamtimua Amuninike kufundisha taifa stars

  Kutafuta kocha mpya
 18. brave one

  Chanzo Cha bifu la Mo Dewji na Swedi Mkwabi

  Mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama Swedi Mkwabi na mwekezaji Mo Dewji kwa Sasa hawapikiki chungu kimoja na kupelekea sintofahamu ndani ya Simba. Chanza Mo Dewji hana Imani na Mkwabi kutokana kuonekana kuwapa nguvu kundi linalompinga likiongozwa na Mzee Kilomoni , Mo anaamini Mkwabi...
 19. brave one

  Rostam Aziz asema nipo tayari kuidhamini Yanga SC

  Bilionea mfanyabiashara na mwanachama wa Yanga Rostam Aziz amesema yupo Tayari kuidhani klabu ya Yanga kupitia moja ya makampuni yake lakini sio kuifadhili au kuimiliki Akiongea na waandishi wasl habari leo ofisini kwake jijini Dar Ess Salaam Rostam amesema ROSTAM :"Niko tayari kuidhamini Yanga...
 20. brave one

  Simba yasajili kiungo wa Sudan, kuimarisha kikosi

  Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamemsajili kiungo Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman kutoka klabu ya Al Hilal ya Sudan. Shaiboub ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Sudan na amekuwa kiungo bora mara mbili mfululizo kwenye Ligi Kuu ya Sudan. Kiungo huyo amesaini mkataba wa mwaka mmoja , habari...
Top Bottom