Search results

 1. four eyes

  Hivi boomplay ni kina nani?

  Wakuu katika vitu vinavyonikwaza na kuninyima raha na simu yangu ni hawa watu wanajiita boompesa. Hawa jamaa asubuhi lazima wanitumie msg,mchana lazima,na usiku lazima watume msg. Sijawahi kushiriki michezo yao ya bahati nasibu lakini wamening’ang’ania balaa na sijui nimewakosea nini,kibaya...
 2. four eyes

  Umeshawahi kwenda kupima ngoma na partner wako halafu yeye akakutwa na virusi?

  Wakuu habari za mida hii, leo nimepata shock ya kubwa sana ambayo sijawahi kutana nayo before. Ni hivi for the past few months baada ya kupima virusi vya ukimwi na kukuta sina niliamua kuanzisha utaratibu wa kupima na kila binti ninaetaka kuchapa kabla sijaenda kuchapa. Kautaratibu haka...
 3. four eyes

  Hivi nani ni mshauri pale Azam Fc?

  Habari wadau wa jf, Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanavyoenda ktk timu ya azam na najikuta na maswali kadhaa bila majibu Azam ni timu ambayo ilipoanzishwa na kwa kuzingatia uwezo wa kipesa wa mmililiki niliona kabisa au nilitalajia ije iwe timu kubwa itakayokuwa...
 4. four eyes

  Kuumbwa mzuri ni moja kati ya zawadi kubwa kabisa anazoweza kukupa Mungu

  Mpaka nimefikia kuandika uzi huu nimetafakari Sana juu ya nguvu ya uzuri wa sura na maumbile ya mwanadamu. Nimegundua uzuri unaweza kukupa bahati, heshima, opportunity na umaarufu mkubwa. Nimekumbuka jinsi bill Clinton pamoja na rekodi yake ya upigaji totozj tangu akiwa Gavana alivyoweza...
 5. four eyes

  Bikosports kikundi cha matapeli ? ?

  Habari wadau,kwa wale wapenzi wa kubeti bila shaka mtakuwa mnaifahamu kampuni hii ya kubetisha online ya bikosports. Hii kampuni nimeanza kuhisi ni kikundi cha matapeli sababu imekuwa shida sana kulipwa pesa zako unaposhinda mkeka na wakat mwingine usilipwe kabisa. Mfano hai ni mm mwenyewe wiki...
 6. four eyes

  Hivi biko sports mna tatizo gani ?

  Habari wadau Kwa wale wapenzi wenzangu wa kubet matokeo ya soka mtakubaliana na mimi kwamba kwa sasa kumekuwa na kampuni nyingi za kubetisha on line. Utaratibu unafahamika kwamba ukishabet na kushinda malipi hutolewa siku hiyohiyo au kesho yake. Cha ajabu kumejitokeza kampuni ya kitanzania ya...
 7. four eyes

  Hivi virusi vya UKIMWI sio jamani, wapendanao wafarakana baada ya majibu

  Habari za asubuhi wakazi wenzangu wa humu JF. Natumai kumekucha salama kabisa, Leo nimeona sio vibaya tukikumbushana kidogo kuwa makini katika suala la ngono kwani pamoja na utamu wake ila ukigumiana na virusi vya UKIMWI madhara yake ni makubwa. Juzikati niliamua kwenda na shemeji yenu...
 8. four eyes

  Wanaume wenzangu kama umejaaliwa pesa hebu kula vitu vizuri bwana.

  Habari za mida wakaz wenzangu wa humu wakati tukiendelea kutafakari miaka miwili toka uchaguzi mkuu Kuna ka jambo flani kusema kwel huwa kananikereleta Sana mtimani. Haka ka jambo si kengine bali ni ka tabia ka baadhi ya watu ambao wamejaaliwa pesa za kutosha kuwa na totoz za viwango hafifu...
 9. four eyes

  Simuelewi huyu shemeji mwenzenu

  Nimeoa na nampenda mke wangu sana tu, pale kwao kwa baba na mama kuna wapangaji wao kadhaa wa vyumba vya uwani. Mmoja kati ya wapangaji hao ni rafiki wa mke wangu na kila tukienda hapo kusalimia wakwe huwa namkuta nae akiwa anaendelea na shughuli zake binafsi zaidi ya salam mimi sinaga story...
 10. four eyes

  Yanga hii ya Lwandamina, hapana

  Dah! Kila ninapo itazama timu yangu ikicheza nakosa raha kabisa, sioni timu iliyosifika kwa lile soka tamu ya kampa kampa tena. Timu ipoipo tu sasa hivi na inacheza mradi inacheza Najua viongozi wanaliona hili lakini wanashindwa kumtimua Lwandamina sababu timu haina pesa Sasa hivi na kuvunja...
 11. four eyes

  Nahisi Diamond na Kiba wametuchezea mind game

  Sijui kama ni mimi tu aliyegundua hili au kuna mwingine ila hajasema. Nahisi Diamond na kiba wameamua kuitumia beef yao kibiashara zaidi. Nimegundua hili baada ya kutafakari mazingira ya kuachiliwa kwa nyimbo zao mpya jinsi kulivyotengenezwa build up ya maana kuelekea kuachiliwa nyimbo hizo...
 12. four eyes

  Nini maana ya likes kwenye post za misiba na huzuni?

  Habari wadau, Kwa muda sasa nimekuwa nikiona post mbalimbali za misiba na huzuni mbalimbali Facebook, instagram na humu jamii zikipewa likes. Kwa uelewa wangu like inatolewa pale mtu anapopenda kilichopostiwa au kufurahishwa na kilichopostiwa, je ina maana wanaolike post za misiba wamependa...
 13. four eyes

  Kwanini polisi wanapenda sana TV?

  Habar wadau,Kuna ka tabia nimekagundua ka polisi kufanya kila kitu ktk TV hivi sababu ni nini? Nimegundua wakikamata kitu chochote lazma wakiweke kwenye TV tuone kwenye Habari na Sasa imefikia hata wakifanya mchakamchaka nao unakuwa Habari ya kutuwekea kwenye taarifa. Vitu kama mchakamchaka...
 14. four eyes

  Usanii wa michezo ya bahati nasibu na promosheni za shinda zawadi

  Jamani salama wadau,katika pilikapilika za kibiashara kama mnavyofahamu Hali ilivyo makampuni mbalimbali yameanzisha vimchezo vya kupromote bidhaa zao kwa kushinda zawadi za vitu fulani ukitumia huduma flan au ukijiunga na huduma flani. Pia yapo makampuni yanayochezesha michezo ya bahati nasibu...
 15. four eyes

  Nenda Malinzi,pamoja na yote hili la under 17 na COSAFA umejitahidi

  Habar wadau,katika uchaguz huu WA TFF ningetamani sana kuona Ally Mayai akipata nafasi ili tuone nini hawa watu wanaoitwa watu wa mpira watakifanya. Huenda akawa na nafasi nzuri tu hasa baada ya Yale yaliyomtokea Jamal Malinzi aliyekuwa awe mtetez wa kiti hicho. Mnyonge tumnyonge lakin haki...
 16. four eyes

  BAKITA na kiswahili wanachokijua Wao wenyewe.

  Màmboz wakuu humu ndani,habar za mida hii. Kwa wale wenzangu na mimi ambao bado ni wapenzi WA clouds redio Bila Shaka mtakuwa mmeshawahi kusikia ka kipind flan ambako huwa kanachomekewa asubuhi au mchana na jioni kakimuhusisha mtangazaji Philip mwihava na omni sigara WA bakita. Lengo LA kipindi...
 17. four eyes

  Ndoa ni kitu kizuri sana pamoja na changamoto zake.

  Habari za saa hizi wakuu,ni matumaini yangu mko salama kabisa na mambo yanaenda salama kabisa. Leo nimeona itakuwa vyema tukikumbushana mazuri ya ndoa japo kidogo baada ya kuona threads kadhaa za siku hizi zimejikita kwenye changamoto za ndoa pekee huku baadhi zikienda mbali na kusifia...
 18. four eyes

  Nayapenda sana maisha ya instagram

  Instagram, sio Facebook au JamiiForums, ni Instagram. Hapa ndipo ambapo kila umuonae yuko very smart kimavazi, pamba kali kali na simu za gharama zipo humo katika maisha ya Instagram. Ni humo ndipo ambapo watu wanakula maisha kwelikweli, picha za kuthibitisha za viwanja vikali na misosi mizuri...
 19. four eyes

  Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

  Wakuu habari za nyinyi jamani, Natumaini mu wazima kabisa, Leo nimeona nishushe haka ka uzi ambako nimekafanyia utafiti usio rasmi na nimeona kuna haja ya kukajadili. Kwa wenzangu na mimi tulio maofisini bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa...
 20. four eyes

  Hemed kivuyo,Kati ya wachache waliobakia.

  Katika zama hizi zisizoeleweka ueledi na umahiri vimekuwa vitu adimu sana vilivyo hatarini kutoweka,utangazaji na uandishi Habari WA zama hizi mpya umekuwa WA kikanjanja kwa kiwango cha kusikitisha. Kumbukumbu za watangazaji kama Charles Hilary,Ahmed jongo,nyaisanga,debora mwenda na vichwa...
Top Bottom