Search results

 1. Liobite

  Nimesahau Password, naweza ku-unlock bila kuflash simu?

  Natumia simu (sio simu ya Android) aina ya Oking 1712. Nimesahau password niliyokuwa naitumia. Naombeni msaada wenu wa ku-unlock bila kui-flash. Inawezeka?
 2. Liobite

  Soko la Viazi Vitamu: Natafuta Soko la viazi vitamu kwa mikoa ya Lindi na Mtwara

  Habarini, Kuna kaka yangu ana viazi vitamu kama ekari 8 hivi na vinakaribia kukomaa ili vichimbwe. Tunatafuta masoko ya viazi vitamu kwa mikoa ya Lindi na Mtwara. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Liobite

  Ni yapi maziwa bora kwa mwanangu, Maziwa ya ng'ombe tumchemshie au Infant formula ?

  Mtoto wangu ana umri wa miezi kumi na moja mpaka tarehe 25 mwezi huu wa 11, 2018 atakuwa na umri wa mwaka mmoja kamili. Kwa Kipindi chote toka amezaliwa mpaka miezi 6 alikuwa ananyonya tu. Toka miezi sita mpaka sasa tulikuwa tumpa uji na vyakula vingine. Sasa wiki hii mama yake anaanza...
 4. Liobite

  Ni sahihi kumpa mtoto mchanga maziwa ya kopo badala ya kumnyonyesha maziwa ya mama?

  Naombeni ushauri, Mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto anakosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures). Sasa je, ni salama kiafya kumpa mtoto maziwa mfano (Lactogen 1) tofauti na ya mama kwa muda ambao mtoto atakosa kunyonya?.
 5. Liobite

  Msaada wa tatizo hili loan board: 'Post form four index number you have not confirmed'

  Habarini Ndugu wanajamvi,nimefanya maombi ya mkopo kwa ajili ya mdogo wangu bodi ya mikopo.Nimejaza taarifa zote lakini kwenye post form four education kila nikiingiza index namba wananiambia post form four index number you have not confirmed. Naombeni msaada tatizo nini? Asanteni kwa...
 6. Liobite

  Tikuba ramadhan ni nani?

  Tikuba ramadhani ni mshindi Wa million 284 Wa M-bet perfect12. Ni nani anayemjua huyu mtu au M-bet walikuwa wanafanya matangazo tu? Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Liobite

  Naomba niwe wakala wa ununuzi wa korosho mikoa ya Lindi na Mtwara

  Habari wakuu humu. Ninahitaji kuwa wakala Wa kampuni zinahusika na ununuzi Wa korosho Wa Mikoa ya Lindi na Mtwara. Kampuni zinazotaka kununua korosho kwa msimu Wa 2017/2018 kwenye mikoa hiyo please tuwasiliane niwafanyie kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Liobite

  System ya UDOM inanijibu 'invalid email address'

  Wakuu nafanya application ya chuo Udom ila nimeingiza email wananiambia Invalid. Tatizo Nini wakuu au kama kuna mtu kafanya application humu anisaidie suluhu ya tatitzo hili. Asante
 9. Liobite

  Msaada unahitajika sana.

  Naomba msaada wa #Ku_UNLOCK Techno Y3+ iweze kutumia laini zote INTERNET
 10. Liobite

  Msaada kuhusu kichinjio changu

  Habari wana-JF, Mimi nilijiandikisha kwa mara ya kwanza kwenye daftari la kudumu la wapiga kura nikiwa Dodoma.Na sasa nipo mkoani lindi hivyo basi baada ya NEC kutoa taarifa kuwa wote waliojiandikisha ktk maeneo ambayo hawatakuwepo siku ya uchaguzi waende wakabadili taarifa zao kwenye maeneo na...
 11. Liobite

  Msaada wana JamiiForms, nimetumiwa SMS

  Habarini wana JF, Jamani kwenye simu yangu ya mkononi nimetumiwa "message" hii ======> +15092142532:Your Mobile Has Won 1,000,000 Dollars in T.MOBILE PROMO USA, to claim send ur Name,Phone No,Age,Addres,Job,sex to ROBERT Email:tmbus70@outlook.com Vipi hii "message" inaweza kuwa na ukweli wowote?
 12. Liobite

  Msaada kuhusu IPHONE 4S

  Habarini wanajamvi, Naombeni msaada kuhusu simu yangu aina ya iphone 4s.Kila nikijaribu kuingia internet huwa inajizima na kujiwasha.Yaani toka nimekuwanayo sijawahi ku-access huduma ya internet.Kwahiyo naombeni ufumbuzi wa tatizo la simu yangu. Nawasilisha!
 13. Liobite

  Kwanini tusiige toka kwa nchi zilizofanya mapinduzi?

  Habari zenu wakuu,naomba kuuliza kwamba kama nchi za wenzetu kama vile Ufaransa (french revolution),Urusi (october revolution),uingereza (Chartism&luddism etc) zilifanya mapinduzi kutokana na maonevu,dhuluma na watu kukosa mahitaji muhimu ya maisha kutokana udhaifu wa viongozi waliokuwepo...
 14. Liobite

  Bachelor of education in special needs.=msaada tafadhalini

  Msaada wana jamvi,naomba nifahamishwe hii kozi Bachelor of education in special needs ajira zake unafanya kazi wapi? na je,uhakika wa ajira upo? Pia nahitaji taarifa za field huwa wanafanyia wapi kwani naona shule zake ni chache sana hapa Tz. Mimi nimechaguliwa UDOM 1st year
Top Bottom