Search results

 1. juakal

  Dalali wa kazi

  Salam wakuu. Nimesikia kuna madalali wa kazi. Kama ni wewe nitafute PM au kama unamjua mwambie anitafute, kazi inahitajika. Usipitwe hili dili. Sikukuu njema, tusherehekee kwa amani.
 2. juakal

  Mrejesho: Ukiona mwanaume analia ujue ameguswa pabaya

  Wakuu jana nilikuja na tatizo amabalo nililipa heading hii hapa Ukiona mwanaume analia ujue kaguswa pabaya na maelezo yake yalikuwa kama ifuatavyo:- Wakuu nisiwachoshe, iko hivi: Leo wakati niko na beiby wangu nayemwamini sana na nliekuwa na malengo ya kumfanya mke wangu, ghafla simu yake...
 3. juakal

  Ukiona mwanaume analia ujue kaguswa pabaya

  Wakuu nisiwachoshe, iko hivi: Leo wakati nko na beiby wangu nayemwamini sana na nliekuwa na malengo ya kumfanya mke wangu, gafla simu yake ikaita kucheki jina ni Abdu ( kama yupo humu atakuwa shahidi), baby akapokea huyo abdu sijui alikuwa anaomba namba ya nani, sikufatilia zaidi. Badae kidogo...
 4. juakal

  Nahitaji kijana wa kupika chips

  Kama ni kijana, unaiweza kazi hiyo na ni mwaminifu wa hali ya juu ni-PM au ni text 0687 418 218. Kwa Dar tu. Update: Tayari nimefanikiwa kumpata kijana kupitia hapa hapa JF. Asante kwa wote mlionipa ushirikiano.
 5. juakal

  Natafuta fremu (chumba cha kufanyia biashara)

  Kama unaweza kutatua hili tatizo ni pm. Nambie kilipo na gharama yake. Must be in Dar.
 6. juakal

  Kuomba kazi TRA

  Wakuu nani amefanikiwa kuomba kazi online TRA? Mimi niliomba mara ya kwanza nikapewa code ya kuwa natumia. Leo nimeenda kuaply kazi nyingine, nikiweka ile code inafunguka lakini nikichagua ile sehemu ya Vacancy List "inanambia kwamba the job you applied using this code is closed" na hapo...
 7. juakal

  Kuhama Shule

  Wakuu kuna uwezekano wa mtu kuhama shule ya serikali kwenda nyingine ya serikali kama yuko kidato cha tano muhula wa kwanza? Na kama inawezekana ni process gani zinafuatwa? Nitashukuru kwa msaada wenu. Kuna dogo tunataka kumuhamisha.
 8. juakal

  Graduates, how do you survive?

  Salama wakuu? Iko wazi kuwa sio vijana wote wanapata ajira baada ya kuhitimu masomo. Naomba tubadilishane ujuzi jinsi ya kuyakabiri maisha baada ya kuhitimu. Mwenye mapenzi mema anaweza ku8tueleza ni shughuli gani amekuwa akizifanya ili kuingiza chochote mfukoni na aliwezaje kupata hiyo...
 9. juakal

  Simu hii inahitajika

  Heshima kwenu wakuu. Ninahitaji simu yoyote ya android yenye qwerty key board ya kawaida isiyokuwa touch au yenye option zote. Mwenye hii simu anambie tufanye bihashara. Pia naomba ushauri naweza kupata wapi simu za hivi na ni zipi model nzuri za simu za aina hii. Asanteni.
 10. juakal

  Nina wazo hili, naomba ushauri

  Wakuu nimejichanga nikapata kiasi flani cha pesa. Sasa nataka nitumie hii hela kujenga chumba babu kubwa cha duka na stoo hapa mtaani kwetu. Itanigharimu kama 5 million maana kiwanja tayari kipo. Na hadi hapo nitakuwa nimeishiwa cash. Sasa nataka nikishajenga nitumie hilo jengo kama dhamana ya...
 11. juakal

  Natafuta kazi, nina Shahada ya Regional Development Planning

  Heshima kwenu wakuu, Tatizo langu halina tofauti na la wengi hapa jukwaani. Binafsi mimi nimehitimu chuo miaka minne iliyopita, ambapo nilipata shahada ya Regional Development Planning. Kwa lengo la kuwa Planning Officer (Afsa Mipango). Lakini mpaka dakika hii ninapoandika huu uzi sijawahi...
Top Bottom