Search results

 1. Mwanagandila

  PCCB yawafikisha mahakamani maafisa wa TFF

  Maofisa wa TFF, Martin Chacha na Juma Matandika leo wamepandishwa Mahakama ya Kisutu kusomewa mashitaka ya kuomba rushwa ya sh 25 milioni kwa timu ya Geita.
 2. Mwanagandila

  Malinzi tuachie TFF, Umeshindwa kuwalipa wafanyakazi mishahara tangu Machi 2016

  Hali si shwari katika Shirikisho la Soka Tanzania TFF kufuatia kuwepo kwa hali mbaya, baada ya wafanyakazi wake kuendelea kufanya kazi kwa mwezi wa nne sasa bila ya kulipwa mishahara yao wala marupurupu ya aina yoyote. Habari za ndani zinasema, ukata huo unatokana na ufujwaji mbaya wa pesa...
 3. Mwanagandila

  Haijawahi tokea TFF miezi 3 bila mshahara

  Wafanyakazi wa Shirikisho la Soka Tanzania -TFF sasa wametimiza miezi mitatu bila ya kulipwa mishahara yao, baada ya kulipwa mara ya mwisho Februari 15, 2016. Kwa kipindi cha miezi mitatu Machi, Aprili, Mei 2016 wafanyakazi hao wameendelea kufanya kazi zao za kila siki, huku Katibu Mkuu wa TFF...
 4. Mwanagandila

  Tanzia: Askari Trafiki Namba F1839 Ali Kinyogori, auawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulika

  Yule askari maarufu wa jeshi la polisi jijini Dar es salaam kwa kuongoza magari/kuelekeza njia za kupita kukiwa na foleni Sajenti Ally Kinyogori amefariki usiku huu kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana nyumbani kwake Mwandege nje kidogo ya jiji la Dar. Kinyogori alijizolea umaarufu katika...
 5. Mwanagandila

  Alfred Lucas wa gazeti la Jamhuri awa Afisa Habari wa TFF

  Kwa mujibu wa tovuti ya TFF, Alfred Lucas ameteuliwa kuwa Afisa Habari mpya wa TFF kuanzia leo April 27, 2016. Alfred anachukua nafasi ya Baraka Kizuguto aliyehamishiwa katika Kurugenzi ya Mashindano kuwa Afisa Mashindano na Meneja wa Mifumo pepe ya Usajili (TMS). Alfred ana uzoefu kutoka...
 6. Mwanagandila

  Ukistaajabu ya Samatta Utayaona ya Mkwasa

  Ukistaajabu ya Samatta utayaona ya Mkwasa Ni takribani wiki moja sasa tangu mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' na klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samatta ashinde tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza ndani(Best Player based in Africa). Tangu Samatta kushinda...
 7. Mwanagandila

  Watanzani Sir tuna Matatizo

  Watanzania tunaongoza kwa kupenda kulalamika bila kutoa suluhisho mbadala kwa jambo lenyewe. Mara anarudi usiku tutaendaje kumpokea hao waliorudi mchana lini uliwahi kwenda kuwapokea? Mara wazazi wake wamekaa kwenye ngazi kwani mliambiwa uwanja wa ndege una waiting Lounge kwa ajili ya...
 8. Mwanagandila

  Nakala ya mkataba wa Niyonzima

  Kiambatanisho cha nakala ya mkataba wa Haruna Niyonzima kipengele cha kuvunja mkataba kama kinavyosemeka. Kwa sababu walizozitoa Yanga na mkataba unavyosomeka, je wako sawa? Au walikurupuka ndio maana mpaka sasa hawajampa barua ya kuvunja nae mkataba? Attachment
 9. Mwanagandila

  Katibu Mkuu Yanga ajiuzulu

  Baada ya kutangaza kuvunja mkataba klabu ya Yanga dhidi ya mchezaji raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima, Katibu wa klabu hiyo Dr Jonas Tiboroha sasa amekalia kuti kavu kutokana na kufanya maamuzi ya kukurupuka. Taarifa za ndani ya klabu hiyo yenye makao yake mitaa ya twiga na jangwani zimesema...
 10. Mwanagandila

  Mkali wa r&b tanzania, cheki wimbo bora ya mwaka na video yake

  Rama Dee kwa uhakika hana mpinzani katika tasnia ya muziki wa kuimba, hapigi kelele kama masharobaro, na wala wala habani pua Kawashirikisha Kulwa na Dotto wa Mapacha, kisha niambie Mapacha wanajua kurap au hawajui? sikiliza punchline nahisi wanabaniwa tu pia ila uwezo ni zaidi ya hao...
 11. Mwanagandila

  Black Berry Bold

  Inahitajika Black Berry Bold iwe, bold 1,2,3 haraka sana mwenye nayo ani PM
 12. Mwanagandila

  Msaada wa network key ya alctael ot-710

  Asalaam alyekhuma! nimeletewa zawadi ya simu ya Alcatel majuzi kutoka Dubai, mara baada ya kuichaji na kuweka line ndipo nikakutana na message inayonitaka niweke Network Key, hivyo nashindwa kuitumia simu hii, naomba msaada kwa mwenye kujua code ya Alcatel OT-71O
 13. Mwanagandila

  Samsung galaxy tab 10.1 for sale

  used 1month.ín good condition.for 850,000/=. Call 0777 455970
 14. Mwanagandila

  NAHITAJI GALAXY TABLETS or IPAD 2

  Wadau nahitaji Ipad 2 au Galaxy Tablets ya Samsung au Acer mpya ya kununuua.
 15. Mwanagandila

  Haraka! Mkalimani anayejua kiarabu na kiingereza

  Anahitajika mkalimani anayejua lugha ya kiarabu na kiingereza haraka sana. kazi ni kuwaongoza wageni kutoka uarabuni kwa muda wa siku 3 kuanzia mchan huu. anayeweza kazi hii haraka an PM
 16. Mwanagandila

  Msaada!! Reload software :552

  Msaada kwa wenye kujua tatizo hili kwa balckberry, nilikuwa na download nimbuzz nilipomaliza ikaniambia ni restart phone, baada ya ku irestart haiwaki tena, ikiwaka ikifika kwenye initialising inasema 'RELOAD SOFTWARE :552' naomba msaada kwa mwenye kujua ufumbuzi wa tatizo hili
 17. Mwanagandila

  Msaada!! Reload software :552

  Msaada kwa wenye kujua tatizo hili kwa balckberry, nilikuwa na download nimbuzz nilipomaliza ikaniambia ni restart phone, baada ya ku irestart haiwaki tena, ikiwaka ikifika kwenye initialising inasema 'RELOAD SOFTWARE :552' naomba msaada kwa mwenye kujua ufumbuzi wa tatizo hili
 18. Mwanagandila

  Yanga seals a promo deal

  Young Africans Sports Club YANGA SEALS A PROMO DEAL
 19. Mwanagandila

  Simba SC yabebwa Mapinduzi Cup

  Timu ya Simba Sports Club jana usiku imeshindwa kutamba mbele ya timu ya Miembeni United inayomilikiwa na Aman Makungu. Katika mchezo wa jana usiku katika uwanja wa Amani mpaka dakika ya 90 timu zote zilikuwa 3-3 hali iliyomfanya mmiliki wa timu ya Miembeni ashuke chini kwenye benchi la ufundi...
 20. Mwanagandila

  Nahitaji External HDD 500GB

  Nahitaji external HDD 500GB ya kununua nikipata Transcend itakua mzuka zaidi
Top Bottom