Search results

 1. flintsky

  Wavuta bangi watatu

  Wavuta bangi watatu wamevunja duka la dhahabu ili waibe, [emoji536] Mmoja kachukua dhahabu, Wa pili kachukua pesa[emoji383][emoji385], Wa tatu kakaa dukani,[emoji15][emoji15] Mwenye duka kaja na polisi kufungua mlango wakamkuta jamaa kakaa mguu juu ya mguu[emoji15][emoji15] Akaulizwa: kwa...
 2. flintsky

  Nimemwendea mke wangu kwa mganga!

  Habarini wanajamvi! Najua wengi kichwa cha habari kitawashtua maana mara nyingi au imekuwa mazoea kusikia wanawake tu ndio huwaendea waume zao kwa waganga kwa sababu mbalimbali wanazojua wao! Mimi yamenikuta na uamuzi niliouchukua kumwendea kwa mganga hata sijutii! kwa hali ilipofikia sikuwa...
 3. flintsky

  Maajabu 20 kuhusu AFRICA!!!

  1. Nchi ya Gambia ina chuo kikuu kimoja tu (The University of Gambia). 2. Equatorial Guinea ni nchi pekee Afrika ambayo lugha yake ya Taifa ni Kispaniola (Spanish). Hakuna nchi nyingine Afrika inayozungumza Kispaniola. 3. Afrika kusini ndiyo nchi inayotembelewa na wageni wengi zaidi kuliko...
 4. flintsky

  kuku ndizi!

  kuna mshkaji kanichukua hapa tukale kuku ndizi! cha ajabu tukaenda bar bado nashangaa akamwambia waita alete kuku ndizi!analeta banana(pombe)na kiroba jogoo! akaagizia na chips kavu huku anashushia na kiroba jogoo
 5. flintsky

  Nimesutwa na mwanamke hadi nikawa mpole

  Habari za Jumapili, Usiombe haya yakukute hata ungekuwa mbabe kama Scopion lazima uwe mdogo kama sisimizi. Nina rafiki mmoja tumeshibana sana yaani ni zaidi ya rafiki au naweza kusema ameshakuwa ndugu yangu. Ana mpenzi wake ameshamvalisha pete kitambo tu kinachosubiriwa ni ndoa tu, kiukweli...
 6. flintsky

  leo nimejifagilia kwa demu baada ya kunikuta nabrowse JF

  kama mazabe flani leo ndani daladala niko zangu bize nasoma makala za JF hapo pembeni wamekaa sista duu mbili zimejikwatua mara mmoja akaanza hata me nipo JF!unatumia user gani? nikamjibu me invisible na mods ukiona hayo majina yametajwa ndio mimi akafurahi akamvuta skio mwenzake pembeni na yeye...
 7. flintsky

  Hivi ukifanya colabo na msanii unamlipa?

  wadau habari. hii kitu huwa najiuliza sipati jibu hivi utaratibu gani hufanyika ili uweze kufanya colabo na msanii? mfano diamond au kiba anaweza kufanya colabo na jayz mfano,jay z ni msanii mkubwa sana je utaratibu upi hufanyika?je ukishirikisha msanii colabo unamlipa?maana hadi kwenye video...
 8. flintsky

  Mke anashindana kila kitu na mimi!

  Wadau, Mu hali gani? Kumekuwapo na sintofahamu kati yangu na my wife wangu. najaribu kutaka kumuelewa lakini nabaki njiapanda kama ilivyo kawaida yao ni ngumu sana kumuelewa mwanamke na itabaki hivyo hadi baragumu lipulizwe! Ni muda sasa kila jambo nikifanya hata dogo kiasi gani analipiza...
 9. flintsky

  embu kumbuka ni kituko gani ulilewa ukakifanya hutasahau!

  kama ni vituko na kupoteza akili basi wengi wengi hutokea tukiwa tumelewa! hutaweza kujizuia kufanya kioja maana kwa wakati huo akili inaenda likizo kidogo.unaweza kufanya kitu kesho ukiambiwa hutaamini.vioja vyangu viko vingi ila ngoja niwape kilichonitokea mimi na nyie mtatoa yenu!. kuna...
 10. flintsky

  Shariff Seif kweli hapa yamemfika ya CUF

  "" MAALIM SEIF WAAMBIE UKWELI WANA CUF NA WATANZANIA KAMA KWELI UNAMUOGOPA MUNGU Uliyafanya haya kwa MASLAHI ya nani? ** MAALIM SEIF ni Katibu wa chama Bara naVisiwani. Katibu ndiye mtendaji mkuu. Ni kwa nini uchaguzi uliopita Zanzibar alizindua kampeni za nguvu na kila Jimbo likapewa gari...
 11. flintsky

  Kuchomeshwa maindi na demu unaweza kupata presha

  Katika hali ambazo sio za kawaida mtu huwa anajisikia ni hii ya kupeana promiss ya kukutana hasa geto. Unajikuta mtu mzima umejiandaa kikamilifu hadi mbu na nzi wote geto umewaua!umepulizia mapafyum mchanganyiko humu. Unasubiria halafu hatokei moyo huwa unadunda na masikio huwa marefu kama ya...
 12. flintsky

  Hivi kazi ya korodani ni nini?

  Habari kwa jina la bwana. naomba kuuliza hivi kazi ya makorodani ni nini? ninavyoelewa tezi dume sio korodani na tezi dume ndio hutengeneza manii. je korodani zina kazi gani na mbona zinauma hivi kuliko hata jicho zikibonyezwa
 13. flintsky

  Wanawake huwa hawabadiliki toka enzi ya Adamu

  Mwanamke na mwanaume walikuwa wakiendesha magari tofauti, yakagongana. Magari yote yakaharibika vibaya kwani ajali ilikuwa mbaya na ilisababishwa na uzembe wa mwanamke. Pamoja na magari yao kuharibika vibaya cha kushangaza kati yao hakuna aliyeumia. Walipojivuta kutoka kwenye magari, mwanamke...
 14. flintsky

  Jana kidogo nimscopion mtu!

  Toka nizaliwe hakuna siku nimekereka kama jana! Niko na sista tumetoka supermarket kununua vitu vya homu tumeshikana mikono mara nakutana na washkaji zangu wa kazini.sista akawa katangulia kunipisha nisalimiane nao cha ajabu wakaanza kunisifia kwamba eti nafaidi huo mgongo wa sista mara oohhh...
 15. flintsky

  Haya ndio maneno zamani ukiyasema we ndio mjanja!

  wanajukwaa chit chat kuna maneno enzi fulani ukiongea au ukiyaunganisha katika misemo inaleta ladha unaonekana mjanja wa town sana. hebu leo tujikumbushie kwa uchache vibwagizo hivyo.japokuwa kuna maneno baadhi kipindi hicho yalikuwa na kiki kuliko sasa japokuwa yanatumika ila sio kivile...
 16. flintsky

  Tabia ya mke kuiba na kupeleka vitu kwao inakera!

  Habari za jioni wadau! Hii kweli kali nimeona niwashirikishe wadau wenye wachumba au wake! Inashangaza kama si kustaajabisha na kuchefua na kukera kama mwanamke kila siku ukinunua kitu au vitu lazima aibe apeleke na nyumbani kwao! Kama sio kujidhalilisha ni nini?! Hivi huyu mwanamke utasema...
 17. flintsky

  Je mwarobaini una madhara?

  Jf docta Naomba kuuliza kama kuna madhara yoyote makubwa kwa kunywa mwarobaini. Nimejizoesha kwa muda mrefu nikihisi au nikipima na kukutwa na malaria huwa nachemsha mwarobaini najifkiza kisha nakunywa na nimekuwa napata matokeo bora kuliko dawa za hospitali ambazo zimenishinda siku hizi...
 18. flintsky

  Mtoto wangu anafanana na jirani

  Wapendwa mu wazima? Kuna jambo linaniwazisha sana Nna mke na watoto 4 ila huyu wa nne mda unavyozidi kwenda anakua anazidi kufanana na jirani yangu mzee kibamia! Mwanzoni mtoto alikuwa anafanana na mama yake ila ajabu Siku zinavyoenda sura ya lile zee inakuja! Halafu huyu dingi kaanza kama...
Top Bottom