Search results

 1. Malimi Jr

  Watanzania tunahitaji fikra mpya na viongozi shupavu

  Sikuchoshi na usinichoshe, moja kwa moja kwenye mada. Kwanza nina furaha na amani tele tena moyoni baadaya ya miaka 5 na siku 114 kupita nikiwa na maumivu makali sana moyoni. Furaha yangu ilirejea ndani ya nusu ya pili ya mwezi machi. Lakini wakati nakula zangu bata kwa furaha ghafla nashangaa...
 2. Malimi Jr

  Uchaguzi 2020 Tundu Lissu; Nusu Mtu, Nusu Chuma

  Takribani miaka 60 sasa Watanzania hususani tabaka tawaliwa, tumeishi kwenye ufukara uliotopea. Wakati huo tabaka tawala wakijineemesha kupitia msamiati uzalendo. Miaka 60 ya uhuru bado tunapewa ahadi ya jiji la Arusha kuwa kama CALIFORNIA, wakati watoto wetu wanasomea chini ya miti, maajabu...
 3. Malimi Jr

  Hatimaye Kikao Cha Ukoo kimefanya Maamzi Magumu

  Siwachoshi naenda moja kwa moja kwenye mada. Katika ukoo wetu tuna utaratibu wa kukaa kikao kila tarehe 24 mwezi wa 10 kila mwaka, hivyo leo ndiyo leo na muda huu burudani, maakuli, vinywaji na mazungumzo ya kawaida yanaendelea huku kikao rasmi kikifungwa na mwenyekiti mnamo saa tatu kamili...
Top Bottom