Search results

 1. Godlisten Masawe

  TANGAZO: Eneo la nusu ekali linauzwa lipo Pugu Kajiungeni nyuma ya shule ya msingi

  TANGAZO ndugu wanachama wa Jf Eneo linauzwa zaidi ya nusu eka lipo Pugu Kajiungeni wilaya ya Ilala-Dsm, eneo lipo nyuma ya shule ya msingi Pugu Kajiungeni. Kuna barabara inayoingia kwenye eneo na kuna nguzo za umeme karibu na eneo, eneo ni la makazi. Kwa mawasiliano zaidi tafadhali piga simu...
 2. Godlisten Masawe

  Nauza machine ya hiti printer ya passport size express (mpya)

  Wakuu wasalaam. Napatikana dsm jimbo la ukonga. 0714 521128
 3. Godlisten Masawe

  Msaada: Wapi kilipo chuo kizuri cha kutoa mafunzo ya utengenezaji wa simu especially smartphone's

  habari za miangaiko wakuu? Nauliza chuo gani kinatoa mafunzo ya utengenezaji wa simu za mkononi especially smartphone's (hardware & software), napenda sana kupata ufahamu wa hii kitu kwa faida yangu.
 4. Godlisten Masawe

  Ushauri: Internet servicse provider (isp) gani mzuri na internet yake efficient

  Wasalaaam wakuu wa kazi. ISP gani mzuri na internet yake ipo efficient, awe na router kwasabau ofisi ina computer zaidi ya kumi na zote zinaitajika kupokea mawimbi ya internet. Ofisi ipo maeneo ya pugu, vituo vinne mbele ya gongo la mboto.
 5. Godlisten Masawe

  MALALAMIKO YANGU KWA KAMPUNI YA SASATEL (www.sasatel.co.tz)

  Mimi ni mteja wenu toka mwaka 2011, ofisi yangu inategemea internet yenu. Tokea mwanzoni mwa mwaka huu 2013 uanze internet yeni imekuwa siyo reliable, kuna kipindi nakosa internet siku nzima au pengine hadi siku mbili, ukiuliza sababu mnadai kuna itirafu ktk mitambo, kibaya zaidi leo naitaji...
 6. Godlisten Masawe

  Naitaji bango (tangazo) la kuwaka taa la ofisi yangu

  Wasaalam wana Jf Naitaji bango la kuwaka taa la bei nafuu, napatikana dsm wilaya ya ilala. Yeyote anaehusika tuwasiliane. 0714 521128
 7. Godlisten Masawe

  Msaada tafadhali: Kupata Internet Access ktk simu kwa kutumia line ya Vodacom

  Wanabodi habari zenu; Natumia line ya vodacom ktk simu yangu ila sipati internet access? nimejaribu bila mafanikio kwenda "mobile network" then "internet access point" nimejaribu kufanya configuration tofauti tofauti but imeshindikana kupata internet access. Msaada please.
 8. Godlisten Masawe

  Msaada please: Samsung galaxy siii

  Wana Tech habari zenu; nina samsung galaxy sIII nimesahau sreen lock na email (gmail), ila imeniletea option inasema "If you forget your Google sign-in details, you can enter your backup PIN to unlock" hizo back up PIN sina kwasababu hii simu niliinunua mkononi kwa mtu na huyo mtu siwezi onana...
 9. Godlisten Masawe

  MSAADA: Wanajamvi naomba mnipatie LINK ya "multimedia sound controller driver" ya Dell Latitude D600

  Nimejaribu mara kadhaa kutembelea website ya Dell support & driver bila mafanikio sijaipata.
 10. Godlisten Masawe

  Wanawake Hupenda Kufanya Mapenzi Jumamosi Saa 5 Usiku

  Utafiti mpya na wa kina kabisa umeonesha kuwa asilimia 85 ya wanawake duniani kote huwa wanafanya mapenzi saa 5 usiku kila Jumamosi. Kwa mujibu wa utafiti huo uliozingatia vigezo vya kibinadamu, saa 5 usiku siku ya Jumamosi ndiyo muda ambao wanawake wengi wanajisikia hamu ya kufanya tendo la...
 11. Godlisten Masawe

  Picha: M4C yazoa wanaCCM maarufu kwa Pinda

  Heshima kwenu wana JF. Jana J'pili 10/06/12 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Ukonga kilifanya mkutano mkubwa wa hadhara ktk tawi la Pugu Kigogo Fresh ktk kata ya Pugu, mashambulizi yaliongozwa na kamanda (m/kiti wa jimbo la Ukonga) Michael Aweda na viongozi wa kata ya Pugu na...
 12. Godlisten Masawe

  Sitta: Polisi wana ushahidi Mwakyembe kupewa sumu

  Source: Mwananchi, 01/02/2012 Naomba kuwasilisha
 13. Godlisten Masawe

  CHADEMA kutoa msimamo mzito leo; Ni baada ya rais kusaini muswada wa upatikanaji wa katiba mpya

  Habari zenu wana JF; Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo tarehe 30/11/2011 kinatarajia kutoa msimamo mzito baada ya Rais kusaini muswada wa upatikanaji wa katiba mpya. M/kiti wa CDM Mbowe "Tulimuomba Rais Kikwete asisaini muswada huu mpaka makubaliano yetu yatekelezwe" Kaimu Katibu mkuu wa...
 14. Godlisten Masawe

  Millya 'amchana' Ridhiwani Kikwete

  RIDHIWANI Kikwete mtoto wa Rais Jakaya Kikwete ametajwa kuingilia na kuamua kuendesha siasa za Mkoa wa Arusha kwa kutumia ‘rimote Control' akiwa jijini Dar es Salaam. Katika mkutano wa leo uliofanyika katikati ya Jiji la Arusha na kuhudhuriwa na vijana wengi, Ridhiwani ametajwa kuwashika...
Top Bottom