Search results

 1. JuaKali

  DAR: Mbunge wa Mikumi Joseph Haule (Proffesor Jay) CHADEMA,avunjiwa nyumba yake

  Nyumba yoyote iliyojengwa kwenye hifadhi ya barabara lazima ibomolewe regardless kuwa ilikuwa na kibali cha serikali au la!
 2. JuaKali

  Jinsi ya kushiriki kuichangia Yanga kupitia mpesa,tigo pesa na airtel money

  Kwa watu waishio nje wanawezaje kuchangia?
 3. JuaKali

  Live streaming links

  Kuna kipindi Netflix inabuff Kwenye network ya 300 Mb!
 4. JuaKali

  Live streaming links

  Handset siyo sababu pekee inayosababisha buffering kutokea. Ni mfumo mzima katika network kuanzia huko wanako broadcast, hadi kukufikia. Its complicated hata ukiwa na 4G LTE bado kuna kipindi ita buff.
 5. JuaKali

  Live streaming links

  Mkuu kwanza unatakiwa kujua maana na kwa nini Buffering inatokea unapofanya streaming!!
 6. JuaKali

  Kenya kuchuana na Tanzania katika mechi ya kirafiki 29 April16

  Bomba la mafuta lina uhusiano gani na mchezo wa soka? Hebu tuongelee michezo hizo propaganda zina sehemu yake.
 7. JuaKali

  Jerry Muro amtusi tena Haji Manara

  Kwenye quotation "Mtu mzima ..... " mbona sijaona sehemu yeyote akimtaja mtu jina? Umejuaje anamwongelea Haji Manara?
 8. JuaKali

  Thamani ya Saimon Msuva ni Mil 700/=.

  Mil 700 si nyingi vile Sema mambo ya umaskikini. Hiyo haifikii hata dollar laki nne.
 9. JuaKali

  Young Africans vs Platnums in Zimbabwe

  Kila la kheri Yanga.
 10. JuaKali

  VPL leo tar. 25/03/2015: Live updates JKT RUVU vs YANGA.

  Points 3 muhimu, Yanga huyoooo
 11. JuaKali

  Nitapata wapi kitabu hiki "Data and Computer Communications 10th Edition" by William Stallings

  Anayejua wapi naweza pata PDF ya "Data and Computer Communications 10th Edition - William Stallings" tafadhari anijurishe .
 12. JuaKali

  Ku unlock website zilizofungiwa

  Simple sana, siyo jibu fafanua
 13. JuaKali

  Matatizo ya TV aina ya Singsung flati mbele na jinsi ya kutatua

  Mkuu hizo ni size za monitor za computer, jaribu angalau 42". Na tofauti kubwa kati ya hizo TV ni kwamba hiyo namba moja inauwezo wa kuonyesha picha katika 3D mode inakuja pamoja na 3D glasses. 3D smart led tv na smart led tv zina uwezo wa ku-connect online bila msaada wa online streaming...
 14. JuaKali

  Nimedelete File ktk recycle bin naweza kuyarudisha

  Never say No way kwenye mambo ya IT, unachopashwa kujua ni kwamba Data kwenye HDD haziandikwi kama kwenye kalamu na kalatasi. Fanya homework kidogo kuhusu data recovery, na kwa nini taasisi kubwa zina shread hdd zao badala ya kuziformat.
 15. JuaKali

  Nimedelete File ktk recycle bin naweza kuyarudisha

  HDD inaweza ikawa overwritten mara kadhaa lakini bado data zinaweza kuwa recovered. Hata iko possible kurudisha files zako baada ya ku-format na kuinstall OS nyingine.
 16. JuaKali

  KALI LINUX the best OS ever seen

  hapo mkuu unachanganya mambo kumtajirisha Gate ni issue nyingine kabisa, tukirudi kwenye OS, kwa nini unafikiria manufactures wana preinstall windows badala ya Linux based OS? Na kutumia Linux hakumaanishi kwamba wewe ndo Mwanaume, Nimeona makampuni makubwa GE na Honeywell bado wanatumia windows...
 17. JuaKali

  KALI LINUX the best OS ever seen

  Kuna tofauti gani kumilikiwa na Oracle au kwa VMware kumilikiwa na VMware Inc? yote ni makampuni!!
 18. JuaKali

  KALI LINUX the best OS ever seen

  Zote ni virtual machines, unaposema Vmware inajitegemea unaweza kufafanua kidogo.
 19. JuaKali

  Hivi kuweka Diesel engine oil kwenye Petrol engine kuna madhara yeyote?

  Engine ya Diesel hu generate joto jingi sana inapofanya kazi tofauti na Gas engine ndo maana oil ya diesel ni tofauti kwa viwango vya kuhimili joto. Nikirudi kwenye swali lako, Hapana, unaweza tumia Diesel oil kwenye gari ya petrol na isilete madhara yoyote, ila huwezi tumia oil ya petrol...
 20. JuaKali

  Ethiopia food...

  Injera inayotengenezwa kutokana na Teff ndo Asilia, hii ya mchele, mahindi ni kwa vile upatikanaji wa teff siyo rahisi sana kwa kila mtu hasa wenye kipato cha chini.
Top Bottom