Search results

 1. It is Sur_Plus

  Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

  true bt mwaka jana watu walifanyiwa mchezo mchafu waliwekewa hivyo but udsm walirudisha majina yao so wakatakiwa kufanya 2nd and 3rd round of application. so not 100% uhakika
 2. It is Sur_Plus

  Jamani selection za TCU ni lini?

  punguzeni mchecheto mbona huulizi second round ya application inaanza lini?????????? mwaka jana walifanya had 4th round
 3. It is Sur_Plus

  Msaada wa mawazo na utalaamu tcu yanipa kichaaa

  hata uwe na point 5,6,7,9 hawa jamaa ni wa sumbufu na hyo system yao mwaka jana watu walikua na pointi nzuri sana buti walifanya application hadi 4th round, chakufanya komaa nao ikiwezekana wafuate
 4. It is Sur_Plus

  Mbeya kwa waka tena ni vurugu nyingine.

  Nyie vurugu ndio harakati zenu chomeni hadi nyumba zenu
 5. It is Sur_Plus

  Mlio-apply tcu NOT eligible zisiwachanganye.. Tc yu ni VIAZI..

  ukiona hvyo ujue degree program unayoomba imejaa tayari so ni vema ukajaribu nyingine mambo ya auto hayo
 6. It is Sur_Plus

  The ufisadi of udom

  jipange upya uli uje kujaribu kudanganya tena
 7. It is Sur_Plus

  Mwenye kuifahamu BCom-ISM [Information Systems Management]

  usitishike pale kwenye duration imekosewa ni miaka 3, then inadeal na information management na sio information technology direct
 8. It is Sur_Plus

  Kuna bachelor of education in economics Pekee?

  kama unataka BE IN ECONOMICS AND MATH NENDA MZUMBE but kama BE IN ECONOMICS ONLY ipo Mount Meru University (MMU na addmission requirement zake na loan amount hizi hapa Bachelor of Education in Economics MM006 Two principal passes at ‘A’ level one of which must be in Mathematics or Economics or...
 9. It is Sur_Plus

  UFISADI MKUBWA WA FEDHA ZA Mikopo UDOM.

  [/color] hali inaonekana kua mbaya na ngumu kwako tu mkuuu mbona wengine wana chekelea tu mtaani na chuoni zimwi la kuwasaliti wenzenu litawamaliza
 10. It is Sur_Plus

  jinsi ya kutatua tatizo la WINDOW 7

  fanya kupakua(download) hii WINDOW ACTIVATOR REMOVE WAT then run software/remove wat/restart
 11. It is Sur_Plus

  HESLB APPEAL RESURTS 1st YEAR & CONTINUING APPELLANTS

  Kwa wale walio appeal bodi ya mikopo na sikitika kuwaambia wale wa mwaka wa kwanza mlio nyimwa na kuambiwa ni NON PRIORITY sasa HESLB wanawaita ni UNSUCCESSFUL na wamenyimwa tena. kamakawaida waswahili wanasema ALIYEKUWANACHO ATAONGEZEWA na ndivyo ilivyo tokea wamepewa(wameongezewa) wale tu...
 12. It is Sur_Plus

  Network connection shows that it is connected but I try to go online "No network Access" shown

  nimejaribu bt now kwenye taskbar icon inaonesha network access lakini nnapo enda online inagoma hairespondi chochote
 13. It is Sur_Plus

  Network connection shows that it is connected but I try to go online "No network Access" shown

  nimejaribu kutumia moderm tofauti za airtel, tigo, voda, na zantel but tatizo lipo palepale. napachomeka moderm ina detect device na network na ukiconnect ina inaonesha ipo connected lakini napojaribu kwenda online inagoma au inaleta DSN server not respondingau no internet access. pia kwenye...
 14. It is Sur_Plus

  Mikopo chuoni

  mbona majibu ya rufaa yamesha toka na majina ya wanafunzi waliopata yamesha pelekwa vyuoni
 15. It is Sur_Plus

  EBOO!! Ina maana hii shule ni ya massawe na wanawe tu....

  duuu!!! hii shule si wangeipa jina la MASSAWE MUNISHMALLYA SEC SCHOOL
 16. It is Sur_Plus

  Vodacom free internet yet again :)) COMPLETELY OWENED.. do it FAST

  Mkuuu you are bigger than network ni mpango mzima. Vip mbona kwangu speed kidogo ipo low wakati inatakiwa iwe high
 17. It is Sur_Plus

  Injinia Stella Manyanya alifunda jiji la Dar kiaina!

  anapaswa kuigwa katika juhudi zake na si mbwembwe za kuonesha ufundi wa kukosoa kalalama na kuishia kua wachafu
 18. It is Sur_Plus

  ST John na umombo "kanumba" - "Temporary Closer" au "Temporary Closure" ?

  St. John's University of Tanzania 26th December, 2011, Press Release REOPENING OF THE UNIVERSITY AFTER TEMPORARY CLOSER On 21st December, 2011, some students at St. John's University of Tanzania (SJUT) Main/Mazengo Campus held an illegal strike over the status of their 2nd Quarter Meal &...
Top Bottom