Search results

 1. kibali

  Nywele kubadilika rangi na kuwa za Rangi nyekundu au ule weusi wa nywele kufifia

  Ni upungufu wa virutubisho, nitakupa hii fomula lakini mabadiliko huwezi kuyapata kwa siku 7 inafaa utumie kwa muda. Tafuta amla oil changanya na black castor oil yawe ndiyo mafuta yako ya nywele.
 2. kibali

  Kwanini watu weusi wanapenda sana kuvaa kwa fasheni na kujipamba?

  Kujipamba ni asili ya mwafrika angalia hata makabila yanayotunza asili zao wanajipamba sana shingoni,masikio,kichwani,mikono na miguu. Hawa wa kisasa wanaboresha tu mapambo kuwa silver,gold,diamond,pearl, n.k
 3. kibali

  ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

  Pale karibu na uwanja wa mpira NAIC ni nyumbani kwao( wazazi wao) kwa sasa anaishi mdogo wake. Aina maeda ni mwanafamilia, huyu mzee anaishi Nshupu ni njia ya dik dik, huko ndio amejenga kasri zake na wanae wanaoishi marekani.
 4. kibali

  ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

  We jamaa unamfahamu vzr, anashindiaga mahindi ya kuchoma na mihogo. Pickup yake muda wote halafu majizi yanataka kulamba pesa yake kiulaini😂😂
 5. kibali

  Kuna siri gani kwanini ma chef/wapishi wengi ni wakiume

  Tukiongelea hotel kubwa 5* Chef wengi spot yao ni main kitchen, huku kwingine yeye anacheck machef wengine wanapigaje kazi so haina uhusiano na kupika chakula cha watu wengi wala kutumia nguvu. Ila ni ukweli kabisa machef wengi ni wanaume kuanzia Chef mkuu mpaka wasaidizi.
 6. kibali

  Kwanini wanawake mkishaolewa mnakua rafu sana?

  Kupiga deki mahali mnapoishi!! Hilo ni zaidi ya tatizo, huo ni uchafu na kutokujipenda na hii inategemea mtu na mtu lakini zaidi sana inachangiwa na malezi. Kwenye urafiki na uchumba watu huwa wana fake sana reality inakuja pale mnapoanza kuishi pamoja
 7. kibali

  Zanzibar 2020 Maalim Seif asema licha ya kuapishwa madai yao ICC yako pale pale!

  Mkuu andika basi huo ukweli ili tuufahamu si ndiyo uungwana shekhe?
 8. kibali

  Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

  Hahahaha mkuu na bado kazini utetemeke, na hiyo kazi itakufanya mpaka nyumbani utetemeke! Uwaziri oyee!
 9. kibali

  Rose Manfere, Mshindi wa taji la Miss Tanzania 2020

  Umiss ulikuwa zamani..... miss wa mwisho alikuwa Wema 2006
 10. kibali

  Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

  Namuonea huruma Shimba Ngosha Kigwangala....itabidi ajipendekeze kwa kasi kama alivyofanya Mwigulu labda watamfikiria tena.
 11. kibali

  Uhuru Kenyatta amechanganyikiwa, Wakenya hawajui walitakalo Katika kupambana na Corona, wamuiga Magufuli kila analofanya

  Wakenya wengi mtaani wanatamani serikali ya uhuru imuige Magufuli jinsi ya kudeal na corona, ni hawa wakenya walioko JF tu ndio wanacheza ngoma ya uhuru
 12. kibali

  Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

  Ukweli ni kwamba wananchi wengi wamemuelewa sana rais jinsi amedeal na issue ya corona, sasa Lissu akipuyanga kwenye hilo atapoteza mvuto.
 13. kibali

  Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

  Pole kwa uchovu mkuu, pumzika tukijaliwa kesho uje na nondo. Nimefurahi umenikumbusha habari ya Jacob
 14. kibali

  Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

  Sasa Kuhani embu naomba niambie madhabahu chini ya kitanda unasalije au ukikaa juu ya kitanda ni sawa? Nahitaji sana hili somo nilishatamani kuwa na madhabahu home ila mwongozo jinsi ya kuandaa, nahisi wenzetu waislamu wametupiga gape maana wao wanaandaa kabisa pakuswalia. Nakusikiliza
 15. kibali

  Wapenzi wa nyimbo za injili tukutane hapa

  Kabisa kabisa nimewachanganya mkuu asante sana, ni sowers bwana nilikuwa fan wao kitambo nikiwaona kny semina za Mwakasege. Kumbe wako Australia! Asante kwa info
 16. kibali

  Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

  Asante kuhani nimekusoma toka mwanzo hongera kwa kutupatia hii elimu. Kutokana na hii madhabahu ya nyumbani kama ulivyosema hapo juu, nimewahi kusikia pia kwa watumishi kadhaa juu ya kutenga madhabahu nyumbani iwe ndiyo sehemu ya kusomea neno na kusali. Swali langu kwako, hapo mahali...
Top Bottom