Search results

 1. live on

  Enzi za Rais Kikwete tuliambiwa mkongo wa Taifa ukikamilika gharama za Intaneti zitashuka

  Serikali ya Kikwete ilituaminisha Kwamba dawa pekee ya kuwa na internet ya uhakika na bei rahisi ni kutandika mkongo wa taifa nchini kwete Tanzania Na harakati za kutandika mkongo wa taifa tulikuwa tunaziona zikiendelea hadi sasa nahisi kazi ya kutandika mkongo wa taifa ilishakamilika Sasa...
 2. live on

  TCRA kupoteza ajira za vijana wanaofanya kazi na mitandao ya simu nchini

  Kwa mujibu wa maelekezo toka TCR ifikapo tarehe 01/05/20201 Kampuni zote za sim nchini zatakiwa kuwa na vijana wanaofanya kazi hiyo kuwa tin lesen ya Biashara ukiangalia vijana wanaosajili laini hawana mtaji wa kukodi frem hata leseni kama sheria ilivyoletwa kwao. kundi la vijana zaidi wa...
 3. live on

  Wajasilia mali wa wilaya ya Temeke wananyanyasika na kodi ya service levy wanapoenda kurenew leseni zao za biashara

  Kwa kweli kama kuna kitu kinatesa na kunyanyasa wajasilia Mali wa wilaya ya Temeke kwa sasa basi ni hi kodi ya service levy Mimi siamini kama hi kodi inatakiwa kulipwa na kila mjasilia Mali anaenda kuchukua leseni pale manispaa ya Temeke bila ya kujali ukubwa wa biashara yake na eneo ilipo...
 4. live on

  TCRA sijui mnakwama wapi. Kama lengo lenu ni kuzuia uharifu mtu akiwa anamiliki laini nyingi ni rahisi kumkamata pale anapofanya uhalifu

  Mi kwa mtazamo wangu sheria nyingi za TCRA huwa zinawekwa kwa ajili ya kusumbua raia wema. Kama ilivyokuwa katika usajili wa alama za vidole walioteseka ni raia wema tu wahalifu walikaa kimya na baada ya zoezi kuisha wanaendelea na uharifu wao kama kawaida. Sasa mnaanza kutuletea shida...
 5. live on

  ACT wazalendo jiandaeni tuwape nchi, Mimi binatsi Zitto nakuamini

  Jinsi hali ilivyo sasa watanzania tuna kila sababu ya kufanya maamuzi magumu katika siasa Tokea nipate akili yangu sijawahi kuishi maisha ya hofu kama kipindi hichi cha corona alafu wale tunao wategemea wamejificha wiki sasa imepita hatujui chochote kinachoendelea Hi ndio ilikuwa furusa...
 6. live on

  Hapa Kariakoo maeneo ya Kamata watu wananyanyaswa sana na Mgambo wa Jiji

  Hapa maeneo ya Kamata kuna hawa jama sijui tuwaite mgambo wa jiji au sijui polisi jamii hata sielewi. Wakikuona umeshuka katika daladala na tiketi yako mkononi au umenunua maji ukafungua kizibo wanaanza kukufuata kwa nyuma nyuma maana wanajua tu lazima utakiangusha na pia eneo lote la Kamata...
 7. live on

  Simba wanaua vipaji vya vijana. Adam Salamba yupo wapi? kwanini wasimtoe kwa mkopo ili awe anacheza?

  Katika timu ambazo huwa zina didimiza vipaji vya vijama wa kitanzania Simba ndio namba moja. Adam Salamba ni kijana mdogo aliyehitaji malezi ili aisaidie Simba pamoja na Taifa kwa ujumla lakini Simba wamempotezea dira yake. Kama mmeona hana nafasi ya kucheza katika kilabu yenu ya Simba kwanini...
 8. live on

  Kama tutakosa huo mkopo wa WB Zitto atakuwa amemuadabisha nani! Serikali ya JPM? Au watoto wa kitanzania?

  Mimi kwa kweli kuna mda unafika huwa nashindwa kuwaelewa wanasiasa wa kitanzania Ina maana Zitto kama mbunge ameshindwa kuikosoa serikali kama anaona kuna kitu hakipo sawa hadi aende kulialia WB kuwa wasiikopeshe Tanzania Tena ukizingatia ni pesa ambayo inatakiwa kwenda katika sector ya elimu...
 9. live on

  BAKWATA tumieni vipindi mlivyopewa mashuleni kufundisha lugha ya kiarabu

  Wizara ya elimu imetoa muda wa vipindi vya dini katika ngazi zote za elimu kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita Ni vyema BAKWATA mkaanda mitala na vitabu vya lugha ya kiarabu kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita Mtakuwa mmefanya la maana sana mtoto akisoma lugha ya kiarabu...
 10. live on

  Kukosa mikopo ya kwenda Chuo kwa wanafunzi waliotoka shule za kulipia sio sawa

  Mfuko wa elimu ya juu ni mali ya Watanzania wote sasa kwa sababu gani wengine wabaguliwe wakati na wao pia baba zao wanalipa kodi ambayo ndio inatumika kuendesha huo mfuko. Mzazi ambae anampeleka mtoto wake shule ya kulipia kuanzia chekechea hadi kidato cha sita huyu mzazi ameipunguzia mzigo...
 11. live on

  Bakhresa, kama katika hoteli yako ungeweka viwanja vya mpira ili timu za Ulaya zije kuweka kambi kipindi cha maandalizi, ingependeza zaidi

  Nafikiri ubunifu zaidi unahitajika katika hoteli yako ya kitalii iliyopo Zanzibar kwa kuweka viwanja vya football vya mazoezi pamoja na gym ili timu mbalimbali za Ulaya ziweze kuja kipindi cha maandalizi ya timu zao kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi zao. Huwa tunaona ligi za Ulaya...
 12. live on

  Fiesta jana show za Nay wa Mitego na Konde Boy zilikuwa bora kuliko show ya Ali Kiba

  Tuache unafiki Jana Nay wa Mitego na Konde Boy wamemfunika vilivyo Ali Kiba Nyimbo zote alizoimba Nay wa Mitego ziliibua shangwe za ajabu kuliko wasanii wote waliopanda jukwa la Fiesta. Kama ile nyimbo maisha yenyewe mafupi niacheni nile ujana ilinifanya hata mimi niinuke. Nay alifanya show ya...
 13. live on

  Kila nikiifikiria hii kodi nashindwa kuwaelewa TRA, naona kama naibiwa

  Nimefungua biashara mwezi wa tisa nikaona ni bora niende TRA ili nifanye biashara kwa kufuata sheria za nchi na nilipe kodi. Kutokana na biashara yangu nikakadiriwa kodi laki moja na hamsini kwa mwaka; sikuwa na shida na hilo. Lakini kitu kilichonishangaza baada ya kuprintiwa makaratasi yangu...
 14. live on

  Waziri wa Mawasiliano atazifunga Waziri wa Mambo ya Ndani atazifungua

  Katika hawa mawaziri wawili kuna mmoja ameingilia majukumu ya mwenzake.
 15. live on

  Kauli ya waziri Lugola kuwa laini za simu hazitafungwa zimefurahisha wananchi au matapeli?

  TCRA walitaka kila mwananchi anayetumia simu awe amesajili laini yake kwa mfumo wa alama za vidole kwa kutumia kitambulisho cha NIDA ifikapo 31 DEC. lakini kauli ya Mh Lugola ilithibitisha kuwa hili jambo haliwezekani japo sina uhakika yeye ndio msemaji wa hili au alitakiwa aseme Waziri wa...
 16. live on

  Siamini kama kweli benki ndio wameuza nyumba ya milioni 25 kwa milioni 3 kisa wanamdai mteja wao milioni 1 na laki 6. Au kuna utapeli ndani yake?

  Kuna vitu fulani katika maisha vikikukuta utajiuliza hivi hi ni ndoto au live. Jamaa alikopa million 3 na laki 5 Access Bank akaweka dhamana mjengo wake wenye thamani ya million 25. Akalipa lipa ilipobaki kama nusu ya mkopo mkewe akamuibia pesa zote za biashara hivyo akashindwa kufanya marejesho...
 17. live on

  Kila Rais ana kipao mbele chake hata Mkapa na Kikwete walinunua ndege ila wao walinunua ndege za kijeshi

  Watanzania huwa hatueleweki watu hatukai tukapumua Ndege! Ndege! Tena sana sana wasusukuma Hivi nyinyi katika sikuku za kiserikali hamuonagi zile ndege za jeshi zinavyo kwenda kasi kuliko hizi za ndoto iliyonyooka au mnazani hizi huwa azinunuliwi Ila sema tatizo hizi za kijeshi hazinaga...
 18. live on

  Nina above 35yrs kinachonishangaza siku hizi kila mwanamke ninayemuona namtamani

  Naomba wataalam, mnishauri ndio inavyokuwa katika umri huu au mimi nina shida kisaikolojia. Wakati nilipokuwa ninakaribia 30yrs nilikuwa napenda sana kufanya mapenzi mara kwa mara nikamuliza rafiki yangu akaniambia unapokuwa katika umri kama huo ndio inavyokuwa Sasa hivi tena katika hi above 35...
 19. live on

  Mwezi wa 8 sasa PPF hawajanilipa pesa zangu nipo katika wote scheme

  Sasa ni miezi 8 imepita tokea nilipoenda pale ofisi za PPF na kuwambia nataka pesa zangu nikambiwa ni jaze formu nikajaza nikaenda zangu hadi leo napigwa kalenda tu sasa sijui kuna mameneja hawafanyi kazi zao kama inavyo takiwa yani wanakaa tu na mafail ya yetu ya malipo bila ya sababu za...
 20. live on

  Elimu kwa jamii inahitajika huyu bibi mpitanjia sijui kama alipona katika hu mlipuko

  Ukiangalia hi video huyu bibi masikini alikuwa anapita njia tu lakini naamini kama angejua kinacho endelea pale na hatari zake asingepita pale Hii video ni ya sekunde 30 ilikata baada ya moto kuzuka kwa uthibitisho wa ile sauti ya mwisho ya kike inayosema "jamani motoooo!"
Top Bottom