Search results

 1. Makame

  Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

  Kwa kuwa naona Mahakama inatoa maelekezo lakini wanayapinga. Au ndio chachu ya kusema nchi isitawalike? Madaktari --hawakuheshimu maamuzi halali ya mahakama; Walimu ----- wamesema hawatoheshimu. kitendo cha kwenda kinyume na amri za mahakama sio ishara njema, na kitatufanya tuwe kama...
 2. Makame

  Kamati ya bunge ya Nishati na Madini; January Makamba atakwepaje uwajibikaji?

  Wana Jamvi Ninasikitika sana na madudu ya TANESCO; kwa kweli Wabunge waliomuunga Mkono Waziri wa Nishati na Madini nawapa pongezi. Wabunge hawa walitoka kwenye vyama vyote; na walisimamia maslahi ya Tanzania. Aidha; wale waliokula fedha za wauza mafuta na kupinga hatua za Waziri wa Nishati na...
 3. Makame

  Majengo hospitali ya rufaa singida bado shilingi bilioni mia nane yaweze kutimia

  Wana JAMVI HOSPITALI YA RUFAA SINGIDA inadai shilingi bilioni mia nane kukamilika. Taarifa hiyo alipewa Mheshimiwa Dkt Seif Rashid alipofanya ziara mkoani humo jana na Mtaalamu wa Chuo kikuu cha Ardhi. Source Radio One (NEWS 23/07/2012). Question 800,000,000,000/=...
 4. Makame

  Maalim seif (harage) wa cuf kugombea urais zanzibar kwa mara ya sita 2015

  HABARI ZA KUAMINIKA ZINASEMA KUWA MAALIM SEIF (HARAGE --- JINA LAKE LA UTOTONI) ANAKUSUDIA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR 2015 KUPITIA CUF. HARAGE AMESIKIKA AKITAMBA KUWA YEYE NDIO MANDELA WA ZANZIBAR!! Hivi CUF hawana Mwanachama mwengine mwenye sifa ya kugombea?
 5. Makame

  Ahadi za daraja la kigamboni kutekelezwa na awamu ya 4

  Tumeahidiwa Daraja la aina yake. Tumeambiwa Mheshimiwa Pombe Makufuli analisimamia. Tunaamini Sera na Ilani za CCM zitatekelezwa kwenye hili, la si hivyo kutakuwa na Mshike mshike 2015 Kisota!
 6. Makame

  Kero za muungano

  Muungano wa Tanzania, Haukuja kwa kutania, Viongozi wake walidhamiria, kuimarisha udugu wa asilia; Hata uamsho wakilia, na hasan nasor moyo kuwasaidia; BLW pia likiwasaidia, hapatakua na maridhia; Juliasi Mwalimu alituambia, na Sheikh Karume alituusia; Tumeungana kwa nzuri nia, kutengana...
 7. Makame

  Mwakilishi wa Nchi Afrika Mashariki -- WAZIRI Apigiwe KURA na WATANZANIA WOTE

  Hilo ni wazo ili atuwakilishe vizuri Arusha? Waonaje
 8. Makame

  Wabunge wawe at least graduates kwenye katiba mpya ya tanzania

  Wadau, mnaonaje? Maana ni aibu kuwa na wawakilishi ambao hata basic issues kwao inakua rocket science
 9. Makame

  Employment and labour relations act

  Naomba muangalie PART VII of the Act, mui - relate na huu mgomo unaoendelea. Link...
 10. Makame

  Huu mgomo unatupeleka wapi na tutafsiri nini?

  TASWIRA 1.AMRI YA MAHAKAMA IMEVUNJGOMA. SASA SIJUI KAMA KUNA HESHIMA KWA VYOMBO VYETU VYA SHERIA KWENYE HILI? 2. PINDA NA SERIKALI HAWAJATEKELEZA KWA UKAMILIFU MATAKWA YA MADAKTARI. 3. ULIMBOKA KATANDIKWA KICHAPO AMBACHO SIJAPATA KUONA TANGU KUZALIWA. 4. MGONGANO WA MASLAHI BAINA YA MADAKTARI NA...
 11. Makame

  Uteuzi wa baraza la mawaziri ; kuna watu wanaendeleza kuuponda kwa misingi ya ukabila/d*ni

  Jambo linalonichefua kabisa ni kwamba Rais anapofanya UTEUZI, utaona wachangiaji wanasema amefanya ud*ni. Kwa Heshima kubwa, nawasihi wachangiaji walilete Baraza la Mawaziri na kuangalia wanao-share imani na Rais ni wangapi na endapo idadi yao inawafunika wasi - share imani na Rais...
 12. Makame

  Nionavyo kuhusu uteuzi wa mbatia kuwa mbunge

  Rais ameonyesha ukomavu kisiasa. Wapinzani wako represented kwenye Bunge, na wapo miongoni mwa Watanzania. Ili Rais awe rational, ni vyema akateua mbunge/wabunge kutoka kambi ya upinzani. Aidha, Mbatia ameonyesha ukomavu kisiasa; kafuta kesi against Mdee kule Kawa, ili kuyamaliza kiutu uzima. Na...
 13. Makame

  Makatibu wakuu watakaofuata mawaziri kutemwa/kuhama

  ORODHA HII HAPA CHINI 1. RAMADHANI KIJA - ATAHAMA; 2. S. LIKWELILE - ATAHAMA NA KUPATA U KM; 3. MAPUNJO (ATAHAMA) - KURA YA VITI MAALUM ITAMTETEA; (ila kabla hajahama, ATAPATA BARUA YA KUJIUZULU YA EKELEGE) 4. MWINJAKA - ATAPATA UKATIBU MKUU 5. DR. TAX - ATAHAMA; 6. BWANA ULEDI - ATAPATA U KM...
 14. Makame

  Hivi kuna tofauti gani tukiwa na baraza la mawaziri na lisipokuwapo?

  Nauliza hili kwa sababu zifuatazo:- 1. Baada ya Uchaguzi wa 2010, Mheshimiwa Rais alichukua muda mrefu kabla hajatangaza Baraza la Mawaziri; katika kipindi ambacho tulikuwa hatuna mawaziri, Nchi ilizama? Ilididimia? Iliganda? Mawaziri wanakula tu. 2. Kwa Mawaziri wanaotuhumiwa, walishawahi...
 15. Makame

  Bei palepale despite marekebisho kwenye bajeti

  Hebu niwaulizeni enyi wana Siasa, wasimamizi wa fedha (finance management specialists), wadau wa kodi na walaji - Hivi inatia akili kweli kusikia Serikali ikitangaza mabadiliko, kama ya punguzo la kodi, misamaha ya kodi, ondoleo la kodi kwenye baadhi ya bidhaa, then bei za hizo vitu zikipaa...
 16. Makame

  Wanasiasa vijana wanatusaidia vipi kupambana na changamoto nchini

  Tanzania ina matatizo mengi. Miongoni mwao ni yale matatu ya ASILI kutoka kwa Baba wa taifa ambayo ni (1) Umaskini; (2) Ujinga na (3) Maradhi. Haya ymeendelea kuwepo kwa kuwa na yafuatayo:- a) Kuendelea kuwepo kwa RUSHWA. b) Kuendelea kukumbatia ujinga wa kuchakachua - vyeti vinachakachuliwa...
 17. Makame

  Elections 2010 Dr slaa yupo?

  Naona simsikii sana siku hizi huyu mbunge wa zamani wa karatu. Yupo? Ana mpango wa kugombea tena urais au atarudi karatu kuendelea na shughuli ya ubunge?
 18. Makame

  Ukiondosha kuunganishwa kwa kiswahili na muungano; kuna jambo gani jengine ambalo watz tutajvunia?

  Taifa linajiandaa kusheherekea miaka 50 ya uhuru, kilele chake ni tarehe 09/12/2011. Mimi binafsi kwa haraka naona mafanikio mawili tu 1. Kiswahili kuwa lugha ya kutuunganisha. 2. Muungano [Ambao wenyewe; kuna wasioutakia kheri]. Mengine kusema ukweli imekuwa ni mtihani. Mfano 1. TAZARA - Ni...
 19. Makame

  Moja ya sababu za vijana kufeli

  WADAU; Kusoma hapa Bongo ni kazi ngumu kweli. Vijana sio kama huwa hawaelewi masomo; ila VISHAWISHI.
 20. Makame

  Nigerian man calls home from overseas

  Nigerian man called his mom from the USA. Man: Mom, I have AIDS. Mother: Don't come back home woo, my son woo abeg abegwoo. Man: Why mom? Mother: If you come back home, then your wife will be infected. From your wifewoo to your broda, from your broda to our maidwoo, from our maidwoo to your...
Top Bottom