Search results

 1. DSN

  Tanzania ya Samia bado ni ya Magufuli: Acheni Kujitoa Ufahamu Ndugu zetu

  Hakika ajenda ni yake Mwenzake Msiri na Mshirika wake hayati JPM [R.I.P] waliekuwa karibu na walitangaza ilani ya CCM pamoja na kuanza utekelezaji wake wakiwa pamoja.
 2. DSN

  RC Makonda, Dar ni jiji la wote, vyama vyote. Mbowe sio mwanasiasa uchwara aliyefilisika, Zitto sio mshirikina. Tunakupenda, heshimu wote uheshimiwe

  Naongea kwa sauti kubwa nangwe obhizaga nomolomo yani leo umeona kauli ya makonda ina ukakasi ila wahusika wakisema dikteta uchwara kwako safi na sehemu ya demokrasia, kama demokrasia kwanini makonda nae isiwe kipimo ulichowapimia wao wakati wakitamka hayo Utetezi wa kishamba huu,
 3. DSN

  Kabla ya Kuwashtaki kwa "Uhujumu Uchumi" Wachawi Wetu; Swali hili Serikali ilijibu kwanza..

  Kaandika wakati alishatenda mambo ya kifedhuri ikiwemo kule South Africa unamsikilizaje mtu asiye utu.
 4. DSN

  Kabla ya Kuwashtaki kwa "Uhujumu Uchumi" Wachawi Wetu; Swali hili Serikali ilijibu kwanza..

  Hoja zingine zote hazina mashiko cha msingi sana ulichogusia ni deni kuwa la UONEVU {IMMORAL} hivyo alistahiki kulipwa NA URAIA ASIPEWE. Angekuwa anaipenda Tanzania angetafuta njia za Kidplomasia zaidi ndani ya Taifa kwa amani hadi apate kile ambacho ni haki kama ipo,
 5. DSN

  Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo: Kunyamaza wakati mwingine ni hekima

  Ni mbaya sana kwa Mwanasiasa kuvaa kofia ya Dini, mtu wa Mungu umpa Moyo na mawazo mema Mwanasiasa ili AONGOKE KUTENDA MEMA KWA WAJA WA MUNGU.Sasa mtu mzima anapotosha maneno ya Kadinali Mwenye Heshima zake kwa kuvisha maneno yasiyo na tija ili wafuasi wake washabikie uozo na kuwatukana...
 6. DSN

  Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo: Kunyamaza wakati mwingine ni hekima

  Kosa la Askofu Pengo liko wapi ni kusema Makonda ni moja ya Wasaidizi bora wa Rais au ni kosa la Kadinali kusema ''Tunakuombea na wewe na Vijana wa aina Yako'' au Kosa lake ni lipi au ni kusema ''Mkiwepo wa aina yako wengi.mimi nisingekuwa na shaka, kwamba tutakuwa na watu wakuendeleza kazi...
 7. DSN

  Godbless Lema: Kuna mwingine atahama CHADEMA baada ya Meya wa Jiji la Arusha kuhamia CCM

  zitto junior, Rais ajae anatoka KANU anaitwa Gideon Moi
 8. DSN

  Get Rid of Donor Relience Mentality - Magufuli

  A Picture is Worth a Thousand Words,Ili Pozi la Mawaziri hawa limeniacha natafakari sana, yani kila mmoja alijiandaa kwa moment hiyo with full respect to make history.Kuna something very unique kwenye Picture hii.Mh Rais ana wafuasi wengi wanatamani siku moja wawe nyuma ya viatu vyake katika...
 9. DSN

  A letter to "The Inept Makonda"

  Only Fools Rush In
 10. DSN

  A letter to "The Inept Makonda"

  "Do not argue with a fool. He will drag you down to his level and beat you with experience."
 11. DSN

  A letter to "The Inept Makonda"

  Takataka
 12. DSN

  Naumia sana kubaguliwa na wazungu kila wakati

  Ishara ya wajibu wa kuwa Mpenzi wa kwenu, home sweety home na kuhakikisha daima Nchi yako is everything,Ukishamilki spirit ile UTOIBIKA UKo DUNIANI TRUST IT.Mother Land ita Kuprotect na Negative Spirit.Acha kuwa na Maneno Mabaya yoyote juu ya ardhi ya Mababa na mababu zako nayo itasimama na...
 13. DSN

  What is it about him that they don't like?

  Kuhusu Ben una miaka mingapi humu JF ebu kafukue Mashimo ya mijadala humu miaka ya nyuma mtafute huyo Ben Kajifunze jambo kuhusu hoja zake kabla amja jichotea LAANA ambazo mmejiundia wenyewe.
 14. DSN

  Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

  Enzi hizo JF was stage kwa mijaldala yenye staha, ukifuatiliwa majadaliano humu ni hoja na hakuna matusi wala lugha mbofumbofu,. Kosa wale vijana wa Chama kile walipoanza lugha za matusi na safari ya kuchafua watu mitandaoni,Hatimae leo tunayo JF ambayo post moja anaefuata kamwaga matusi mara...
 15. DSN

  Kati ya wakosoaji wa Rais Magufuli na Serikali yake, na wasifiaji nani wanamsaidia zaidi? Ijue nafasi ya JamiiForums

  Pascal Mayalla, Hao wa tatu ulio waelezea wanao kosoa kwa constructive criticism hao ndio wajenzi wa Nchi, na ndio msaada wa maana kwa Rais. Sikuona bora lolote ulilosema ukijua wazi wasifiaji wakisifia hawana baya lolote ata kama wakisifia wakakesha haina ubaya ili mradi MSIFIWA ana ufahamu...
 16. DSN

  Mjumbe Hauawi. Mahabusu watuma salaam kwa Magufuli. "Asante ila usitubague!" Magereza zalipuka kwa shangwe, vifijo na vigelegele kumshangilia JPM

  P P bandiko lakoi hili ni kwa tabia zako kama mwandishi sio,lakini kwa tabia zako kama Mwanasheria ndio na upofu mkubwa wa tabia za Wanasheria mlio wengi wa Kibongo kupenda mambo ya Kiharifu na si sutaarabu wa kutafuta majwabiu ya matatizo ya Umma,Kitabia ya tabia ya Wanasheria wa Kibogo ni...
 17. DSN

  Joseph Roman Selasini (MB): Naibu Spika; Kufuru uliyofanya dhidi ya Ukristo haivumiliki

  Hofu hofu hofu metamalaki .waende wakakasome sanaa, kwani wao kuigiza kwa sanaa wameshindwa nini nao kujibu mapigo. Nahisi ile kitu sanaa imetenda pale ndio majibu yake kuchanganyikiwa huku. Sanaa ina wigo mpana wa kufikisha ujumbe na sanaa iliotumika kwenye igizo la vijana wale na kuongezewa...
 18. DSN

  Neno na Manendo: Magufuli Umewaangusha Hawa 3(4) Usiache Kuwainua...

  What if nikikwambia uongo, utakuwa umeridhika na kuuishi uongo huo, nawe ushiriki kuwaaminisha wengine upupu kama anavyofanya Mwanakijiji hapa.
 19. DSN

  Neno na Manendo: Magufuli Umewaangusha Hawa 3(4) Usiache Kuwainua...

  kafanye Utafiti usitake kumezeshwa ka Kinda
 20. DSN

  Neno na Manendo: Magufuli Umewaangusha Hawa 3(4) Usiache Kuwainua...

  Kafanye utafiti, kuna makosa mengine kwa heshima mtu ANAKUWA AMESTAHIWA na kwa kuomba msamaha basi anasamehewa, lakini kwenye dhamana za msingi mtu huyo anakosa CREDIBILITY kwa hivyo anabaki kama Mwanajumuhiya katika nafasi ambazo si kikwazo kikubwa sana kwenye maswala ya INTEGRITY. Kijana...
Top Bottom