Search results

 1. Mwangaza

  ACT wagoma kusaini matokeo Arusha

  Katika hali ya kushangaza, mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kupitia chama cha ACT Megro Mollel amegoma kusaini matokeo ya uchaguzi japo amepata kura 342 tu kati ya kura halali 104,353 kwa kila alichodai kwanini Lema kashinda bila kutaja sababu ya malalamiko yake. Katika uchaguzi huo...
 2. Mwangaza

  Mabadiliko ya Lowassa na Magufuli yapi ni sahihi?

  Wanabodi, Wagombea wawili wa urais wamekuwa wakiahidi mabadiliko. Tunagalie kwa kina dhana halisi ya mabadiliko kwa hawa watu. Lowassa ameahidi mabadiliko kwa kufanya yafuatayo:- 1.Kurudisha katiba ya warioba 2.Kutoa elimu bure mpaka chuo kikuu 3.Bima ya afya 4.Hospitali kila wilaya 5.Posho...
 3. Mwangaza

  Taasisi ya Mwl Nyerere ..inamdahalilisha Mwl Nyerere

  Wanabodi, Leo tumeshudia taasisi ya Mwl Nyerere ikitumika kisiasa kufanya kampeni za waziwazi kwa mgongo wa mdahalo wa Amani. Hakuna duniani mdahalo wasemaji wakuu wakawa wa itikadi moja tu??..hii ajabu imetokea leo kwenye hii taasisi nia aibu kubwa kwa heshima ya Mwl. Tumeona wasemaji wakuu...
 4. Mwangaza

  Uongo wa Mafuguli kuhusu Kiwanda cha cement Mtwara/na viwanda

  Wadau, Tumekuwa tukimsikia "Pombe" akijisifia kuwa ccm imejenga kiwanda cha cement mtwara!! kila siku hicho hicho haachi kujisifia !!..tena bila aibu hata hamtaji mmliki wake..!! (Kikanuni uki"quote" lazima ufanye reference ya mmiliki") ..Aache uongo..watz wanajua ukweli! Watz tunajua kile...
 5. Mwangaza

  Vigogo wa CCM na ACT-Wazalendo wamwombea kura Lowassa majukwaani

  Chanzo: Mwananchi 5/10/2015
 6. Mwangaza

  Kwa hili ni Lowassa pekee anayeweza kuleta mabadiliko Tanzania

  Wadau, Wote tunajua katiba ya Wananchi ilivyojaa matakwa ya wananchi, ambayo Mh.Lowassa AMEAHIDI KURUDISHA RASIMU HII YA WANANCHI na tuweze kuapata Katiba bora ya Wananchi itakayotuvusha miaka mingi ijayo kwa HAKI NA USAWA ndipo tutapa AMANI YA KWELI, lakini Magufuli wala chama chake...
 7. Mwangaza

  Makubwa ya Lowassa

  Kwa miaka miwili tu ya Uwaziri Mkuu, alifanya makubwa sana zaid ya walikoaa miaka 10, pia aliwaonyesha na kuwafundisha maccm .. 1.UMUHIMU WA ELIMU AWALI, kwa kuanzia ujenzi wa shule za kata ...lakini tangu alipoondoka ukadolola na kuisha. 2.UMUHIMU WA ELIMU YA JUU..kwa kuhimiza na kusimamia...
 8. Mwangaza

  Wamechanganyikiwa, hawawezi kuzuia nguvu ya Lowassa na UKAWA kuingia Ikulu

  Serikali na CCM wote wamechanganyikiwa, hawezi kuzuia nguvu ya Lowassa. 1. Sasa wameacha ajenda ya ufisadi wamedakia ya Tajiri..ni nani asiyejua matajiri waliojaa ccm kimn MO, Mkono, Karamagi, Aboud, nk.. Pesa zake zilikuwa tamu awalipokuwa wanazitumia, sasa katoka zinapotumika UKAWA imekuwa...
 9. Mwangaza

  Maajabu yaliyotokea Chalinze!

  NILICHOSHANGAA CHALINZE:- Jimbo ambalo JK amekuwa akiliongoza kwa miaka 15 tena amekuwa waziri, Na miaka 9 sasa akiwa Rais Mtandao wa simu unaopatikana ni Airtell tu!!..yaani akiacha chalinze mjini tu, kwingine kote hakuna mtandao wa Vodacom, Tigo wala Zantel !! Du! Hata Samunge kwa babu...
 10. Mwangaza

  Wapi serikali? Clouds tv inavunja maadili!

  ipo wapi serikali jamani? Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!
 11. Mwangaza

  Nauza line ya tigopesa

  Nauza line yangu ya tigopesa kwa tsh 1M. Only seriouse buyer- ni PM.
 12. Mwangaza

  Hoja binafsi - Mikataba 17 ya China ijadiliwe bungeni

  Wadau, Hii mikataba 17 aliyoingia JK na rais wa china sio tu inatutia mashaka juu ya wengi wape bali pia uharaka wake na usiri uliopo. Kwenye hotuba zao marais hao walisema ina masharti nafuu, bila kutwambia unafuu gan?..nini siri!! Si busara wala haki hata kidogo kukalia hili kimya, japo...
 13. Mwangaza

  CCM wakomba hela Hazina, mishahara ya Septemba hamna!

  Kwa habari za uhakika, kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba mkutano wa CCM Dodoma na chaguzi zinazoendelea ndani ya chama vinanendeshwa kwa mamil ya pesa zilizochotwa Hazina. Pesa hizo ambazo nyingi zilikuwa za mishahara ya wafanyakazi wa serikali na mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini...
 14. Mwangaza

  Kazi ya uddreva

  Wadau, Kuna ndugu yangu anatafuta kazi ya udreva wa kuendesha gari ya mtu binafsi,kampuni,serikali,gari ndogo au kubwa. Ana leseni ya udreva, cheti cha VETA, na uzoefu wa miaka 2. Mwenye taarifa, anitaarifu hapa wadau..0754 570060
 15. Mwangaza

  Kigwagala: Siasa ya Tz imejaa fitna, chuki, majugu,kuwindana.. nami najifunza mbinu chafu..atanikoma

  Mbunge wa Nzega, Mh .Kigwagala hatimaye amefungua ya moyoni na kusema wazi wazi kuna mtu anamuwinda ili amdhulu (hatujui ni kisiasa au kiafya), lkn naye sasa anajifunza mbinu chafu ili amkomese zaid. Nukuu kutoka kwenye status yake ya FB. " Picha hii imenikumbusha enzi zangu za Ujasiriamali...
 16. Mwangaza

  Anahitajika kijana wa kuuza duka (stationary)

  Kuna mtu anahitaji kijana awa kuuza duka/stationary mwenye sifa zifuatazo:- -AWE MWAMINIFU -awe wa kiume, natayari kufanya kazi mpaka saa 3 usiku. -awe anaishi maeneo ya mwenge-dsm, au jilani. -ajue kusoma,kuandika na kusabu tu inatosha. Akiwa na ufahamu kidog wa computer ni vizuri...
 17. Mwangaza

  Mwigamba: Kukamatwa kumenipa mafanikio ma3, siogopi jela

  COPIED FROM FB, by Mtanzania Halisi: Nukuu ya Samson Mwigamba: - “ Kwa sasa napenda kuwaambia wasomaji wangu kwamba safari yangu ya siku 8 iliyoanzia chumba cha mahabusu cha Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam na kuishia Gereza la Mahabusu la Keko ilikuwa ya mafanikio makubwa. Fanikio la...
 18. Mwangaza

  Kosa moja, kwanini CHADEMA wakamatwe CCM wasiguswe?

  Nukuu kutoka gazeti la mwananchi Nov 9,2011; ..," Kamanda Mpwapwa (OCD-Arusha) alishindwa kueleza sababu za jeshi hilo kushindwa kuwachukulia hatua vijana wa CCM, walioandamana na kufanya mkutano wa hadhara bila kibali licha ya jeshi hilo kuyapiga marufuku. “Pamoja na matukio haya kufanana na...
 19. Mwangaza

  Mhasibu anahitajika haraka

  Wana JF. Tunahitaji mhasibu mwenye Diploma ya Accounts. Msichana/Mwanamke mwenye sifa atapewa upendeleo. Tuma CV yako kwa shimitz2010@gmail.com Director. SHIMI ENTERTAINMENT DSM
 20. Mwangaza

  USO KWA USO ..Mgombea wa CHADEMA amuumbua mgombea wa CCM, kwa ahadi za uongo Igunga

  click hii link chini ujionee magamba walivyo waongo kama mkuu wao kaya; chadematv's Channel - YouTube.
Top Bottom