Search results

 1. Toosie Slide

  Uzi maalumu kwa wapenzi wa Animation

  Salaam Huu uzi ni kwaajili ya animation (cartoon) kali ambazo uwezo angalia. Pia kujulishana ambazo zitatoka. Animation yangu ya kwanza ilikua ni Big Hero 6, hii ilinifanya niwe mpenzi na mfuatiliaji wa cartoon au animation. Nyingine kali nilizozicheki ni: Sing Frozen 1&2 Tangled ever after...
 2. Toosie Slide

  Kunyanyaswa kisaikolojia

  Salaam, Naomba tuzungumzie hili suala mana inawezekana wengi wanateseka lakini hawajui. Kwa watu wenye uelewa juu ya hili ni vizuri kutueleza. Karibuni.
 3. Toosie Slide

  Haya mapenzi jamani haya

  Maisha ya mapenzi ni kichaka kikubwa mno Zamani nilikuwa najua ukiwa na pesa utapata furaha kwenye mapenzi lakini kumbe sivyo kabisa! Mapenzi ni kichaka, mapenzi ni giza, mapenzi ni zaidi ya bahari, utaingia ukiwa na mtazamo mzuri ila ukabadilishwa Mapenzi ni maumivu makali Mapenzi ni furaha...
 4. Toosie Slide

  Vitabu vitatu mwanaume unatakiwa kuvisoma

  Manipulated Man by Esther Vilar Polygamous by Esther Vilar The Dating Wizard Secrets to Success with Women. Kwa walio oa ni vizuri mkajua kwa nini wanawake wanachepuka kwa kusoma The Dating Wizard Nitagusia baadhi ya maeneo ya ivyo vitabu alafu tutaangalia kama yanayosemwa yana ukweli ndani...
 5. Toosie Slide

  Kikao cha mabachela

  Nawasilisha kama tulivyokubaliana kwenye azimio la hivi karibuni kwamba uvunguni mwa kitanda ndo stoo. Pia sheria za kufanya usafi ni mpaka pawe na appointment, kuosha vyombo siku ya kupika n.k hizo sheria zimebaki vilevile. ..........
 6. Toosie Slide

  ApexTv na Noah

  Kwa wale wafatiliaji wa time traveler kwa kupitia hii YouTube channel, watakua wanamfahamu huyu jamaa anaeitwa Noah. huyu mtu alikua anasema yeye ni mtu kutokea future [2030]. Ameaminisha watu wengi sana kuhusu kusafiri kwa muda. Tarehe 23 July 2019, ApexTv walirusha video yake ambayo inaonyesha...
 7. Toosie Slide

  Je, mwanaume huwa anakosea?

  Habari za wakati huu. Kutokana na kichwa cha habari kinavyojieleza, na haya ni maoni yangu... Kikawaida imezoeleka kwamba katika jamii tumejengewa dhana potofu kuwa kila binadamu anakosea. Hii inafanya wakati mwingine mtu aogope kufanya jambo akihofia kukosea, maana anafikiria kama akikosea...
Top Bottom