Search results

 1. Kaka mwisho

  Kati ya Techno R7 LTE na Itel T20 LTE za tigo ipi bora

  Wadau kati ya hizi simu ipi bora zaidi, nataka kununua moja. Tecno R7 LTE vs Itel T20 LTE zote zinauzwa TIGO shop. NB: Napenda ambayo haitokuwa inanibana napotaka apps mbalimbali ziwe zinakubali kuinstall ( update)
 2. Kaka mwisho

  Tovuti ipi nzuri ya bure kwa nyimbo zilipendwa

  Wadau wa nyimbo hasa zilipendwa kama Msondo,Sikinde,Marijani, Mbaraka,Les Wanyika nk ni tovuti (web) gani nzuri nitapata hizi nyimbo bure.
 3. Kaka mwisho

  Kati ya hizi kampuni mbili Zola Tanzania na Mobisol Tanzania ipi ina bidhaa nzuri?

  Wadau nataka kufunga umeme wa jua Nyumbani, Naombeni ushauri na uzoefu wenu kati ya hizi kampuni mbili Zola Tanzania na Mobisol Tanzania ipi nzuri na bora kwa vifaa vyake. ZOLA wanamitambo ya WATT 40 mpaka 100 NA MOBISOL ni WATT 40 mpaka 200. NIJIUNGE KAMPUNI GANI KATI YA HIZI?
 4. Kaka mwisho

  Tunatoa huduma ya kusimamia shamba mwanzo mpaka siku ya wewe kuja kuvuna kwa gharama nafuu, mashamba yapo mkuranga.

  Wakulima, kwa yoyote anayehitaji kulima kilimo cha matikitimaji, nyanya,mahindi na nk ambaye hana muda au kwake usimamizi ni changamoto unakaribishwa. Tunatoa huduma ya kusimamia shamba lako kuanzia mwanzo mpaka siku unapokuja kuvuna au kuuza mazao yako. Gharama zetu ni ndogo sana. Kwa...
 5. Kaka mwisho

  Nyumba nzuri na yakisasa kwa bei nafuu inapangishwa

  Ina vyumba 3, maji na IPO eneo nnzuri wanapaita masaki pa Temeke. Mawasiliano 0685023639
 6. Kaka mwisho

  ganzi inanisumbua sana. Tiba yake ni nini?

  wanajf nasumbuliwa ganzi kwa muda mrefu sana naomba mnisaidie tiba yake au ni hospital gani au dokta gani ni mtaalam wa ugonjwa huu. Dawa nimetumia sana na kuna baadhi ya watu wanahusisha ugonjwa wa ganzi na maradhi ya moyo kuwa ndio chanzo. Na zaidi ya miaka ya 7 nasumbuliwa na ganzi.
 7. Kaka mwisho

  Wajasiriamali tusaidiane kwa hili mwenzenu nimekwama, msaada wenu please

  Wajasiriamali mwenzenu nimekwama kidogo katika shughuli zangu kwahiyo kwa yoyote ambaye anaweza kuniazima au kunikopesha milioni 1.5 kwa masharti nafuu naomba tuwasiliane. MPE TAARIFA NA MWENZAKO KUHUSU HILI.
 8. Kaka mwisho

  Nyumba za kisasa zinapangishwa wilaya Temeke - DSM

  Kwa anaehitaji nyumba ya kupanga ya kisasa awasiliane na mimi. Nyumba zipo chache wahi mapema na bei ni nafuu. Nyumba zipo ndani ya wilaya ya Temeke.
 9. Kaka mwisho

  Kama unataka kulima Mkuranga na hauna muda wa kusimamia unakaribishwa kushirikiana

  Ndugu zangu kuna watu wanapenda sana kufanya shughuli za ziada kama kilimo na ufugaji lakini tatizo wanakuwa hawana muda wa kusimamia kutokana na majukumu ya kazi zao za kiofisi kwa walio ajiriwa. Nategemea kuanza kilimo cha tikiti maji mkuranga mwezi wa pili na baadae taanzisha mradi wa kuku wa...
 10. Kaka mwisho

  Baraza la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi na tib bank kukopesha wanavyuo.

  Baraza la Taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi wakishirikiana na TIB Bank kukopesha wajasiriamali hususani wahitimu wa vyuo watakaofuzu mafunzo ya ujasiriamali yatakayotolewa na Baraza la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi mkopo kwa vikundi mwisho mil 200 kwa mmojamoja mwisho mil 50. Vijana...
 11. Kaka mwisho

  Nahitaji msaada wenu wa hali na mali

  Ndugu zangu wana jf na wasio jf members leo najitokeza kwenu kivingine kabsa. Nashida na shilingi mil 3 kwa yoyote mwenye uwezo na nia ya dhati naomba anikopeshe kwa masharti tutayokubaliana. Mkopo nauhitaji kwa ajili ya shughuli zangu za ujasiriamali(kibiashara). Tatumia vyeti vyangu vyote...
 12. Kaka mwisho

  Naweza kulima mazao gani jamii ya mboga mboga Mto Ruvu yenye soko la uhakika

  Ndugu wajasiriamali wenzangu nataka kuanza kilimo cha umwagiliaji maeneo ya mto Ruvu. Kwahiyo napenda kufahamu kwa wazoefu ni mazao gani yenye soko la uhakika jamii ya mboga mboga na matunda. Nategemea kulima zaidi ya zao moja. Karibuni jukwaani.
 13. Kaka mwisho

  Nisaidieni, MUHIMBILI wamesema figo, hindu mandal wamesema moyo, Mwili unavimba

  Ndugu yangu anaumwa sana alipoenda hospital muhimbili wamesema figo imejaa maji wakati hindu mandal wamesema moyo ndio tatizo haufanyi kazi vizuri. Mwili mzima umevimba na upumuaji umekuwa wa shida sana hatembei miguu yote inauma na uongeaji umekuwa wa shida sana. Ushauri na maombi yako ni...
 14. Kaka mwisho

  Chuo gani Dar es Salaam kinafundisha vizuri kiingereza"English course" cha kuongea na kuandika

  Ndugu zangu hapa Dar ni chuo gani au kituo gani kinafundisha vizuri lugha ya kiingereza 'english course' cha kuongea na kuandika. Maana naona matangazo mengi sana mitaani, redioni na tv kuhusu english course. Nataka nimpeleke dogo amalizapo darasa la 7.
 15. Kaka mwisho

  Nitumie programme gani kuunganisha video iwe moja.

  Programme gani naweza kutumia katika kuunganisha video au video editor. Kuna video nataka kuziunganisha nitumie app gani? Kifaa nacho tumia ni Kompyuta.
 16. Kaka mwisho

  Wapi wanauza mayai fertilized ya kienyeji na chotara kwa ajili ya kutotolesha DSM

  Ndugu zangu nahitaji mayai fertilized ya kienyeji na chotara kwa ajili ya kutotolesha nipo DAR ES SALAAM. Kwa yoyote anayepafahamu wanapouza Fertilized egg hapa Dar nahitaji sana.
 17. Kaka mwisho

  Mkombozi wa wafugaji wa kuku.

  Jipatie incubator ya mayai 5000 ni automatic na ni mpya kabsaa. Usage reptile,chicken,piegon,turkey,ostrich,duck,emu. Bei ni 6mil. Mawasiliano zaidi ushokola2002@gmail.com au ni pm. Nipo Dar.
 18. Kaka mwisho

  Projector ipi bora na inamuenekano mzuri wa picha

  Jamani projector aina gani nzuri kwa ubora wa picha.
 19. Kaka mwisho

  Tulijadili hili la James Mbatia kwa kina kwa maendeleo ya taifa letu

  James Mbatia ni mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi taifa ambaye amekuwa akiikosoa sana serikali ya CCM na chama cha cCCM, huku yeye mwenyewe ni mbunge wa viti maalum aliyeteuliwa na rais ambaye ni mwenyekiti wa chama cha CCMtaifa. Mbatia anatoa picha gani kwa taifa letu.?
 20. Kaka mwisho

  Wafanyabiashara daini fidia radio free afrika kwa matangazo yenu mnayolipia.

  Radio rfa ina wiki na zaidi huku kanda ya kusini hususani mkoa wa ruvuma hii radio usikivu wake umekuwa mbovu yaani ni cd inavyoscratch. Matangazo yake yanakatika katika hovyo na cha kusikitisha taarifa nimewapa lakini tatizo bado linaendelea.
Top Bottom