Search results

 1. ChaterMaster

  Phantom6 kustack kisha ku-restart yenyewe mara kwa mara

  Wataalm naleta hilo tatizo ambalo lina kama wiki ya pili sasa, jana nikaamua ku-reset simu (Factory Data Reset) ila nashangaa bado tatizo linaendelea. pia kuna shida ingine ya mwanga wa screen kuchezacheza (flickling) hasa ninapupunguza brightness. Simu haijafikisha mwaka, ina kama miezi 7...
 2. ChaterMaster

  WATAALAMU WA DIV ZA VIDEO CAMERA, MSAADA PLEASE..

  Wasalaam Nyote Wakuu nina shida ya wataalam wa VideoCamera hasa zinazotumia DIV. Kwa bahati mbaya DIV zangu za tukio la sherehe yangu zimepata hitilafu ktk upande wa sauti/audio inakatakata ila video zinaonekana fresh kabisa, ninaomba kupata mtaalamu/kuungwa na maExperts wa kutatua tatizo...
 3. ChaterMaster

  Tatizo la mtoto kuzaliwa akashindwa kupumua vyema hadi kuwekewa oxygen

  Wakuu wasalaam, Tafadhali naombeni kujuzwa sababu inayopelekea tatizo la mtoto kuzalia akapatwa na shda ya kupumua vyema na kulazimu kuwekewa oxygen haraka ili kumsaidia kupumua. Na je solution yake huwa ni nini. Thanks
 4. ChaterMaster

  MSAADA JINSI Ya KUTAMBUA GRADE YA GARI NNAYOTAKA KUNUNUA

  Wakuu nawasalim naomba kujuzwa jinsi ya kutambua grade ya gari nnayotaka kununua either ni 1,2, 3 au 4 nipo kwenye mtandao wa tradecarview naomba kujua ni sehemu gani naclick ili niweze kuiona thax
 5. ChaterMaster

  Bei ya ushuru tra ya ist-2004

  KWA WALE WATAALAM WA CLEARING AND FORWAD NAOMBA MNIAMBIE BEI YA USHURU NINAYOTAKIWA KULIPA KWA GARI YANGU HII INAWASILI WK IJAYO PLZ NAOMBA MAJIBU YA UHAKIKA MAAN NMETOKA KWA AGENT AMENIPANIKISHA MNO CJUI NDO AMESHAPIGA NA CHA KWAKE... Toyota Ist -2004 yr/11mounth-----cc.1300 km-68,000 CIF...
 6. ChaterMaster

  Tatizo la Flash Disk kubadilisha Mafile na Mafolder kuwa Shortcut files

  Ni majuzi tu nimeingiza flash yangu kwa job-mate wangu hapa kazini kuchukua kazi fulani nilikuwa nahitaji, cha kushangaza nilipohamisha kwenye laptop yangu ni full kuona mafolder yote na mafile yamegeuzwa as shortcut files na ukiyafungua hayafunguki. nimeshindwa kufanya ile kazi hadi sasa...
 7. ChaterMaster

  " Unable to connect to HTC Sense server. Please try again later."

  wakuu mi nna HTC desire V , sasa huwa kila nikiwa kwenye net na ninapotakiwa ku-sychronous information flan flan hasa kuingia kwenye facebook inazingua na kusema " Please authorize HTC sense to access your Facebook account" pia nikitaka kudownload scene/skin mbalimbali za HTC inasema "Unable...
 8. ChaterMaster

  Toyota Passo kwa wanaojua zaidi

  Wakuu nmecheki bei za toyota passo kwenye mtandao naona ni nzuri tu yan gar cc 998 na 1000 unapata kwa bei poa FOB 849-1200 sasa ushauri wenu unahitajika maana nilitaka kuchukua IST ila nimegairi maana bei yake ni sawa na kujenga nyumba kabsa Je hz gari passo zna shida gan maan m naona kwanza...
 9. ChaterMaster

  Wajameni nmeizimia toyota passo

  Wakuu nmecheki bei za toyota passo kwenye mtandao naona ni nzuri tu yan gar cc 998 na 1000 unapata kwa bei poa FOB 849-1200 sasa ushauri wenu unahitajika maana nilitaka kuchukua IST ila nimegairi maana bei yake ni sawa na kujenga nyumba kabsa Je hz gari passo zna shida gan maan m naona...
 10. ChaterMaster

  Ushauri wenu wakuu unahitajika

  Baada ya pitapita zangu katika mitandao ya wauza magari nimeambulia kuipenda hii gari Registration Year / Month1998/07Odometer111,120 kmDisplacement1,500 ccSteeringRightTransmissionAutomaticFuelGasoline/PetrolModel code EXZ10 It cost US$676 FOB SASA WAKUU KWA YEYOTE MWENYE IDEAL/USHAURI...
 11. ChaterMaster

  Jinsi ya kukuza(inlarge) picture ya size ndogo

  WAKUU MI NNA PICHA MBALIMBALI ZIKIWEMO NA RAMANI ZA VIEW ZA NYUMBA NNAYOTEGEMEA KUJENGA NMEDOWNLOAD FROM INTERNET HAPA ILA NIMEJARIBU KILA NJIA KUZIKUZA SIZE ILI NIWEZE KUZIONA FRESH KWENYE DESKTOP NA PIA KUZIPRINT NIMESHINDWA NA PIA NILIJARIBU KUZIKUZA KUPITIA MICROSOFT OFFICE PICTURE MANAGER...
 12. ChaterMaster

  Msaada Missing Bluetooth Peripheral Device Driver

  Wasalaam wakuu wa kazi a.k.a JM Members Naomba msaada tutani, I'm trying to get my phone working with my laptop, but when I try to get bluetooth working I have a missing Bluetooth Peripheral Device Driver. Is this for the bluetooth in my laptop or for the phone I'm using? nimekwama kuunga...
 13. ChaterMaster

  Msaada HTC Phones

  Wakuu nawasalim... Naomben mwenye kujua vzur juu ya hz cm za htc nimeziona ila bado Sijajua features zake vuzur. pia nahitaji kufahamu kama zipo za double line au vp Nawazilisha....
 14. ChaterMaster

  Solution ya Kirus kinachofanya flash kuwa shortcut

  Wasaalam wakuu, Kuna kirus nmekuwa nikisikia kinafanya mafile na mafolder yote kweny flash disk kuwa shortcut. Sasa yamenikuta leo nipo kweny semina Morogoro nmempa flash mwanasemina mwenzangu kurudisha sioni chochote zaid ya shortcut ya flash. Hapa nmechanganykiwa maan nlikuwa nmeweka vtu vya...
 15. ChaterMaster

  Wakuu eeh.. Msada wenu Please..!!

  Mi ni mtumiaji mzuri wa IDM ha ajabu leo wakati nataka kudownload, ikawa inanambia you cant download because IDM has being registered with fake serial number. Sasa wakuu mi nkawa nashangaa imekuwajekuwaje?? hii serial no. tena please naomba msaada wenu maana nmesha-Unstall na nme-Install tene...
 16. ChaterMaster

  Maana ya Mbagala kwa Wageni wa Jiji

  Wakuu juzi katika mihangaiko ya hapa na pale ndani ya jiji letu hili nlijikuta nko ndani ya DCM Toyota la Mbagala Rangi3 likiwa limeshehen nyomi la watu; sasa kwenye daladal kam mnnavojua hakukosekan story 2,3 Akaibuka mama mmoja anadai et watu wa Mbagala wabadilishiwe jina hlo maana uhalisia...
 17. ChaterMaster

  Maana ya Mbagala kwa Wageni wa Jiji

  Wakuu juzi katika mihangaiko ya hapa na pale ndani ya jiji letu hili nlijikuta nko ndani ya DCM Toyota la Mbagala Rangi3 likiwa limeshehen nyomi la watu; sasa kwenye daladal kam mnnavojua hakukosekan story 2,3 Akaibuka mama mmoja anadai et watu wa Mbagala wabadilishiwe jina hlo maana uhalisia...
 18. ChaterMaster

  Msaada sumsang android gt-s6102

  wakuu nawasalim...!! Mimi nina Sumsang Galaxy Young GT-S6102 kwa mda mrefu ila tatizo nnalolpata ni uwezo wake mdogo wa kuhandle kuandka sms ya maneno meng;yangu inaishia maneno 457 tu ikzidi hapo inaconvert to Multmedia Message. Pia haina option ya 1.kufanya wimbo kama sms ringtone...
Top Bottom