Search results

 1. Mfalme26

  Iphone 6, AC power imekufa, je inaweza kupona?

  Lakini kwa fundi nimeenda ndio nikaambiwa IC, so numekuja hapa just kutaka kufahamishwa tu, kama inaweza kuwa repaired..
 2. Mfalme26

  Iphone 6, AC power imekufa, je inaweza kupona?

  Nashukuru, nitajitahidi kurepair
 3. Mfalme26

  Iphone 6, AC power imekufa, je inaweza kupona?

  Inaweza kunicost shilingi ngapi mkuu.?
 4. Mfalme26

  Iphone 6, AC power imekufa, je inaweza kupona?

  Ina maaana haiwezi kurekebishika kabisa.?
 5. Mfalme26

  Iphone 6, AC power imekufa, je inaweza kupona?

  Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wadau. Nimekuwa na simu yangu iphone 6, lakn ghafla juzi hapa, nilitoa kwenye charger but nilipoiplug in baada ya muda ikakataa kuwaka na kuchaji.. Nimeipeleka kwa fundi kaniambia inarekebishika.. Lakn siwaamini sana mafundi simu. Naomba mnieleweshe kabla...
 6. Mfalme26

  Naomba kuuliza, kwanini watu tunaogopa kufa?

  Kila nafsi itaonja umauti, na kila mwanadamu anatambua kuwa atakufa, kinachotuogopesha ni ile hali ya kutoweka dhniani na ujui kule unaelekea( The fear of unknown).. Lakn kuna maandiko yanasema "we can escape from those dangerous things, but as far as death is concerned. We human beings just...
 7. Mfalme26

  Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia. Hakuna hela ya Watanzania inatolewa kama zawadi kwa wakwe

  May be kama kuna miradi ambayo ilikukuwa kwenye mipango.. I mean kwenye makaratasi.. Ndiyo itasimama.. Bt kama mikataba imeshasainiwa na ujenzi umeanza, Sahau kuhusu kusitishwa kwake.. Hivyo zile tirioni 6 ktk mradi wa JNHPP, kigogo Busisi Bridge, lile la salenda, na miradi yote mikubwa iliyoanza...
 8. Mfalme26

  Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia. Hakuna hela ya Watanzania inatolewa kama zawadi kwa wakwe

  Kama ulikuwa haufahamu ni kwamba, miradi yote iliyokuwa ktk mipango ya serikali ya awamu ya Tano ni lazima itekelezwe tu... No matter what..!
 9. Mfalme26

  Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

  Kuna haja ya kufanya mabadiliko, maana Tiss ni taasisi nyeti sana... Kama ikiachwa bila kufanyiwa mabadiliko basi serikali itapata tabu sana.
 10. Mfalme26

  Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

  Ule ni uzikaji wa kisasa, kwa wakristo yaani kaburi haliwekwi mchanga, linakuwa kama shimo tu, kunakuwa tayari na funiko, kama tulivyoona pale kwa mheshimiwa hayati.. Na wameweka zile reli ili iwe rahisi kusukuma ili kuziba kaburini.. Hata marehemu Ruge alifanyiwa vile..
 11. Mfalme26

  Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

  Ktk maandiko na kwa imani ya dini na vitabu vyote, maamdiko hayajaleza waziwazi kuwa wafu watafufuka vp, ila yamesema tu watafufuka... So hapo kwenye kufufuka sisi tuna imagine tu.. Bt Mungu mwenyewe anajua. So hata ufukiwe futi futi 30 kwenda chini, still utafufuka tu.
 12. Mfalme26

  Unabii unavyotumika vibaya Tanzania

  Wengi wao wanatumia wameifanya dini kama kigezo cha kuingizia pesa.
Top Bottom