Search results

 1. Matungiza

  Bosi huyu ataoa lini umri unaenda?

  Mara nyingi vijana wengi huiga mifano mizuri ya mabosi wao. Bosi huyu sasa ana umri wa miaka 47 licha ya kuonekana kama mti mkavu. Katika umri huo hana mpango wa kuoa bali ku hang out na mabinti tofauti. Alianza kula wafanyakazi wake kama bint Embe, bint aliamini angefunga ndoa na bosi huyo...
 2. Matungiza

  Omog abaki huko huko kanda ya Ziwa

  Haji Manara mpiga debe mkuu wa Omog tunakueleza kuwa mwisho wa Omog umefika. Tunachotaka kusikia kuwa akitua Dar ataelekee kwao moja kwa moja. Kama vipi nawe Manara tuachie timu yetu tutatafuta msemaji mwingine.
 3. Matungiza

  Yanga Kuweni Makini na Ahadi Zenu kwa Wachezaji

  Klabu ya Yanga inadaiwa kiasi kikubwa na wachezaji wapya waliosajiliwa msimu huu. Wachezaji hao inasemekana waliahidiwa kumaliziwa chao katika mechi za awali katika mzunguko wa kwanza. Wachezaji hao walipotaka kupata ufafanuzi kwanini ahadi zao hazitekelezwi, inasemekana uongozi ulitaka...
 4. Matungiza

  Bomoabomoa Tabata Kinyerezi haikwepeki

  Shughuli za ubomoaji wa nyumba ili kupisha ujenzi wa miundombinu ni jambo muhimu sana. Kuna baadhi ya maeneo jijini Dar ni lazima shughuli hiyo ikafanyika mapema bila kupoteza muda. Maeneo muhimu ambayo yanapaswa kubomolewa na wenyewe kulipwa ni njia ya Tabata relini hadi Segerea na Majumba...
Top Bottom